Mradi wa Bomba la Ges toka Nigeria- Ulaya unaenda kuikosti Niger?

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,224
12,945
Wachambuzi wa mambo wamejikita katika upatikanaji Uranium huko nchini Niger kwa kusema France atalazimika kuingiza jeshi kusuport ECOWAS kuipiga NIGER kama jeshi la nchi hiyo halitomrejesha Rais aliyepinduliwa.

Licha yakuwa Niger ni mzalishaji mkubwa mmojawapo wa Uranium dunian ila bado Ulaya na Marekani wanaingalia Niger kama mpango muhimu kwasababu zifuatazo.

1. Mara baada ya kulipuliwa kwa Nord Stream 1, 2 ambazo zikisambaza gas toka Urusi kwenda Ulaya kupitia Ujeruman, nchi za Ulaya zilianza kuangazisha mpango mwingine wa kupata Gas ili waachane na mashinikizo ya Putin na Urusi yake, haikuwa rahisi ila iliwalazimu kufanya hivo kwa kuunda plane B ambayo ni kutoa Gas toka Nigeria Km 1,037 kupitia Niger Km 847l1 na kisha litaingia Algeria Km 2,310.
Screenshot_2023-08-05-09-14-55-49_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg


2. Ulaya hawana Option nyingine ya kupitisha bomba la Gas kutokana na raman ya eneo husika kwani kwa upande wa kushoto ni ngumu sana kuikwepa Bukina Faso ambayo pia ilishampindua Rais wake na Mkuu wa nchi kwasasa ni mshirika wa karibu wa Rais Putin, ila pia huwezi kuikwepa nchi ya Mali ambayo pia ilishampindua Rais wake na Jeshi likashika nchi.

Upande wa kulia kuna Chad ambayo tayari mapinduzi ya kijeshi na kuna Rais wa mpito, lakini juu ya Chad hapo kuna nchi ya Libya ambayo aoao NATO walienda kufanya uhalifu wa kivita.
images (4).jpeg

Ulaya watapata wapi Gas ikiwa Niger wataenda kuivamia? Watakubaliana na masharti ya Urusi?

Africa tuko tayari kujisaliti kwaajili ya maslah ya Ulaya?

Nigeria italazimika kuingiza jeshi ilimradi aweze kuuza Gas yake ulaya ajikomboe kiuchumi?
 

Attachments

  • images (3).jpeg
    images (3).jpeg
    24.3 KB · Views: 2
Yaani hali ni mbaya kwa kweli
Tunaposema wazungu wana maslahi makubwa Africa kuna watu humu huwa wanapinga na kutukana kuwa washabiki tunalia lia tu

Hapo kama unavyoona Mali na Burkina Faso walipindua nchi kijeshi na sasa Niger
Hao wawili lazima wamtetee Niger maana wakinyamaza wanaona itabidi nao watie maji kichwa ili wanyolewe
 
Back
Top Bottom