Ukweli utabaki kuwa ukweli

Ukweli utabaki kuwa ukweli

DA marry mwenyewee, uko Lele Leleee.
Em mtaje huyo kapuku, asiyefua wala kunyoosha pasi nguo.

Unatupa ubuyuu nusu, wambea na wadaku tuna baki kuteseka na labdaa.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
DA marry mwenyewee, uko Lele Leleee.
Em mtaje huyo kapuku, asiyefua wala kunyoosha paso nguo.

Unatupa ubuyuu nusu, wambea na wadaku tuna baki kuteseka na labdaa.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Dada humu hamna wanaume,mtu gani mnakunywa soda za miasita ambapo jumla ni 1200 halafu inabaki 800 kwenye 2000 aliyotoa lakini chaajabu mianane anaing'ang'ania mpaka,,,,,,eeh๐Ÿ˜‚
 
Dada humu hamna wanaume,mtu gani mnakunywa soda za miasita ambapo jumla ni 1200 halafu inabaki 800 kwenye 2000 aliyotoa lakini chaajabu mianane anaing'ang'ania mpaka,,,,,,eeh๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Da Marry, em shusha ubuyu mzima, mbna unanipa heka heka za kutafuta hitimisho la hii sakata.

Usiniambie ulikutana na mtu choka mbayaa hivyo? Woiiiiiiih
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom