Ukweli utabaki kuwa ukweli

Ukweli utabaki kuwa ukweli

My mambo, mbona kimya kimya,au ndo kufumaniaaa,mwenzangu😂

Hapana mke wangu ila juzi niliandika huu uzi nikiwa na simanzi sana nikakosa hata nguvu ya kukutag ila ndio uhalisia wenyewe.
 
Mwachiii hampendi Da Marry toka mwanzo, sijui wamekwazana wapiii?
Au hataki mwenzie atambe JF. yaan hapa naona raha kusoma huu ubuyuu
😂😂😂😂😂
Huyoo ni shoga yangu,nikitongozwa anakasirika ,angejua mabwana wenyewe walivyo
 
Dada Mimi sikuwa na hela, mbona sikuzote nasemaga ukweli ,ila nikikutana nae waivyo siku nyingine namsaidia, wamechoka kwakweli 😂
Sasa ujue nn Da marry, siku ingine ukipata appointment na kapuku wa humu. Jibebee zako vijipesa vya kukutosha mwenyewe.

Ili yeye akileta njegeka zake, unasepa fastaa maeneo. Usicheke na wowotee.
😂😂😂😂😂😂
 
Hapana mke wangu ila juzi niliandika huu uzi nikiwa na simanzi sana nikakosa hata nguvu ya kukutag ila ndio uhalisia wenyewe.
Nakupenda,ila unanikeraaa
 
Mwachiii hampendi Da Marry toka mwanzo, sijui wamekwazana wapiii?
Au hataki mwenzie atambe JF. yaan hapa naona raha kusoma huu ubuyuu
😂😂😂😂😂
Mwachi ana kisokorokwinyo ndo shida yake..!!
Yeye minyuzi yake tunamsapoti kwann mwenzie hataki ashine? 😹😹😹
 
Sasa ujue nn Da marry, siku ingine ukipata appointment na kapuku wa humu. Jibebee zako vijipesa vya kukutosha mwenyewe.

Ili yeye akileta njegeka zake, unasepa fastaa maeneo. Usicheke na wowotee.
😂😂😂😂😂😂
Kuna watu wataniua na njaa siku moja,sasa nikupe na huyu wa pili.

Huyu alishuka kwenye Bajaji akiwa na kibegi nikajua ni shefa la maana,kumbe ni fundi ujenz maana wakati nimemuomba chaja type c ni busti simu yangu niliona mwiko na pimamaji kwenye begi😂😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom