- Thread starter
- #21
Kabisa Dada yangu! Usipoolewa mwaka huu kuwa nasubira mwakani naongeza mke wa pili, nitakupa kipaumbele dada yangu! Hongera kwa utilivu!Mnyazi Mungu akuweke sana udugu wangu Dmkali
huo ndo ukweli, wanaume wanapenda malaya, aivo nna udugu wangu mwenyewe Zainab malaya wa mburahati anaolewa kutwa mara 3, mie nipo tu kama yatima niliesuswa, Poooh malaya nimefungwa kuolewa... Aivo naenda kisarawe kwa bibi angu kambaulaya malaya wa TANU mwenye ndoa 7 akanifungue!
Poooh ukweli ndo huu udugu wangu Dmkali malaya ndo wanaolewa, sisi watulivu tumekalia Salamaleko Mnyanzi Mungu atusaidie.
Malaya wanaolewa mapema sana