Mr Slim
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 1,914
- 3,415
Ulimfahamu mtefu?Kabuje mlezi wa hostel khaa wewe Mwamba? enzi hizo yule mwamba wa chemistry olevel alokuwa anatembea na Gongo (fimbo) alikuwepo? Kabuje kiswahili olvel
Ulimfahamu mtefu?Kabuje mlezi wa hostel khaa wewe Mwamba? enzi hizo yule mwamba wa chemistry olevel alokuwa anatembea na Gongo (fimbo) alikuwepo? Kabuje kiswahili olvel
Mwalimu aliuliza kati ya jiwe na Nazi vikigongana je nini kitapasuka
Kwa ujasiri Mimi nikainuka na kumjibu" jiwe litapasuka kwa sababu now days mawe ni mabovu ". Darasa lote vicheko
Ticha akavimba ......chaap nikapelekwa ofisin sper ya wiki tatu
.Tafsir.......kumbe swali sikuelewa ..alivyosema jiwe ...alimaaniesha yeye ni mwamba na sisi ni vifaranga wadogo .....so vikikutana nn kitatoke?
Nilianza kama maskharaMkuu....unaonekana umeanza kitambo ....Mambo ya ulozi
Nilianza kama maskharaMkuu....unaonekana umeanza kitambo ....Mambo ya ulozi
Na mimi pia ticha wangu huo Mwamba white ni hatari, hadi wadau wa Iyunga sec walikuja kwa huyu mwambaKanifundisha tuition huyo wa kutembelea na gongo, Chemistry
Upo sahihi,nilikua sisomi meta ila chemistry aliniweka poa sana.Na mimi pia ticha wangu huo Mwamba white ni hatari, hadi wadau wa Iyunga sec walikuja kwa huyu mwamba
Rafiki yangu alipewa suspension alikuwa akiona hamna mtu kwenye dinning hall anabeba cd yake ya x kwenda kucheki kwenye tv ya shule,
Tabia ikawa mazoea, siku akadakwa live, alipewa suspension wiki 2.
alafu ukivua sketi, walitaka waone nini wakati ulikuwa hauna taiti?😆😆😆Mimi nilipewa nikiwa form 4 nikakaa nyumbani nikarudi siku ya mtihani wa mwisho.
1.Kosa lilikuwa ni kuvaa sketi fupi.
2. viatu ambavyo havina kamba.
3. Sikuchomeka shati.
4. Nilijiremba.
Wakaniambia nivue viatu niwape nikawapa, wakaenda kunisimamia ninawe uso, nikanawa, halafu wakataka nikavue sketi niwape na mimi sikupeleka. Hili ndio lilikuwa kosa.
Ulilamba ngapi jamaa angu pamoja na hizo possible?Nliiba posibo za 4m6 za mtoto wa HEADMASTER nikahisiwa tu nikapigwa miezi4 nijarudishwa siku ya pepa
Alikua na posibo za PCB kazitoa ILBORU anakataa ku-share
Tukamnyoosha
1Ulilamba ngapi jamaa angu pamoja na hizo possible?