Ulijuaje mpenzi uliyenaye amekuacha?

Ulijuaje mpenzi uliyenaye amekuacha?

Naweza kupiga call ata 7 na asirespond ata akiona missed call
Muda akijisikia kupokea ukimuuliza anasema alikuwa busy na hajaona chochote

iliniwia vigumu kukubaliana na ukweli ila mwisho wa siku nilikaza Roho na kuibukia huku kwenye Uchakataji,

"MIMI NIJE KUPENDA TENA MWANAMKE LABDA NIFE NA KUFUFUKA TENA "
Pole sana hiyo ndio faida ya kuwa na mwanamke mmoja....mwanaume rijali unapata wapi ujasiri wa kuwa na mwanamke mmoja tu...?
 
Mimi niliona mawasiliano yanapungua kuuliza akaniambia tutakuja kuongea. Asubuhi sa 11 niliamshwa kwa kibuti.

Kinachoniuma tupo ofisi moja na ss yupo likizo akirudi sijui maisha yatakuwaje ya kazi. Kufanya kazi na ex wako afu ulimpenda inaumiza.
pole sana, Me yalinikuta haya, ofisi moja alafu mtoto ndo kazingua, ila nikakomaa na hali yangu, maisha yakaenda kibishi hadi sahv kama hakuna kilichotokea.
 
pole sana
Aliamua kuwa kimya ghafla, ukimtafuta na kumuuliza shida nini, anasema hamna shida, nikiuliza mbona kimya anajibu itajisolve, nisipomtafuta hanitafuti, I was ghosted, after like 3 years nikaona anaolewa.
Nilichakaa
 
Mimi mawasiliano yalianza kupungua. Ukimtumia Msg anajibu P, Tantee,K . Mara Usinipigie Tuchart nk. Nikajua hapa Sina changu .

Sikumoja nilitoka kuoga nikakuta Missed call na Sms moja muda huohuo kwamba ""Ninakupigia Simu upokei..? haya maisha mema" ile namtafta nijitete nakuta kaisha nilamba Block
[/QUOTNliachwa kuptia message tena kuptia mshkaj yan haikua direct ujumbe ulisomeka hivi 'Mwambie cilliary muscles alekua wake c wake tna' wakuu kama ckuzimia hii cku kisa mapenz basi kamwe ctazamia.... ntakuja kuleta kisa soon apa jinsi nlvo mkosa demu alenpenda kisa huyu alenacha !!!!
 
Naweza kupiga call ata 7 na asirespond ata akiona missed call
Muda akijisikia kupokea ukimuuliza anasema alikuwa busy na hajaona chochote

iliniwia vigumu kukubaliana na ukweli ila mwisho wa siku nilikaza Roho na kuibukia huku kwenye Uchakataji,

"MIMI NIJE KUPENDA TENA MWANAMKE LABDA NIFE NA KUFUFUKA TENA "
Hicho ni kisasi maisha hayaendi hivyo
Kumbuka hata kama uliumizwa unakuja umiza mtu aliyekupenda kumfanya awe kama wewe baadaye mseme wanawake hawana maana
Kumbe umekutana na aliyetoka kuumizwa kama wewe

Hautosolve kitu kwa mtindo huo bora kuwa single kuliko kuumiza wasio na hatia

Siwezi kuwa na mtu kisa kulipa kisasi cha yaliyopita maishani mwangu nitalipiza Hadi lini na mara ngapi,

mnatengeneza dunia ya ajabu sana alafu baadae mnakuja kuwalaumu waliomo huku mmewatengeneza wenyewe
 
Nimedate na wanawake wasiopungua 15 mpaka sasa. Lakini wote nimefanikiwa kuwaacha mimi. Sijui nina kismati au najua kuwahandle au ni vipi.. Na wala sina hela kiivyoo
Daah!! Mkuu Hongela ..!! Labda Unashuka Chumvini ndio mana kukuacha wewe Imekuwa Shida
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom