Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

Hasafishiki mtu ....uchunguzi ulishakamilika zamani
 
Mbona habari yenyewe nyepesi na hamna cha kuvutia kujua kuhusu sakata hili la ukwepaji kodi!! Hovyo.
 
hivi unafahamu maana ya live updates?
 
Aliyekutuma hawezi kukulipa kwakua kumeshindwa kabisa kufanya kazi yake....kama ulilamba kidogo ujue ndio hiyo hiyo.
 
Mkuu mbona povu linakutoka sana..au wewe una data zaidi ya serikali? Serikali inapofanya kitu inakuwa na data hawakurupuki mkuu..au ulikuwa kwenye mirija hiyo ambayo inaziburiwa

Humjui huyo? Mwenzako amebase kwenye imani, hamchukulii Bakhressa kama mfanyabiashara Bali muumini wa dini fulani, jaribu kufuatilia mabandiko yake ya nyuma
 
Habari hii imekaa kiumbea umbea tu ,nadhani imetoka kwenye magazeti ya udaku
 
Humjui huyo? Mwenzako amebase kwenye imani, hamchukulii Bakhressa kama mfanyabiashara Bali muumini wa dini fulani, jaribu kufuatilia mabandiko yake ya nyuma

Mkuu nimekuja kuwagundua baadae nilivyofatilia mabandiko yao aiseee kuna watu wapo empty kabisa kichwani
 
Wakukurupuka vip mkuu una haja gani ya kuanzisha uzi kama Huna data kamili.tulia muda upo utaandika tu taratibu
 
Udaku tu me nilidhani unaandika kitu cha maana kumbe uzandiki
 
GR wengine tupo humu kitambo kabla hata hatujaanza kuji engage na mijadala ....I can smell kwanini umekuja na uzi huu ....hasa nafasi yako huko ....njoo taratibu na kipindi hiki hatutaki porojo tunataka taifa lirudi kwenye mstari ...
 
Miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na mchezaji mmoja katika klabu ya Simba anaitwa John Masamaki,hivi siku hizi yuko wapi yule galacha?

John Masamaki alikuwa na tabia ya kuonea wachezaji wadogo wadogo na kuwapa wakati mgumu kutokana na uzoefu wake uwanjani. Ila kwa wakubwa alikuwa anapitika kirahisi sana.

Ndio soka la Bongo.
 
Mkuu nimekuja kuwagundua baadae nilivyofatilia mabandiko yao aiseee kuna watu wapo empty kabisa kichwani

Bado kuna Kubwa lao linaitwa faiza fox weza tapika kama ukiwa na akili timamu maana siku hizi kawa mdogo kama piriton kakosa cha kutetea
 
mkuu kuna dhana wanayotaka kuijenga hapa hawa jamaa. usione wanaandika for 10 years ukafikiri hawajui. wanajua sana lakini kuna kinachotengenezwa hapo. wajanja tunalijua hilo.

For ten years? More than twenty years jombaa
 
Hakuna silaha nzuri kwa Kuwadhibiti Makafiri kama ya kujilipua. Maana wao wana madege mameli vifaru makombora mabomu na mbwembwe za kila aina. Mlipuaji mmoja tu anasimamisha nchi !

una akili ndogo sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom