ulaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Staili za ulaji koni

    Mzunguko wa Ncha (The Rim Licker): Kulamba pembe zote za juu ambapo ice cream inakutana na koni ili kuzuia isidondoke. Unyonyaji wa Juu (The Top Sucker): Kunyonya au kulamba ice cream kutoka juu kwenda chini kwa kutumia ulimi kama kijiko. Ung'ataji (The Biter): Kutumia meno ya mbele kung'ata...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mayai Chanzo cha Virutubisho vya Ubungo, ngozi na nywele zenye afya

    Mayai ni chanzo kizuri sana cha protini yenye ubora wa juu, ambayo ni muhimu kwa ajili ya kujenga na kurekebisha misuli. Virutubisho vya 'amino acids' vinavyopatikana kwenye mayai vinasaidia kukuza misuli, kuongeza nguvu, na kusaidia mwili kupona haraka baada ya kazi au mazoezi. Ukuaji wa...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Ulaji wa mayai wa mara kwa umara unatanua moyo au kuufanya uende mbio?

    Kuna hii stori ambayo nimekuwa nikiisikia sana mtaani tangu nikiwa mdogo, eti "Ukipenda sana kula mayai, moyo wako utatanuka." Zamani tulikuwa tunaogopeshwa sana na hii kauli ya "moyo kutanuka," na wengi wetu tukajikuta tunaogopa kula mayai kwa kuhofia afya zetu. Wengine wanasema shida ni kile...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Maridhiano bila katiba mpya ni kuendelea kuwapa ulaji CCM ya Samia na akina Kizigha

    Italifaa vipi taifa letu kuwa na maridhiano na Lissu akawa nje bila kuwa na katiba mpya? Tunapaswq kuwa na katiba ambayo Rais akitumia vobaya madaraka yake kwa manufaa yake,. rafiki zake na ndugu yake aweze kuwajibishwa. Hata kama Lissu atatoka na kuwa huru. Lakini kama hatuna katiba ambayo...
  5. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Video: Man Fongo akitetea ulaji wa kitimoto

    hamis77 secretarybird kuna ex-communicado mwenzenu hapa😁😁
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuna gari za kuanzia mwaka 2013 hadi 2020 kwa bajeti zisizozidi milioni 28 zenye urahisi wa kuzitunza na matengenezo pamoja na ulaji mzuri wa mafuta?

    Gari itatumika mazingira ya Tanga, matumizi ya lami na barabara za vumbi kidogo Engine iwe inasifika kwa uimara na ikipata hitilafu mafundi wameizoea Iwe na mifumo mingine ambayo imezoeleka na mafundi, sio kufunga safari hadi Dar au Kenya kurekebisha Isizidi cc 2000 Ulaji mzuri wa mafuta Umbo...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Msaada ulaji mzuri katika zoezi la kushusha presha

    Assalam alykum,bwana yesu asifiwe,hali zenu ndugu wana jamvi kwa upole sana naomba munipe maelekezo juu ya ulaji wa matunda wakati nipo katika hali ya kupambana kushusha presha je ni matunda yote naruhusiwa kula km ndizi,tikitik naomba kuelekezwa
  8. ngara23

    JamiiForums Tanzania Profesor Janabi asisitiza kuzingatia ulaji sahihi kipindi cha sikukuu, hasa kuepuka pilau na nyama

    Mkurugenzi wa shirika la afya duniani ( WHO) ukanda wa Africa, Professor Janabi Amesisitiza wananchi kuepuka pilau na nyama Kwakuwa ni Milo yenye madhara kiafya Pia ameshauri watu kuacha kutumia soda na beer 🍺 siku hiyo Badala yake ameshauri watu wale matunda, mboga za Majani na maji mengi
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Turekibishe ulaji wa kisiasa usio na tija katika katiba mpya.

    Siku tutakayopata fursa ya kuandika katiba mpya ya nchi tukumbuke. 1. Kufuta nafasi ya waziri mkuu. Hakuna tija kuwa na waziri mkuu na makamu wa rais pamoja. 2. Kufuta nafasi za manaibu mawaziri. Mawaziri wanatosha kumshauri rais na kufanya maamuzi ya kisera na kisiasa katika wizara zao, kazi...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ugomvi wa Zitto na Magufuli ulianzia kwenye Kukata Mirija ya Ulaji kwa Zitto

    Zitto hakutoka siku wenzie wanatoka kumkataa Magufuli. Why? Aliamini Magufuli ataendeleza kama alivyokuwa anafanya kikwete. Kumpatia fungu, pesa za kujikimu. Magufuli alikuwa anajua Zitto anatumika na Kikwete akamlia bati na hakumtaka maana siku zote Magufuli alikuwa akimdharau sana Zitto. Hapo...
  11. Stability

    JamiiForums Tanzania Unaweza sema mwamba anasikitikia kazi ilivyo ngumu lakini anawaza ni style gani atayomkunja bebi akishapata posho jioni

    🤣
  12. Shobi

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli ugali unadumaza Ubongo?

    Mambo vipi wakuu! Bila shaka mtakubaliana nami kuwa ugali ni chakula kikuu katika jamii nyingi barani Africa ingawa Marekani ndio inaongoza kwa kulima mahindi duniani lakin rekodi zinaonyesha ni kwa matumizi ya mifugo.Africa ndipo sehemu mahindi yatumika sana na mara nyingi mfululizo kwenye...
  13. Stability

    JamiiForums Tanzania Naungana na Dr Hayaland, ulaji wa ugali ni mateso, no wonder wenzetu wanalishia nguruwe na ng'ombe

    Kwanza Mwili unakuwa hauweleki kabisa, watu wengi wameambulia kuwa vijeba kisa ya ugali au miili ilijitengeneza utafikiri scooby dooby doo. Ugali, haswa unapokobolewa, una index ya juu ya glycemic, kumaanisha kuwa inaweza kusababisha kuongezeka kwa kasi kwa viwango vya sukari kwenye damu...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Je, ndani ya kamati kuu ya CHADEMA taifa kuna usaliti, uasi au hujuma dhidi ya Tundu Lissu anaesota korokoroni pekee?

    Kwasababu my friends ladies and gentlemen let's face it, Ukitazama kwa makini mienendo ya viongozi waandamizi wa kamati kuu ya chadema Taifa, ukisoma kwa makini body languages zao, facial expressions na hata ukiskiza tones za baadhi ya viongozi waandamizi wa kamati kuu ya chadema Taifa...
  15. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ulaji wa Ngamia na Kharamu kwa Waislamu ana pembe ya Shetani. Suna Abi Dawood

    Sunan Abi Dawood (Kitabu cha Sala, Hadith Na. 184) Matn ya hadithi ni kama hivi: "صَلُّوا فِي مَرَابِضِ الْغَنَمِ، وَلَا تُصَلُّوا فِي مَعَاطِنِ الْإِبِلِ." Tafsiri ya maneno: "Salini katika mazizi ya mbuzi, na msiswali katika mazizi ya ngamia." --- Kisha kuna riwaya nyingine katika Musnad...
  16. Knock life

    JamiiForums Tanzania Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .

    Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ulaji Chakula cha Aina Moja Chatajwa Chanzo cha Udumavu, Sylvia Sigula Ahoji Bungeni

    ULAJI CHAKULA CHA AINA MOJA WATAJWA CHANZO CHA UDUMAVU, SYLVIA SIGULA AHOJI BUNGENI Serikali imesema kuwa moja ya sababu za udumavu wa watoto katika baadhi ya mikoa nchini ni tabia ya ulaji wa chakula cha aina moja, licha ya mikoa hiyo kuongoza kwa uzalishaji wa mazao ya chakula. Kauli hiyo...
  18. Damaso

    JamiiForums Tanzania Je ulaji wa ndege aina ya Anhinga una tatizo?

    Anhinga ama kisayansi kwa jina la Anhinga rufa, ni ndege anayepatikana hasa katika maeneo ya kusini mwa Afrika. Ndege huyu ni maarufu kwa uwezo wake mkubwa wa kuvua samaki na hata kula nyoka, akitumia mbinu zake za kipekee katika kuwinda. Hata hivyo, kuna watu ambao hula nyama ya ndege huyu...
  19. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Waislam, Ramadan/Ramadhan Imekaribia , Kisiwe Kikwazo Kwa Dini Nyingine Hasa Masuala Ya Ulaji Na Mfumo Wa Maisha .

    Wale wanaofunga mnapaswa kuelewa kuwa si kila mtu anafunga, hivyo haipaswi kuwa ni sababu ya kuwahukumu wengine, kuwaita majina ya hovyo au kuwalazimisha dini nyingine au watu wengine kufuata mtindo wa maisha wa kufunga. . Jambo la msingi katika jamii zenye mchanganyiko wa imani. Ramadhan ni...
  20. sanalii

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chawa wanasema 2025 wanaenda na mama, ingawa hawajui wanaenda wapi

    Wakishapewa mikopo na bahasha wanaongea tu none stop. Kila mtanzania anaepata nafasi ya ulaji anabadilika moja kwa moja. Kila mmoja anaangalia tumbo lake hata kama litakost wengine. Pesa ya kuwapeleka wasanii dodoma ipo ila kuweka gloves za wazazi kunifungulia hakuna. Chawa wamekua kirusi...
Back
Top Bottom