rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,412
Ulaya bana ubaguzi sana,nitafia Africa mimi!
Mtoto inaoneka kama kapotea, askari wanajadili jinsi ya kupata wazazi. Hii ndio raha ya ulaya, ingekuwa Uarabuni, India au Uchina, khabri ingekuwa nyingine.
foto shop hio kaka hata kipofu atajuaUlaya bana ubaguzi sana,nitafia Africa mimi!
nani kakwambia Africa hakuna ubaguzi?...........na hii picha haionyeshi lolote katika madai
yako