Ukwepaji kodi Kariakoo yamenikuta

Ukwepaji kodi Kariakoo yamenikuta

Risiti ni muhimu. Hakuna duka lolote utakalonunua usipewe risiti ila za EFD ndiyo hawataki kutoa ila za kawaida hutapata.
Hata mm siwezi kununua kitu bila kupewa risiti sbb kuna kufanana kwa bidhaa hapo risiti ni muhimu kuwa nayo. Mtoa uzi aliomba za EFD hapo ikawa kasheshe. Kiukweli mm ili mradi ni risiti tena ya kawaida ni nzuri zaidi. UZALENDO USHAKUFA SIKU NYINGI KTK HII NCHI. MM MPAKA KESHOKUTWA SIWEZI KUWA MZALENDO KWA NCHI INAYOITWA TANZANIA.
Safi sana na hongera kwa mwenye duka. Km mtu anafuta ajira, usitegemee mwenye duka naye awe mzalendo km shetani mweusi. Never


mkuu.

nilifanya manunuzi ya kifaa zaidi ya laki 4.. nikaanɗikiwa risiti ya kuandika kwa mkono... sikutaka hata habari ya kuuliza Efɗ maana hata huko zinaenda kuliwa na wajanja wachache... heri mfanyabiashara aongeze mtaji wake..
 
Kwakweli Tanzania kumbe bado sana mtu anasema kodi haimsaidii chochote!!! Ebu tuache utani aisee risiti ni muhimu sana siku yakikukuta ndio utajua umuhimu wa risiti.

learn to serve
Haya tunayaona kwenye mtandao unaosadikika una wasomi.
 
Atakuwa na uhakika gani kama mafuta yake ndo yamesababisha ubovu huo? Tunajifanya kujua wakati hatujui! Kwa ufupi sitakuwa na muda wa kudai risiti huku wapumbavu wachache na ukoo wao ndo wanafaidi kodi zetu! Umesikia posho ya milioni 25 wewe? Watu wanalipana honoraria huku zombie mmoja anayudanganya anabana matumizi ili fedha imfikie mwananchi wa kawaida? Nchi hii imejaa ujinga!!
Wewe ndo mpumbavu maana huna uzalendo na nchi yako. Sasa usipotaka kulipa kodi unamkomoa nani kama sio unajikomoa wewe. Maana utakayekosa dawa hospitali sio magufuli ama huyo ulomsaidia kukwepa kodi. Ni wewe mwqnanchi wa kawaida. Na utakayekosa huduma nzuri kwenye shule za watoto wako ni wewe, in short unajiibia wewe mwenyewe na mwisho wa siku mpumbavu unabaki kuwa wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi sikuwa na nia ya kuchangia ila kwavile nimegundua kuna wajinga wengi wasiojua maanabya kudai receipt ngoja niseme tu. Maana afsdhali uwe mjinga kwa kutojua jambo. Ila ukiwa mjingabkwa makusudi kuitwa mpumbav ama nyumbu ndo jina linalokufaa. Yaan mpaka leo hauoni utofauti wa serikali ya sasa na zilizopita. Hta yesu ashushwe kuja kukutawala bado utalaumu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umetukana lkn hakuna la maana uliloongea....Kwanini tofauti Isiwepo kati ya Serikali hii na Nyingine...huoni watu hawapandishwi vyeo au Mshahara ? hiyo pia ni Tofauti na zilizopita au Unamaanisha nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
silipi kodi halafu ikafanyie upumbavu, bora nimwachie mhindi huwa ananisaidia kupunguza bei kwenye bodhaa nnazonunua
 
Unajua kupost jamii forum halafu hujui kodi inamsaidiaje mtu binfsi? Hivi wazazi wako wamejenga kilomita ngapi za lami ili kukuwezesha wewe upitishe hizo nyayo zako?
Ingekuwa hivyo tangu tupate uhuru Tanzania ingekuwa na maendeleo kuliko china

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kumbe watu hamjui umuhimu wa risit...
Nunua bidhaa nyingi za ghali halafu usichukue risit uone...
Like seriously hutaki risiti..kweli wabongo sisi bado....bado...bado
risit ni kwa faida yako achana na mambo ya kodi
Haya umeuziwa kitu kibovu..unarudishaje.?
Acha kujidanganya, ya mandishifdcnyanafutikaabaadaki tu.tutaonesha risti isiyo na mandishi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu niliwahi kumsikia Mh,Rais akisema "Watanzania tujifunze kulipa kodi"
maana yake ni kuwa tulikuwa hatujui kulipa kodi wala hatukuwa na uchungu na kodi tuliyokuwa tunatoa..
mfano mzuri ni kwangu binafsi nilikuwa sijali kama nimepewa risiti ama laa. Au kufuatilia masuala ya kodi kwangu haikuwa kitu cha maana sana.!
lakini tangu ameingia JPM na kampeni yake ya risiti ni kweli amenifumbua macho. Lakini pia ninachokiona huku kwenye huduma za jamii katika awamu hii ya tano. Kinanitia moyo wa kutoa zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umenichekesha sana... kama unamahaba Binafsi na mtawala Aliepo ni sawa lkn kuniambia tangu
Uanze kujitambua umeanza kujua muhimu wakulioa KODI basi NCH hii ina matatizo makubwa Kuliko inavyodhaniwa...
usidanganyike ndugu yangu watawala ni wale wale.. waliopita walikuwa wanatumia KODI kujengea majumba Binafsi
Wengine wakulizitumia Kusafiri NJE ya NCHI nahuyu anatumia kuwalipa akina LIPUMBA kipi hajaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulipa kodi ni usengerema kwa nchi hii. Bora nimuachie mwenye duka akale na familia yake kuliko kumpa shetani mweusi kupitishia mikataba ya kuwagandamiza wananchi
Wakati huo huo unalalamika serikali hii haijafanya hiki.! Mara haijafanya kile.. daah. Kaazi kweli kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umenichekesha sana... kama unamahaba Binafsi na mtawala Aliepo ni sawa lkn kuniambia tangu
Uanze kujitambua umeanza kujua muhimu wakulioa KODI basi NCH hii ina matatizo makubwa Kuliko inavyodhaniwa...
usidanganyike ndugu yangu watawala ni wale wale.. waliopita walikuwa wanatumia KODI kujengea majumba Binafsi
Wengine wakulizitumia Kusafiri NJE ya NCHI nahuyu anatumia kuwalipa akina LIPUMBA kipi hajaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na kujenga viwanja vya ndege sehemu ambazo sio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umenichekesha sana... kama unamahaba Binafsi na mtawala Aliepo ni sawa lkn kuniambia tangu
Uanze kujitambua umeanza kujua muhimu wakulioa KODI basi NCH hii ina matatizo makubwa Kuliko inavyodhaniwa...
usidanganyike ndugu yangu watawala ni wale wale.. waliopita walikuwa wanatumia KODI kujengea majumba Binafsi
Wengine wakulizitumia Kusafiri NJE ya NCHI nahuyu anatumia kuwalipa akina LIPUMBA kipi hajaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama akina lipumba wanalipwa kwa utaratibu halali sioni shida, sabbu hata wakina Mbowe wanalipwa.! Malipo yao huitwa ruzuku.
lakini ninachokiona kwangu kwenye huduma za jamii na nikifananisha na uongozi wa Nchi yetu uliopita bila shaka nitakuwa siitendei haki nafsi yangu kwa kutokulipa kodi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom