Ulijuaje mpenzi uliyenaye amekuacha?

Hahahaj mbinu hizo amateurs hawaziwezagi
usipokuwa na hizo trick itakula kwako Jambo la kwanza kabisa ambalo huwa nalifanya ilkuukomoa moyo nikufuta namba zake kila sehemu ili hata nikimkumbuka nisipate chance ya kumpigia

Halafu Sasa nakuwa nasikilizia simtafuti mpaka anitafute yeye asiponitafuta ndio Basi hiyo kila mtu Afanye mambo yake' tu
 
Ukishafikwa na janga ndio utajua hujui mara paap hawara wako anagongwa na boss wako!
unajikataa tu unaachana nae Wajua extro kinachotufanya mpaka tuwe tunaumia nikuwa na expectations Kubwa Sana ktk mahusiano lakini uki date na mtu date nae kimalaya Malaya tu yaani usimtilie maanani kivile kwanza atakuwa ana kukubali ile mbaya
 
Kiukweli nateseka sana ndugu zangu, huyu mwanamke atanitoa roho. Sijui hana huruma..hivi mtu aliyekupenda na ukampenda sana unaanzaje kumuacha??

Nimetoka kilo 65 mpaka 52. Nina shambulio la moyo sasa kiukweli naona giza bila huyu mwanamke sijui itakuaje 😔
 
Kiukweli nateseka sana ndugu zangu, huyu mwanamke atanitoa roho. Sijui hana huruma..hivi mtu aliyekupenda na ukampenda sana unaanzaje kumuacha??

Nimetoka kilo 65 mpaka 52. Nina shambulio la moyo sasa kiukweli naona giza bila huyu mwanamke sijui itakuaje
Wewe endekeza ujinga tu ..utakuja kufa kweli halafu Huyo mwanamke anaendelea kutiwa na watu wengine ... Jifunze kujipenda wewe mwenyewe kwanza ktk maisha na hiyo ndio kanuni ya kwanza muhimu kwa binaadamu wanaopenda Mafanikio katika maisha Yao
 
Haki wanaume wa humu mna machungu jamani, hebu sameheni maisha yaendelee. Mapenzi ni matamu jamani, msijifanye wagumu hivyo mnajikomoa wenyewe kukosa raha ya hii dunia ambayo ni kupenda na kupendwa.
 
Aaaah jamani, haiwezekani mtu akawa ni mikosi namna hiyo. Basi yeye ndio atakuwa tatizo, anatakiwa ajitathmini na sio kuyasusia mapenzi.
Ohoooo shauri yako .. watu wanapoingia in relationship wote wawili kwa kuwa Ni binaadamu tunatarajia kwamba hakuna mkamilifu so mapungufu lazima yawepo kwa wote ... Ila Sasa mahusiano ya siku hizi mmhh nikichomi na nusu
 
Haki wanaume wa humu mna machungu jamani, hebu sameheni maisha yaendelee. Mapenzi ni matamu jamani, msijifanye wagumu hivyo mnajikomoa wenyewe kukosa raha ya hii dunia ambayo ni kupenda na kupendwa.
Hahaha.

Yani ukiwa mgeni JF unaweza dhania ni wanaume pekee ndio wanaumizwa kwenye mapenzi yani full kulaumu na kulaani hadi wanachosha.
 
Ohoooo shauri yako .. watu wanapoingia in relationship wote wawili kwa kuwa Ni binaadamu tunatarajia kwamba hakuna mkamilifu so mapungufu lazima yawepo kwa wote ... Ila Sasa mahusiano ya siku hizi mmhh nikichomi na nusu
Sasa mahusiano kuwa kichomi si wote mmechangia jamani? Ndo mpambane kuyafanya matamu muenjoy maisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom