Ni ngumu kwa Simba kusajili mchezaji kutoka Ulaya

Mr Alpha

Senior Member
Jul 31, 2018
195
522
"Ni ngumu sana kwa sasa Simba kusajili mchezaji mwenye kiwango kikubwa au timu kubwa kutoka Ulaya labda wasajili wachezaji wanaocheza ligi za daraja la chini au mchezaji ambae tayari kiwango chake kimeshuka hapo ndo labda wanaweza kusajili"
 
Kwanini Simba na sio timu nyingine?
 
Wanaweza kusajili mchezaji wa ligi kuu ulaya sema inategemea na nchi ga
ni uko Ulaya.
Zipo nchi ulaya ata katika msimamo wa viwango vya ubora wa soka duniani tunavizidi.
Kumbuka ata Banda alisajiliwa kutokea ulaya.
Mfano Andora, Malta. Estonia, Lativia, Berarus n.k Kuna ligi mbovu nyingi tu ulaya unaweza pata wachezaji.
Sio Simba tu ata KMC, Namungo n.k wanaweza kusajili uko.
 
"Ni ngumu sana kwa sasa Simba kusajili mchezaji mwenye kiwango kikubwa au timu kubwa kutoka Ulaya labda wasajili wachezaji wanaocheza ligi za daraja la chini au mchezaji ambae tayari kiwango chake kimeshuka hapo ndo labda wanaweza kusajili"
Ni timu gani Tanzania inaweza kusajili mchezaji toka Ulaya?
 
"Ni ngumu sana kwa sasa Simba kusajili mchezaji mwenye kiwango kikubwa au timu kubwa kutoka Ulaya labda wasajili wachezaji wanaocheza ligi za daraja la chini au mchezaji ambae tayari kiwango chake kimeshuka hapo ndo labda wanaweza kusajili"

Nyie uto mliweza kwa chezaji la nyukesto
 
Back
Top Bottom