Yani hapa inakuaga shida sana.Mara nyingi ukiwa na Mama anaanza kukuambia vitu alivyofanya Baba, hata kama vipo kuna namna huwa vinakuzwa sasa kama mtoto huna uwezo wa kupambanua unaanza kumchukia mzee moja kwa moja. Lakini huwezi sikia hata siku moja Baba anamuongelea Mama vibaya. Na hii hupelekea madingi wengi kutengwa uzeeni sababu ya chuki iliyopandikizwa muda mrefu.
Huyo hahitaji kusikiliza upande wa pili ni muhalifu…!! 😹😹Tutafungwa 😅😅😅😅
Au mcheza mpira?
Sahihi kabisa, ukweli unakuja kwa kuchelewa sana!Mwisho wa siku wote mnapata aibu 😅
Ukweli una kawaida ya kuchelewa
Kifanyike Nini wakati ni issue ya ubinafsi!?Sasa hapa nini kifanyike hapa jamani
Ni kweli kabisa 🙌Kifanyike Nini wakati ni issue ya ubinafsi!?
Hayo yote Yana sababiswa na ubinafsi alionao binaadamu siku zote Kila Upande Huwa unapenda kujiona kwamba upo sahihi !
And of course it's life is a game of survival so it's true Kila mtu Huwa yupo sahihi Kwa upande wake
Ni sawa sawa na uonavyo now kuhusu ccm , It's a game of survival wao wanaamini wanayo yafanya ni sahihi cause wanajaribu kulinda mkate wao usiwaponyoke na wanao pambana na ccm wana amini kuwa wapo sahihi cause ccm Imegeuka kuwa watesi wa maisha ya watu ,
So life's a game of survival hakunaga baya Bali ubaya wa jambo Au uzuri wake unategemea na tafsiri ya mtu/watu vichwani mwao Wameegemea ktk upande upi Kwa wakati huo ,
Wiiiii!Weeee!
Unakuta kazee kamepanga hata geto kanaishi kenyewe kumbe kametengwa, wanaume tunapitia mengi,watoto huamishia upendo wote kwa Mama yao. Ndo maana kuna wazee wajanja wanajenga nyumba nyingine kisirisiri vitimbi vikianza anaenda kwenye nyumba yake nyingine maana hizo ni dakika za lala salama.Yani hapa inakuaga shida sana.
Wazee wengi hawapendwi pamoja na jitihada zao 😝
Ndio maisha samaki mkubwa hula mdogo ili aweze kuishiNi kweli kabisa 🙌
Nipe link yake
Una akili sana ewe mleta madaKusikia upande mmoja tu wa story ni hatari. Mara nyingi mtu anakwambia sehemu inayomfaa yeye na kuacha zile zinazomtoa kwenye lawama
Zitafute basi nije tule 😝Una akili sana ewe mleta mada
Binafsi hii inaenda mpaka kwa mtu binafsi
Wengi wetu huwa wanajiona wako sawa ilihali Wanaangalia wanacho amini wao bila ya kuangalia perspective ya mtu mwingine.
Nyie ndo aina ya wanawake hata kama a nakuomba pesa ni sawa tu maana anakichwa cha kukufanya uzipate zaid
Haya mrembo nitazidi kuangalia mwenendo wako humu na nitafanya maamuzi magumuZitafute basi nije tule 😝
Ukweli hauonekani pale uongo unapotawala.Habari wana JF
Wakati tunaelekea mwisho wa mwaka kwenye msimu wa sikukuu nimejaribu kutafakari peke yangu hili jambo tajwa hapo juu (ukweli ni kitu gani?) bila mafanikio. Msingi wa tafakari yangu unatokana na maandiko matakatifu (biblia agano jipya) ambapo Yesu aliulizwa na Pilato je ukweli ni kitu gani? Bahati mbaya muandishi hakueleza kama Yesu alijibu na jibu lake lilikua ni lipi? (kwa wale wenye uelewa zaidi ya huu watanijuza pia).
Kwa kutumia uwezo wangu nimejaribu kujiuliza hili swala muda mrefu sana nisipate jibu lake. Mara nyingine utaona watu wanabishana na kila mmoja ana...
- MIXOLOGIST
- Replies: 103
- Forum: Jamii Intelligence
Hatuwezi kumjua mtu kwa bandiko moja tuu, lazima tuwe na package ya mawazo yake kwenye mkusanyiko wa maandisi yake kwinginekoUnamaanisha kunifuatilia?
Sawa sawa.Kwamba ikiwa ni wewe uta hadithia nini kuhusu mtalaka wako?
Watu wakiachana kila mmoja huamini kakosewa so hakuna tatizo lolote akihadithia muhimu asimdhalilishe na kutweza utu wake
Waswahili wanasema usimalize maneno