Wakuu nilikua sijui hilo jambo.
Shemej yenu katika stor za hapa na pale ananiuliza why nmetairiwa.
Nkashangaa..why ananiuliza hvyo..akanambia kwao wanaume hawatairiiwi
Nimeshangaa sana kwakwel...ikabidi ni gugo .kweli bana..nchi nying sana za Ulaya hawatairi...
Nmestaajabu kwel kwel dah.
Kwel tembea uone