Ukwepaji kodi Kariakoo yamenikuta

Ukwepaji kodi Kariakoo yamenikuta

Kuna kitu ambacho serikali haikijui na wananchi hatufahamu ila wafanyabiashara wanafahamu.

Ipo hivi:

Wafanyabiashara wengi kariakoo hufuata mzigo China. Wakishafikisha mzigo hutakiwa kulipia ile VAT. Sasa unakuta wengi wao wananunua ile mizigo kwa hela za kichina. Wanapokuwa wameleta mizigo hapa bongo ukimuambia alipe tena kodi inakuwa ngumu kukokotoa tozo la VAT.

Wengi wao ukiwasikiliza wanataka watoza kodi wa Tz wafanye utaratibu wa kukata kodi from source (yaani waende viwandani wakajue gharama halisi ya bidhaa husika ili wajue VAT inatozwa kiasi gani). China wanafanya hivyo.

Na mizgo mingine wanauziana wao kwa wao hapo kariakoo. Pia faida yao hapo kariakoo ni ndogo sana tena sana, yaani margin profit ni ndogo, hivyo wanategemea kuuza mzigo mkubwa ili kupata faida.
Nakushukuru angalau we umeelewa. Watu wengi wanapata malalamiko ya upande moja yani ya Tra na serekali kwakuwa wanaurahisi wa kulalamika kupitia vyombo vya habari na pia wanawatu waliosomea kujitetea na wasemaji wazuri kuliko wafanya biashara.
wafanya biashara wanakwepa kwakuwa sheria uwanyanyasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wajinga sana na wanapenda kuinga ujinga kudai lisiti ni hakiyakila mtanzania kwakua watu siowaelewa selekali iweke dolia madukani mtu anapo nunua bidhaa inayohusu listi akanguliwe hapo hapo kwani kunawatu utadhani wanatumwa da nawachukia sana kwa nini siowaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unasukumwa na nguvu ya siasa pinzani sio rahisi kuona upande mwingine.!
Lakini huenda mifano hii michache ikawa na hoja ya kusukuma uelewa.!
Barabara za BRT. Au barabara za lami zinazokufanya usafiri kwenda kwenu.au hata kama za vumbi zimechongwa na katapila lililotumia mafuta.
ambapo bila shaka alipewa mkandarasi alielipwa kodi yetu.
au shule ile ya msingi unayoifahamu wewe ambayo huenda mwanao hasomi pale wale watoto wanafundishwa na mwalimu ambae analipwa na serikali inayotumia kodi tunayolipa sisi..!!

ama wakati ule bibi yangu mzaa baba alipoenda hosptali alilazwa katika kitanda cha hosptali ya serikali ambacho kimenunuliwa kwa kodi niliyotoa mimi, na hata yule daktari aliemuandikia panadol au asprini mshahara wake analipwa na serikali ambayo inapata pesa kutoka katika kodi ninayolipa mimi.
natumai utakuwa japo kidogo umeelewa umuhimu wa kodi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unadhani sielewi umuhimu wa kodi? huu umuhimu unafanya kazi kwenye nchi nyingine ila sio huku kwetu!!

Embu jiulize, ela za kuteka watu zinatoka wapi??

Ela za hawa watu wanaotutukana kila siku na kutuita wapumbavu zinatoka wapi?

Je zile milion kumi zilizotumika kuhonga wabunge zilitoka wapi?

Ajira mpaka leo hawajatoa, kodi zinaenda wapi?

Nyongeza za mishahara hamna, kodi zinaenda wapi?

Kwanini hiyo kodi nisimwachie mfanya biashara maana najua atawalipa wafanyakazi hata kumi alio waajiri??
 
Kodi isipofuta principle of taxation lazima kelele kama hizi utaziskia,
Huoni ajabu huyohuyo aliekwepa Kodi ndo wa Kwanza kutoa sadaka makanisani,
Hili swala liangaliwe upya bila hivyo kelele hizi zikiisha wakati upande mmoja umeumia.

Kuna habari nimesikia jana wafanya biashara wanatakiwa wanunue mashine mpya za efd, ina maana watoe laki nane tena!! nimebaki nashangaa tu!!
 
yaani wasiojua umuhimu wa risiti vichwa vyao huenda vimejaa madufu
 
Wewe unadhani sielewi umuhimu wa kodi? huu umuhimu unafanya kazi kwenye nchi nyingine ila sio huku kwetu!!

Embu jiulize, ela za kuteka watu zinatoka wapi??

Ela za hawa watu wanaotutukana kila siku na kutuita wapumbavu zinatoka wapi?

Je zile milion kumi zilizotumika kuhonga wabunge zilitoka wapi?

Ajira mpaka leo hawajatoa, kodi zinaenda wapi?

Nyongeza za mishahara hamna, kodi zinaenda wapi?

Kwanini hiyo kodi nisimwachie mfanya biashara maana najua atawalipa wafanyakazi hata kumi alio waajiri??
Mkuu,
nimesoma hoja zako ulizoziweka hapa chini, kwa mtazamo wangu naona kama hoja zako zinasukumwa na wimbi la chuki za upinzani.! Upepo ambao mimi binafsi nisingependa kujielekeza huko sabbu sina ushahidi wa kutosha kuhusu hizo hoja zako.!
mathalani hizo milioni kumi unazozisema binafsi ninapata ukinzani hata wa kufikiri tu kuwa eti mh, rais JPM anaweza kuruhusu tsh milioni 10.
Zitoke kwa style hiyo.. anyway hayo ni ya wanasiasa na siasa zao. Leo watasema hili kesho kile mradi mkono uende kinywani.
Hoja yangu ilikuwa katika kulipa kodi ambayo mimi binafsi natoa halafu mtu mwingine anataka kunifanya mimi mjinga kupitia pesa yangu asilipe kodi hapo ndipo hasira zangu zilipo.
nimekatwa kodi kwenye mshahara,!nimekatwa kodi kwenye mafuta ya gari.! Nimelipia parking, nalipa tanesco nalipa Dawasco halafu mtu mwingine kirahisi rahisi tu anataka kutumia pesa yangu akwepe kodi hapo sio sawa wala sio haki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua Watanzania tuna matatizo makubwa sana. Wengi hapa wanashabikia huu ukwepaji kodi. Lakini hawa hawa utawakuta kwenye thread nyingine wanaponda serikali kushindwa kutoa huduma fulani kwa jamii. Sijui wanafikri serikali hela inapata wapi kama sio kodi.
Issue sio kulipa KODI iliyokuwa imefanyakazi gani yakutiliwa Mfano...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,

Hoja yangu ilikuwa katika kulipa kodi ambayo mimi binafsi natoa halafu mtu mwingine anataka kunifanya mimi mjinga kupitia pesa yangu asilipe kodi hapo ndipo hasira zangu zilipo.
nimekatwa kodi kwenye mshahara,!nimekatwa kodi kwenye mafuta ya gari.! Nimelipia parking, nalipa tanesco nalipa Dawasco halafu mtu mwingine kirahisi rahisi tu anataka kutumia pesa yangu akwepe kodi hapo sio sawa wala sio haki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu msimamo wangu ndio huo!! wewe baki na uaminicho!!
 
Mkuu msimamo wangu ndio huo!! wewe baki na uaminicho!!
Umeeleweka mkuu.
ila sitarajii kuona post yako yoyote ikilalamika kuwa serikali haijatimiza majukumu yake humu ndani.
katika maeneo ya Miundo mbinu, Afya,Elimu, huduma za jamii kwa ujumla sitarajii utalaumu sabbu kodi yako hukuipa serikali isipokuwa muuza duka ambae utakuwa na mamlaka ya kutosha kumuuliza kuhusu pesa uliyo muachia.

Kodi imeanza kukusanywa mwaka gani hapa tanzania?
 
Binafsi sikuwa na nia ya kuchangia ila kwavile nimegundua kuna wajinga wengi wasiojua maanabya kudai receipt ngoja niseme tu. Maana afsdhali uwe mjinga kwa kutojua jambo. Ila ukiwa mjingabkwa makusudi kuitwa mpumbav ama nyumbu ndo jina linalokufaa. Yaan mpaka leo hauoni utofauti wa serikali ya sasa na zilizopita. Hta yesu ashushwe kuja kukutawala bado utalaumu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom