😁😁😁 lakini ulinasa kwenye mtego sioAlinitega kama mwanamke mwingine eti ili aone uaminifu wangu kwake...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nikajisemea kudate na Vitoto vidogoo kazi sana japo nilikipenda nikakipotezea yani as if hata hatujawahi date yani.. Mwaka mmoja later akaja kunicheck nkamjibu fresh tu afu kimyaa hadi leoo...
Mapemaa tuu mkuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani nkapanga mpaka kumeet nae kabisaaa[emoji16][emoji16][emoji16] lakini ulinasa kwenye mtego sio
Nilisikia tu watu wanasema kuwa nimeachwa[emoji23]
😁😁😁 yan uo mtego hakuna baharia wakuchomokaMapemaa tuu mkuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani nkapanga mpaka kumeet nae kabisaaa
Mi tuliachana baada ya kuona ananizingua tu,yeye mwenyewe alitaka passwords zangu za facebook nikampa ,na yeye akanipa zake ,sasa kwenye inbox yale ya fb kuna jamaa kila siku anatuma msg "mpenzi nimekumiss ,mara lini tuonane tena",halafu yeye hajibu,ila jamaa anatuma tu inbox.
Nikajua hapa anawasiliana na kwa simu na huyu jamaa,aisee akaanza nyodo,kujibu msg akitaka,kumbe huyo jamaa ndo anampa kiburi.
Nikafungua account mpya fb kwa jina la jamaa na picha za jamaa,halafu nikainbox ,mpenzi ile aacount yangu ya fb imehakiwa nimefungua mpya tuwasiliane kwa hii,...gafla na yeye akaja kwa account fake ambayo mi nilikuwa sijui,akajibu " mi niko poa unajua mpenzi wangu ana password ya ile account ndo maana siwezi kukujibu kule,mi nimekumiss ila jamaa asijue,lini utakuja dar nimekumiss "
Tukachat ww,mwishowe nikamwambia "Nyau wewe unachat na Viol mwenyewe kumbe ndo zako,shika 50 zako sitaki kukuona na usinitext "
Aliona sana aibu aisee hakunitafuta tena maisha yakaendelea
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Baharii noma snaa
Hii inaitwa FBI [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mi tuliachana baada ya kuona ananizingua tu,yeye mwenyewe alitaka passwords zangu za facebook nikampa ,na yeye akanipa zake ,sasa kwenye inbox yale ya fb kuna jamaa kila siku anatuma msg "mpenzi nimekumiss ,mara lini tuonane tena",halafu yeye hajibu,ila jamaa anatuma tu inbox.
Nikajua hapa anawasiliana na kwa simu na huyu jamaa,aisee akaanza nyodo,kujibu msg akitaka,kumbe huyo jamaa ndo anampa kiburi.
Nikafungua account mpya fb kwa jina la jamaa na picha za jamaa,halafu nikainbox ,mpenzi ile aacount yangu ya fb imehakiwa nimefungua mpya tuwasiliane kwa hii,...gafla na yeye akaja kwa account fake ambayo mi nilikuwa sijui,akajibu " mi niko poa unajua mpenzi wangu ana password ya ile account ndo maana siwezi kukujibu kule,mi nimekumiss ila jamaa asijue,lini utakuja dar nimekumiss "
Tukachat ww,mwishowe nikamwambia "Nyau wewe unachat na Viol mwenyewe kumbe ndo zako,shika 50 zako sitaki kukuona na usinitext "
Aliona sana aibu aisee hakunitafuta tena maisha yakaendelea
Ulikuwa wake ndio nilikuwa naishi nae kichuochuoooo......Duuh!! [emoji848][emoji848] pole sana dadaangu ,
Huyu ata mbinguni atapasikia kwa Radio , ata Shitani amtaki ...!!
Huo ujauzito Ulikuwa wa kwake ..?
Basi tuyajenge mkuu, tuondoane upweke[emoji3]Kwahiyo upo single kama mimi
Duh pole sana mkuuIvi kuna kitu inaumiza kama kupigiwa simu na mwanaume/mwanamke mwenzako kupitia simu ya mpenzi wako tena mida mibaya ya usiku sana au asubuhi sana na anampa simu akwambie kuwa huyo mtu ni nani kwake na bila woga wowote anasema ni mpenzi wake.
Hivi ndivyo nilivyojua kuwa sina changu tena ilinichukua mda sana kuwa sawa maana niliwekeza vingi sana kwake.
Nakumbuka ilinitokea hivi na hawakuridhika wakanitumia hadi picha za faragha whatsapp ni kitu ambacho kiliniumiza sana nilisamehe, nikasahau na nikaachana na huyo dada nikamove on after 1 month later akanitafuta anaomba msamaha turudiane kwakuwa wameachana sikumjibu chochote hadi leo hii imepita miaka minne ananitafuta bila mafanikio na ameshajaribu mara kadhaa kuvuruga mahusiano yangu ili arudi ila anaangukia pua.
Moyo una mengi sana hakuna kitu kizuri kama kusamehe bila msamaha ningekuwa wa ajabu mno. Mapenzi matam lakini yanaumiza sometimes
Duh pole sana mkuu
Ni kweli mkuu, watu mnakua marafiki,I love you nyingi,ila mkiachana ni dharau mixer kukomoana as if si yule aliyekua anasema he/she loves you dah.Ahsante mkuu nilishapoa ila rai yangu kwa wanaotaka kuachana na wenzi wao ni bora kumwambia mtu kuwa humuhitaji tena maana kuna mambo mengine yanaumiza sana kufanyiwa kama huna uvumilivu unaeza fanya kitu kibaya.
Ni kweli mkuu, watu mnakua marafiki,I love you nyingi,ila mkiachana ni dharau mixer kukomoana as if si yule aliyekua anasema he/she loves you dah.
***** [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi ndo nilimuacha sio siku nyingi...baada ya kunisonya...nikampigia nikamwambia kuanzia leo mimi na wewe basi..akanipigia akaniuliza kwanini nikamwambia sisonywi na mwanamke zaidi ya mama angu mzazi..akawa anapiga simu sipokei, akituma sms sijibu...mpaka kakubali matokeo..