Ukwepaji kodi Kariakoo yamenikuta

Ukwepaji kodi Kariakoo yamenikuta

Kodi imeanza kukusanywa mwaka gani hapa tanzania?
Ile ya kipindi chao waliyokusanya iliisha haijalishi ilitumika vizuri au vibaya.! Haijarishi ulikuwa unaipa serikali au muuza duka kama ufanyavyo sasa!
kikubwa serikali hii inahitaji kodi ili itimize majukumu yake.
na walio na wajibu wa kuhoji matumizi ya kodi yao ni wale tu wanaotoa kodi yao kwa serikali sio wale wanaowaachia wauza maduka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kodi inapopelekwa serikalini serikali inapanga matumizi kwa mahitaji ya jamii. Mfano Elimu, Afya, na miundo mbinu ukiiacha kwa huyo mfanyabiashara haiwezi kufanya yale ambayo serikali imepenga kwa faida ya jamii nzima.
mkuu sijui jinsia yako kama ni Ke au Me.
mfano baba anapotoa pesa kumpa mama kwa matumizi ya familia mama ndio anayejua kitu gani kitahitajika kununuliwa nyumbani na mtoto yupi anahitaji nini.
ni tofauti na baba kumpa mtoto pesa ya mahitaji ya nyumbani bila maelekezo kinachofuata baada ya kupewa hiyo pesa kinaweza kisiwe kwa msaada wa familia nzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii umekariri...kwa NCHI zingine ni sawa lkn sio hii Bongolala unataka kuniambia tangu Uhuru walikuwa hawakusanyi KODI....mbona wameshindwa hata kumaliza tatizo la madawati
Mkuu NCHI ngumu hii ukweli watu tunatamani kuwa wazalendo ila watawala wanazingua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile ya kipindi chao waliyokusanya iliisha haijalishi ilitumika vizuri au vibaya.! Haijarishi ulikuwa unaipa serikali au muuza duka kama ufanyavyo sasa!
kikubwa serikali hii inahitaji kodi ili itimize majukumu yake.
na walio na wajibu wa kuhoji matumizi ya kodi yao ni wale tu wanaotoa kodi yao kwa serikali sio wale wanaowaachia wauza maduka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujajibu swali nililouliza mkuu!!

Je kodi hapa tanzania imeanza kukusanywa lini??
 
Kwakweli Tanzania kumbe bado sana mtu anasema kodi haimsaidii chochote!!! Ebu tuache utani aisee risiti ni muhimu sana siku yakikukuta ndio utajua umuhimu wa risiti.

learn to serve
 
Mkuu hii umekariri...kwa NCHI zingine ni sawa lkn sio hii Bongolala unataka kuniambia tangu Uhuru walikuwa hawakusanyi KODI....mbona wameshindwa hata kumaliza tatizo la madawati
Mkuu NCHI ngumu hii ukweli watu tunatamani kuwa wazalendo ila watawala wanazingua

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu niliwahi kumsikia Mh,Rais akisema "Watanzania tujifunze kulipa kodi"
maana yake ni kuwa tulikuwa hatujui kulipa kodi wala hatukuwa na uchungu na kodi tuliyokuwa tunatoa..
mfano mzuri ni kwangu binafsi nilikuwa sijali kama nimepewa risiti ama laa. Au kufuatilia masuala ya kodi kwangu haikuwa kitu cha maana sana.!
lakini tangu ameingia JPM na kampeni yake ya risiti ni kweli amenifumbua macho. Lakini pia ninachokiona huku kwenye huduma za jamii katika awamu hii ya tano. Kinanitia moyo wa kutoa zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama dhumuni lako ni ligi sina majibu halisi kwa swali lako. Ingia kwenye vitabu vya historia utapata majibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa usahihi tu, hata nikilalamika nitalalamikia kodi yangu ya kuanzia jana kurudi nyuma na siku zote nitauliza imefanyia nini!!!

Lakini hujui nalipa umeme?? nalipia maji?? vocha?? mafuta sheli?? kwa hiyo hizo nazo nitadai kujua zimefanyia nini!!

Ila kuhusu risiti dukani huo ndio msimamo wangu na utakua hivyo!! nadhani ni vyema ukabaki na unachoamini!!!
 
Kuna habari nimesikia jana wafanya biashara wanatakiwa wanunue mashine mpya za efd, ina maana watoe laki nane tena!! nimebaki nashangaa tu!!
mkuu wataalamu wetu wa Kodi hawawapi elimu ya kutosha walipa Kodi,
Ipo hivi wewe kama unapesa unainunua direct then siku ya kulipa Kodi unatoa iyo pesa ulonunulia mashine na kama huna pesa unawaweza ichukua kwa mkopo japo japo wenye mamlaka walitoa mda kidogo lakini ilitakiwa yule asiye na uwezo akopeshwe pindi anapolipa Kodi Kodi hiyo hukatwa pindi unapolipa Kodi"hi imefichwa"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi sikuwa na nia ya kuchangia ila kwavile nimegundua kuna wajinga wengi wasiojua maanabya kudai receipt ngoja niseme tu. Maana afsdhali uwe mjinga kwa kutojua jambo. Ila ukiwa mjingabkwa makusudi kuitwa mpumbav ama nyumbu ndo jina linalokufaa. Yaan mpaka leo hauoni utofauti wa serikali ya sasa na zilizopita. Hta yesu ashushwe kuja kukutawala bado utalaumu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yakiwa machafu je utadaije matengenezo ya gari yako kama huna risiti?

Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa na uhakika gani kama mafuta yake ndo yamesababisha ubovu huo? Tunajifanya kujua wakati hatujui! Kwa ufupi sitakuwa na muda wa kudai risiti huku wapumbavu wachache na ukoo wao ndo wanafaidi kodi zetu! Umesikia posho ya milioni 25 wewe? Watu wanalipana honoraria huku zombie mmoja anayudanganya anabana matumizi ili fedha imfikie mwananchi wa kawaida? Nchi hii imejaa ujinga!!
 
Akili za kushikiwa na Mange kimambi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me kwakweli huwa hela ninayonunulia mzigo na risit napewa chini ya hela niliyotoa huwa siulizi sababu bila risit njiani lazima uulizwe pole kwa kujifanya mzalendo
Kwa kauli kama hizi hauna tofauti na mbakaji wa watoto wadogo chini ya miaka 3.
 
Kuna watu wanashangaza. Wanadhani risiti ni kwa ajili ya TRA tu wasikukamate,kuna mtu alinunua marumaru katoni 10 katika ujenzi wake,baadae kuna store ya mtu ikavunjwa miongoni mwa vilivyoibiwa ni marumaru, wambeya wakatonya kuwa kuna jamaa alionekana anajengea marumaru mtaa wa tatu,basi jamaa kilichomsaidia ni risiti halisi yenye idadi ya katoni alizokuwa nazo home kwake
Ukiwasoma kwa makini wapingaji wengi wanaingiza siasa. Kutokulipa kwao wanaona wanamkomesha mtu fulani. Risiti ni zaidi ya kodi.
 
Umeeleweka mkuu.
ila sitarajii kuona post yako yoyote ikilalamika kuwa serikali haijatimiza majukumu yake humu ndani.
katika maeneo ya Miundo mbinu, Afya,Elimu, huduma za jamii kwa ujumla sitarajii utalaumu sabbu kodi yako hukuipa serikali isipokuwa muuza duka ambae utakuwa na mamlaka ya kutosha kumuuliza kuhusu pesa uliyo muachia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ndio wa kwanza kulalamika.
 
Atakuwa na uhakika gani kama mafuta yake ndo yamesababisha ubovu huo? Tunajifanya kujua wakati hatujui! Kwa ufupi sitakuwa na muda wa kudai risiti huku wapumbavu wachache na ukoo wao ndo wanafaidi kodi zetu! Umesikia posho ya milioni 25 wewe? Watu wanalipana honoraria huku zombie mmoja anayudanganya anabana matumizi ili fedha imfikie mwananchi wa kawaida? Nchi hii imejaa ujinga!!
Play your part.
 
Back
Top Bottom