Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 4,684
- 5,658
RizikaDada humu hamna wanaume,mtu gani mnakunywa soda za miasita ambapo jumla ni 1200 halafu inabaki 800 kwenye 2000 aliyotoa lakini chaajabu mianane anaing'ang'ania mpaka,,,,,,eeh😂
RizikaDada humu hamna wanaume,mtu gani mnakunywa soda za miasita ambapo jumla ni 1200 halafu inabaki 800 kwenye 2000 aliyotoa lakini chaajabu mianane anaing'ang'ania mpaka,,,,,,eeh😂
Pole Sana cku hazfananiJinga tu na najua yupo humu anaonq aibu
😂😂😂😂😂 jamaniiiiWewe nae koma,mm napendwa ,na najijua napendwa ww kama unajiamini weka picha yako
Uzi wa michambo huu.mwanaume gani nguo hafui,hanyooshi shati,ataninyoosha Mimi,
Mwachi mbona una wivu sana na Marry kuna sehemu mmeibiana au? 😹😹Uyo nae alie kuja kukushuhudia kituko kama wewe ana uhaba na wanawake ila siamini vijana wa humu tulivyo na dharau ndio aje kukutana na wewe 😂
Hapana ila ana tuona sisi mazombi yakeMwachi mbona una wivu sana na Marry kuna sehemu mmeibiana au? 😹😹
Kavaa jeans na tishet,na sandiz sijui yeboyebo,simu imepasukapasuka kioo anaperuzi Kwa kuificha,halafu ananiongopea eti atanipa 50000 elfu,nilimuonea huruma ningekuwa na elfu kumi walau ningempata,wee chenji 800 kaisubiri karibu nusu saa😂😂😂😂🤥😂😂😂😂😂 Da Marry, em shusha ubuyu mzima, mbna unanipa heka heka za kutafuta hitimisho la hii sakata.
Usiniambie ulikutana na mtu choka mbayaa hivyo? Woiiiiiiih
😂😂😂😂😂😂
Aumwage chap tuendelee na mambo mengine..!! 😹DA marry mwenyewee, uko Lele Leleee.
Em mtaje huyo kapuku, asiyefua wala kunyoosha pasi nguo.
Unatupa ubuyuu nusu, wambea na wadaku tuna baki kuteseka na labdaa.
😂😂😂😂😂
Kaka oa hapa..!!Maria
😂😂😂😂😂😂 vawulensiiiiiiiii!!!Mwachi mbona una wivu sana na Marry kuna sehemu mmeibiana au? 😹😹
Waoooh dadake😂😂Mwachi mbona una wivu sana na Marry kuna sehemu mmeibiana au? 😹😹
Unataka kusuuzwaUzi wa michambo huu.
anyway uzi usindikizwe na wimbo wa stamina ft lody music -hayana maana
Hapo sasa!! JF tushazoea kila kitu wazi wazi.Aumwage chap tuendelee na mambo mengine..!! 😹
😹😹😹 Marry DikompozaDada humu hamna wanaume,mtu gani mnakunywa soda za miasita ambapo jumla ni 1200 halafu inabaki 800 kwenye 2000 aliyotoa lakini chaajabu mianane anaing'ang'ania mpaka,,,,,,eeh😂
Muoshe kabisaaa, 😂😂😂😂Unataka kusuuzwa