Ukweli mchungu: Wanaume hupenda mwanamke malaya kuliko mtulivu. Ndiyo maana malaya wana bahati ya kuolewa mapema kuzidi wengine

Naunga mikono na miguu ukweli ndo huo malaya wana tulea sana hasa midomo zege sisi hela yako tuu wengine hawa wiki unafuzia hela una mpa mzigo hupati
 
Nakubaliana na ww kuhusu malaya kama kicha cha mwanaume pindi akibanwa na haja..

Ila napingana na ww kuwa malaya wanaongoza kuolewa...

Kaaa ukijua hakuna kitu mwanaume anakiogopa kwa mke kama umalaya,,mwanaume yupo tayari aowe mwanamke mbaya kuliko malaya wake wote akiamini hata tamaniwa na wanaume wengine...

So malaya wanapendwa kwa kukizi haya ya mda mfupi..ndio maana wanaume wengi hujuta baada ya tendo.
 
Muongo ,mwanamke aliye tulia na asiye na mambo mengi ana 95% ya kuolewa. Mwanaume anapotaka kuoa anakuwaga makini sana, kutafuta mwanamke aliye tulia sababu wanaume tunatafuta mwanamke atakekufanya utulie na uwe na amani ndani na nje ya nyumba ili utafute hela vizuri.

Sasa wadanganye wadanki danki kisha wakutane na rungu la kipepe ,mimba then single mother.
Ni Imani yako ...Mimi sio mwongo,..kazini nilipo wasichana mapepe' ndio Wana ndoa hao watulivu...wengine bado wsnasubiri wengine ni Single Mother!
Hata hivyo utulivu ni relative!
 
Ni Imani yako ...Mimi sio mwongo,..kazini nilipo wasichana mapepe' ndio Wana ndoa hao watulivu...wengine bado wsnasubiri wengine ni Single Mother!
Hata hivyo utulivu ni relative!
Labda wanaume wa kazini kwenu, ila siku zote mwanaume ili aweze kutulia na akili yake iconcetrate kutafuta hela kwa ajili ya mahitaji ya familia yake anahitaji utulivu wa akili, ndani na nje ya nyumba na anahitaji amani ndani na nje ya nyumba, so hivi vitu vinapatikana kwa mwanamke aliyetulia.

Kama unataka kucheza kamari na amani ya moyo na akili yako oa mapepe.Nyumba ni mwanamke mwanamke wako akiwa hovyo, mapepe jua nyumba yako itakuwa hivyo hivyo hata performance ktk shughuli zako itashuka,KUPANGA NI KUCHAGUA ila matokeo utayapata kutoka na ulicho kichagua.

Ufikirie kutafuta hela, ufikirie kumtuliza mtu mzima na mapepe yake,muda huo wanaume hatuna.
 
Hata wanawake wanawakubali Sana wanaume wale wabishi, wababe wahuniwahuni

Lakini wale wanaojifanya wemawema, care Care za kutosha utatoswa mpaka moyo ufe ganzi
 
Mnyazi Mungu akuweke sana udugu wangu Dmkali
huo ndo ukweli, wanaume wanapenda malaya, aivo nna udugu wangu mwenyewe Zainab malaya wa mburahati anaolewa kutwa mara 3, mie nipo tu kama yatima niliesuswa, Poooh malaya nimefungwa kuolewa... Aivo naenda kisarawe kwa bibi angu kambaulaya malaya wa TANU mwenye ndoa 7 akanifungue!

Poooh ukweli ndo huu udugu wangu Dmkali malaya ndo wanaolewa, sisi watulivu tumekalia Salamaleko Mnyanzi Mungu atusaidie.
Ha ha ha ila kwa research nlofanya vichechende vinapata wanaume waliotulia na wanawapenda kweli shida wao sasa utawekwa roho juu na kumuacha huwezi yanii
 
Ha ha ha ila kwa research nlofanya vichechende vinapata wanaume waliotulia na wanawapenda kweli shida wao sasa utawekwa roho juu na kumuacha huwezi yanii
Aivo ulikua hujui Udugu wangu? Vichekesho hawazingatiwi kurogwa nyota zao zimiachwa zinaangaza kama panga la kuzimu poooh! ukiwa mzuri unafifishwa kama upepo wa kiama, Mnyazi Mungu atusaidie
 
Ha ha ha ila kwa research nlofanya vichechende vinapata wanaume waliotulia na wanawapenda kweli shida wao sasa utawekwa roho juu na kumuacha huwezi yanii
Tena fasta! Na vinajua kulenga balaa hadi wengine wanabaki midomo wazi, lakini ndo kinaolewa sasa
 
Pooh!!! wanibake niivae nuksi za majini ya hapa na pale. Sitaki mie kama wanaweza wapande daladala za mwanarumango watanikuta nimijaa kwenye pishi kwa bibi yangu kambaulaya waje na nia nzuri la sivyo kitawakuta kitu chekundu.. Poooh! Mnyazi Mungu anisaidie nifanikiwe
Hahahaha maraya wa manerumambo acha ubabaifu mwafulaaaa

Vipi kambaulaya? Hajambo?
 
Back
Top Bottom