Ulijuaje mpenzi uliyenaye amekuacha?

Ulijuaje mpenzi uliyenaye amekuacha?

Aisee huu ndo ukauzuu unatakiwaa...!!
Mimi ndo nilimuacha sio siku nyingi...baada ya kunisonya...nikampigia nikamwambia kuanzia leo mimi na wewe basi..akanipigia akaniuliza kwanini nikamwambia sisonywi na mwanamke zaidi ya mama angu mzazi..akawa anapiga simu sipokei, akituma sms sijibu...mpaka kakubali matokeo..
 
Naweza kupiga call ata 7 na asirespond ata akiona missed call
Muda akijisikia kupokea ukimuuliza anasema alikuwa busy na hajaona chochote

iliniwia vigumu kukubaliana na ukweli ila mwisho wa siku nilikaza Roho na kuibukia huku kwenye Uchakataji,

"MIMI NIJE KUPENDA TENA MWANAMKE LABDA NIFE NA KUFUFUKA TENA "
Kwa hiyo umegeuka kuwa mchakataji tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom