Viprealestate
Senior Member
- Jan 21, 2014
- 128
- 129
Hata baadhi ya watu wa njombe wanakula panya hao wa shambani.shukrani, umeongea vizuri......we ni kweli umefanya uchunguzi mwenyewe hujakaririshwa.
kuna watu waliokaririshwa basi wao huishia kuiaminisha dunia kuwa panya hawa wa majumbani ndiyo wanaoliwa huko kusini wakati siyo kweli kabisa. pia huaminisha dunia kuwa watu wote wa kusini (lindi na mtwara) wanakula panya, wote! nimefurahi kuona hata wewe umejiridhisha kuwa si kweli......nikienda ndani zaidi ni kuwa ukweli ni kwamba maeneo yenye waumini wengi wasio waislamu km masasi ndiyo yanaongoza kwa ulaji huo wa panya. aina hii ya panya, pia huliwa maeneo fulani ya morogoro
ila nitajaribu kuweka sawa kidogo kama hautojali, ni kuwa si kila eneo la kusini utaona uuzaji wa panya. ni maeneo yale tu wanayopendelea hiyo kitu kama huko masasi. sehemu kama kilwa kamwe huwezi kukuta kitu kama hicho.
Unajua hata mtu ambaye hajawahi kula ngisi au pweza huwa wanashangaa sana akiona mtu anakula anajinonosa kabisa. Sasa wakishaonja wao hugeuka kuwa walaji wakuu.Napenda kujaribu kula kitu kinacholiwa na jamii ya watu wa eneo husika ni huluka tu,ndoo maana miaka ile waliniita Mchina.
Ushakula funza wakubwa wakwny magogo na magome ya miti mikavu.
Acha kbsa..
Ni mboga hyo ilikuja na mmisionar alieenda kongo baada ya miezi akaja na madude hayo.
shukraniHata baadhi ya watu wa njombe wanakula panya hao wa shambani.
Panya huuzwa Kwa mafungu..fungu moja lenye panya watano enzi hizo liliuzwa TSH 500..Kwa sasa nadhani itakuwa ni elfu 1maana ni muda sn nilikuwa hukoPanya mmoja huuzwa shilingi ngapi?
Safi sn maelezo mazurishukrani, umeongea vizuri, we ni kweli umefanya uchunguzi mwenyewe hujakaririshwa.
kuna watu waliokaririshwa basi wao huishia kuiaminisha dunia kuwa panya hawa wa majumbani ndiyo wanaoliwa huko kusini wakati siyo kweli kabisa. pia huaminisha dunia kuwa watu wote wa kusini (lindi na mtwara) wanakula panya, wote! nimefurahi kuona hata wewe umejiridhisha kuwa si kweli, nikienda ndani zaidi ni kuwa ukweli ni kwamba maeneo yenye waumini wengi wasio waislamu km masasi ndiyo yanaongoza kwa ulaji huo wa panya. aina hii ya panya, pia huliwa maeneo fulani ya morogoro
ila nitajaribu kuweka sawa kidogo kama hautojali, ni kuwa si kila eneo la kusini utaona uuzaji wa panya. ni maeneo yale tu wanayopendelea hiyo kitu kama huko masasi. sehemu kama kilwa kamwe huwezi kukuta kitu kama hicho.