Ukweli utabaki kuwa ukweli

Ukweli utabaki kuwa ukweli

Kavaa jeans na tishet,na sandiz sijui yeboyebo,simu imepasukapasuka kioo anaperuzi Kwa kuificha,halafu ananiongopea eti atanipa 50000 elfu,nilimuonea huruma ningekuwa na elfu kumi walau ningempata,wee chenji 800 kaisubiri karibu nusu saa😂😂😂😂🤥
Ila aliitafuna mpaka mfupa ukalia kooo au ilikua papatupapatu watu tuwahi kabla geti halijafungwa
 
Waoooh dadake😂😂

Nikupe ubuyu sistake humu wanaume hakuna wengi njaakali nishakutana nao karibu wanne ,lool sina uchi wa majaribio mieee😂😂
😂😂😂😂😂
Da Marry em taja I'd zao bas nawee, khaaah
Mbna unaturusha roho hivyo? Kwaniniiii?
Sijapentraaaaaa!! 😂😂😂😂😂
 
Kavaa jeans na tishet,na sandiz sijui yeboyebo,simu imepasukapasuka kioo anaperuzi Kwa kuificha,halafu ananiongopea eti atanipa 50000 elfu,nilimuonea huruma ningekuwa na elfu kumi walau ningempata,wee chenji 800 kaisubiri karibu nusu saa😂😂😂😂🤥
😹😹😹😹😹😹 Dah!!
Nyie mbwaa njooni huku Siri zenu zimevuja kumbe mko choka mbaya..!!
 
Shikamooni wakubwa wote humu ndani, wadogo zangu marhaba.

Yanasemwa mengi,.yanaongelewa mengi.nayaona meengi lakini kujiamini ndiyo kila kitu.

Leo si sikukuu wala nini ila naiona alhamis nzuri ikiisha bila matatizo yeyote,mtoto wa Kiswahili nipo niliambiwa nipo kwaajili ya kutapeli wanaume,aaaaah wapi hata niliokutana nao ni makapuku tu, mwanaume gani nguo hafui,hanyooshi shati,ataninyoosha Mimi,

Humu najua wenye pesa wapo ila ni wachache mno.

Povu ruksa,ila matusi sitaki ,tutavirugana Maria nipo mejaa teleee

Haya kujeni
Mimi Nina elfu ishilini!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom