SOFTWARE Mfumo wa attendance - Tokomeza utoro wa wanafunzi shuleni

RAINEL LIHAWA

Member
Apr 14, 2015
33
30
Hizi App kwa sasa zipo tayari:

Tokomeza utoro wa wanafunzi shuleni.

1. Attendance app

By one click sms yakawaida inamwendea mzazi. Haihitaji kuwa na computer wala mtandao wa internet.

Unachotakiwa kufanya ni kuinstall kwenye simu yako au kishikwambi kisha utasajili wanafunzi wako na kuanza kuitumia kuita majina. Utaweza itumia hata nje ya mazingira ya shule.

Cha kipekee zaidi, App hii inatuma sms kwa mzazi automatic kumjulisha kuwa mwanae yupo shuleni au hajafika shuleni. So, mzazi atakuwa na uwezo wa kupata mahudhulio ya mwanae kila siku.

Hakika ushirikiano utakuwa wa asilimia 100 baina ya mwalimu wa darasa na wazazi.

Tambua system inakuja na option nne:

1. Uwatumie SMS wale watoro tu (absentees).

2. Uwatumie SMS wale waliopo tu (attendees).

3. Tuma SMS kwa wote (absentees na absentees)

4. Au system isitume SMS.

So option utakayoselect ndio itakayo tumika kutuma SMS husika kwa mzazi au mlezi.

Mawasiliano: 0753538043

Nipigie simu au reply inbox kupitia namba yangu hii.

Asante.
 
Back
Top Bottom