Ukwepaji kodi Kariakoo yamenikuta

Ukwepaji kodi Kariakoo yamenikuta

Yaani sjui mimi sina ama vipi lakini kiukweli hata ninunue chungwa kama nataka kuondoka nalo eneo lile lazima nichalenji kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati huo huo unalalamika serikali hii haijafanya hiki.! Mara haijafanya kile.. daah. Kaazi kweli kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikiingia dukani huwa sichukui risiti km ni vitu vya kula. Na huwa napenda kuchukua risiti za kawaida kbsa. Hapo ndiyo roho yangu ina furahi sana.
Huyo mwenye duka nampongeza sana, amefanya jambo la maana sana.
 
Hivi kumbe watu hamjui umuhimu wa risit...
Nunua bidhaa nyingi za ghali halafu usichukue risit uone...
Like seriously hutaki risiti..kweli wabongo sisi bado....bado...bado
risit ni kwa faida yako achana na mambo ya kodi
Haya umeuziwa kitu kibovu..unarudishaje.?
Wanajua saana umuhimu wake

Ila hawa ni wale wanaoiombea tz nzima ipate majanga kwa kuwa tuu kuna mtz mmoua hawampendi ambae ni jpm.
 
Hivi kumbe watu hamjui umuhimu wa risit...
Nunua bidhaa nyingi za ghali halafu usichukue risit uone...
Like seriously hutaki risiti..kweli wabongo sisi bado....bado...bado
risit ni kwa faida yako achana na mambo ya kodi
Haya umeuziwa kitu kibovu..unarudishaje.?
Kwa watu msiokuwa wafanyabiashara mnadhani hizi kodi zipo sawa. Kumbuka mfanyabiashara wa duka la jumla akikuuzia bidhaa kwa bei halali na rist ya efd,maana yake atakuongezea bei na ww utalazimika kwenda kuongeza bei kufidia kwenye hiyo nyongeza na ww utalazimika kuweka tena hiyo kodi,faida na gharama za usafiri.

Hayo ni maumivu kwa mlaji,bidhaa aliyozoea kununua elfu 4 anaweza kuinunua elfu 9. Ushabiki mnaoufanya wa kukaririshwa,mngeufanya kwa kupaza sauti serikali iondoe hii kodi ya kijinga kabisa ya ongezeko la thamani VAT. Km hujui hiyo vat inaongeza tsh.18 kwa kila tsh.100. Yaani ukinunua bidhaa za thamani ya milioni 10 vat ni milioni 1 na laki 8. Huu ni Wenda wazimu ni mjinga tu ndo anaweza kuushadadia.

Ndo maana mtu yupo tayari kununua Bering's za milioni 100 anachukua rist ya milioni 5. Box za Bering's za milioni 100 hazizidi 20. Mtu akiona rist ya milioni 5 atajua ni sawa tu. Mwenye duka na mimi ndo tunajua kwa sababu copy za order ya mzigo nnakuwa nazo..!!

Huwo ni ukweli usiopingika yan kwa vitu vya jumla na faida ndogo inabidi umwekee mmnunuz bei zaidi ili upate faida kiukweli ni ngumu na inatesa

Ni wajibu wenu kuielewesha serikali naamini walioko huko ni binadamu na wanajua kile mnachokifanya.
mbona Nchi za wanatoa risiti na bado kwenye risiti zao kuna VAT?
nadhani ni kasumba na hulka ya wizi na ukwepaji tu wa kutaka mtu apate zaidi ya kile anachostahili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekuwa habari za dini ningesema nyie ni mapepo.! Au wachawi haiwezekani pamoja na kueleweshwa kote huko bado hamuelewi...
bora Mungu asiwape kizazi sbbu kitakuja pata shida sana hapa duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi mambo ya uzazi nilishamaliza na Uzao wangu nimeukabidhi kwa MUNGU wangu so nao watazaa... Hapa tunapishana padogo sana... wewe unataka kutuaminisha kwamba kulipa KODI ni Heshima kwa NCH Wengine sisi tunasema hapana na Mifano tunatoa ila wewe hujalidhika
ndio maana nikakwambia kama unamapenzi Binafsi na mtawala tulienae mimi sinashida Nisichokubali ni hii kutaka kuaminisha watu kwamba sasa KODI zetu zitatumika vzr...UNATHIBITISHAJE ?
...ikiwa mpaka sasa tunaona matumizi ya HOVYO kama ya watangulizi wake ?...
Mkuu sisi Wengine tumeamua kauchana n'a hayo mambo sijui uzalendo sijui Ujinga gani... kila mtu anapambana na Hali yake...
Ili kila mwananchi ashawishike kulipa KODI lazima watawala waonyeshe kwa vitendo sio kumwaga Povu majukwaani...Siamini kama kwenye NCHI ambazo watu wake wanalipa kwa HIARI kunaUBABE
kama wanaofanyiwa wafanyabiashara wa wazawa wa NCH hii... Hivi unayohabari kwamba Pamoja na Kelele zote za mtukufu hajabadilisha ile Sheria ya mwekezaji kupewa miaka Mi5 yakufanyakazi bila kulipa KODI ila mzawa akienda kuomba TIN haujui lini utaanza Biashara wanataka ulipe kama si upuuzi Nini... mkuu NCH ngumu hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kariakoo ukitaka risiti halisi, jamaa wapo tayari wasikuuzie. Siamini kama TRA hawalitambui hili
 
Ni wajibu wenu kuielewesha serikali naamini walioko huko ni binadamu na wanajua kile mnachokifanya.
mbona Nchi za wanatoa risiti na bado kwenye risiti zao kuna VAT?
nadhani ni kasumba na hulka ya wizi na ukwepaji tu wa kutaka mtu apate zaidi ya kile anachostahili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna anayekwepa kodi
Mfano unauza shuka ya 10000 bei ya jumla, 18% yake ni 1800 faida ya hy shuka ni 1000 ndani ya 10000 inabidi mnunuzi umwekee iwe 11800 kwa soko lipi la kuuza [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom