UKWELI MCHUNGU: Wakatoliki wenzangu Papa Francis ni mjumbe wa shetani ndani ya kanisa

kabisa mkuu, ila sasa wafia dini wanatoa ufafanuzi, wanasema eti papa hakumaanisha alichotolea tamko.
Shida ni kwamba you rely on BBC kujua alichosema papa wakati BBC siyo official source ya yanayosemwa kuhusu Kanisa Katoliki. Ni kama kutaka kujua alichosema Rais Samia Suluhu Hassan halafu uende/u'rely' on vyombo vya habari vya Rwanda au Burundi, au Sudani. Kwa nini usiende kwenye tovuti ya Ikulu au vyombo vya habari vya serikali?

Maana hivi ndivyo official sources za habari za serikali Tanzania? Vivyo hivyo hata kwa Kanisa Katoliki. Lina vyanzo vyake vya habari kama vile Vatica News (website) au CNA (Catholic News Agency) au EWTN. Kwa nini usiende kusoma huko, lakini uamini BBC, CNN, DW etc? Media fulani ikiripoti habari inaangali sera yake katika hiyo issue na mlengo wao. Mfano, BBC sera yao ina'promote' ushoga.

Hivyo, hata wewe ukizungumzia ushoga hata kama ulisema tofauti, BBC watatafuta namna ya kuiweka ili ionekane ulisema unauunga mkono. Sasa wasomaji wengi hawajui mechanisms of reporting news with 'interest bias'. Mfano mwingine ni kusoma habari za Chadema gazeti la Mzalendo au Tanzanite, halafu useme hicho yanachokisema hayo magazeti ndicho kilichosemwa Chadema, kweli?

Au ukitaka kujua umuhimu wa ndoa ya mke mmoja uende kusoma magazeti yanayochapishwa na wamiliki ambao ni Waislamu au kusoma habari za faida za kuoa wake wengi uende kusoma magazeti yanayomilikiwa na watu ambao ni Wakristo halafu useme ni kweli hayo magazeti yanachosema ndizo faida za ndoa ya mke mmoja au wengi, kweli?

Najua wasomaji wengi wangependa kusikia Kanisa Katoliki limefeli maana hapo wanafurahi na hivyo wanalitakia mabaya mengi, lakini hawatafanikiwa. Tafuteni ukweli kule unakopatikana na siyo hata usipopatikana unaona tu umepatikana. You are wasting your time.
 
Kanisa Katoliki ndio Kanisa halisi la Kristo na hili hatuhitaji nguvu kufanya uamini. Usipoamini duniani utafahamu mbinguni! Hayo mambo mengine ni vita visivyoisha na shetani! Ila haibadili ukweli wa Kanisa mama.
 
Kanisa mama linaongozwa na wafukuliwa mitaro , una akili au tope wewe ?
 
Kanisa Katoliki ndio Kanisa halisi la Kristo na hili hatuhitaji nguvu kufanya uamini. Usipoamini duniani utafahamu mbinguni! Hayo mambo mengine ni vita visivyoisha na shetani! Ila haibadili ukweli wa Kanisa mama.
Kanisa mama halafu linabariki ushoga? How?
 
Mizimu yetu ni dhaifu ilishindwa kutulinda dhidi ya utumwa na ukoloni
KABLA YA HAPO MKOLONI ALIWAVUA GAMBA MABABU ZETU YAANI MKOLONI ALIJUA NGUVU YA MIZIMU YA KWETU AKAANZA NA KUWABADILI MAJINA NA KUWABATIZA YAANI KUWATENGUA UDHU KWANZA NDIPO KIPIGO KIKAFUATA SASA HIVI KILA KONDOO ANATUMIA JINA LA MZIMU WA KIZUNGU HALAFU BABU ZAKE ANAWAKEMEA KWA JINA LA MZIMU WA KIZUNGU YESU. Ndiyo maana hatufanikiwi tumebaki kila uchao kukusanya fedha na kumpelekea mzungu hata kama unaumwa ulishadanganywa kuna pepo na moto wa milele na kwa hofu ya huo moto unakuwa mtumwa wa fikra maisha yako yote na kumwabudu mfanyabiasha ya dini mzungu na wewe kujiona haufai mbele ya Mweupe. FUNGUKA
 
Kanisa Katoliki ndio Kanisa halisi la Kristo na hili hatuhitaji nguvu kufanya uamini. Usipoamini duniani utafahamu mbinguni! Hayo mambo mengine ni vita visivyoisha na shetani! Ila haibadili ukweli wa Kanisa mama.
Acha kujipendekeza kwa kujifanya unajua sana biashara ya dini ya wazungu kuliko unavyoijua familia yako. Biblia na makanisa yote yametunga uwongo unaowasumbua waafrica kila siku wanadhani wanamtumikia Mungu kumbe upumbavu mtupu. Mzungu alitunga Biblia licha ya kuwa inasema uwongo kuanzia kitabu cha Mwanzo mpaka ufunuo lakini waafrica mmeshindwa kugundua hila za kishenzi zilizopo kwenye biashara ya dini sasa kwa kuwadharau wanawaambia wanaume kwa wanaume muowane wakati kwenye kitabu chao hadithi kwa jina la biblia walisema ushoga ni haramu sasa hivi ushoga ni halali bado tu hamjatambua ushenzi huo mpo tu mwisho mtaambiwa mlale na wazazi wenu kwakuwa hamuambiliki. WAAFRICA TUJITAMBUE TURUDIE MILA NA UTAMADUNI WETU KWAKUWA KABLA YA WAZUNGU KUJA NA MUNGU WA VITABUNI MUNGU ALIKUWEPO AFRICA NA WATU WALIMUABUDU WAKAFANIKIWA. KULIKO KUABUDU MILA ZA WAZUNGU NA WAARABU KWA VITISHO VYA KUCHOMWA MOTO WA MILELE WAKATI NI HADITHI ZA KUIGIZA NA HUYO YESU WAO ALISEMA YEYE HAKUJA DUNIANINILA KWA AJILI YA KONDOO WA ISARAEL WALIOPOTEA SASA WEWE MWAFRICA MWENZA UNATESKA NA KUJIPENDEKEZA UKIWA WAPI?
 
Wewe ni mkatoliki unayeupenda ukatoliki ila huamini juu ya changamoto za ukatoliki

Soma historia ya kanisa vizuri halafu palipo na uimara shikilia na palipo na madhaifu jifunze, sio lazima kukumbatia kila kitu hata kama bi dhambi, ndani ya kanisa dhambi pia ipo ndiyo maana hata makasisi wetu nao hufanya sakramenti ya kitubio
DINI ZOTE ZILIZOLETWA NA WAZUNGU NA WAARABU NI HADITHI ZA KUTUNGA ILI KUWATAWALA WAAFRICA BIBLIA NI KITABU CHA UWONGO KUANZIA MWANZO MPAKA UFUNUO ILA UKIWA KONDOO HUWEZI ELEWA CHOCHOTE NA UTAKUWA TAYARI KUPIGANA KUMBE UNATETEA UPUMBAVU WARUMI NDIYO WANAOITWALA DUNIA HIVYO HUTUNGA CHOCHOTE NA KUKIHALALISHA NA KONDOO WOTE MNAKUBALI HAKUNA CHA PEPO WALA MOTO WA MILELE NI MAIGIZO YA KUSHIKA AKILI ZA WAAFRICA ILI BIASHARA YAO YA DINI IENDELEE KUKUSANYA FEDHA ZA WAJINGA DUNIANI KOTE. WAAFRICA TUJITAMBUE TURUDIE MILA NA UTAMADUNI WETU MAMBO YA USHOGA SIYO UTAMADUNI WA MWAFRICA. MTOA POST AJIULIZE KABLA YA WAZUNGU NA WAARABU KULETA VITABU VYAO VYA HADITHI AFRICA HAPAKUWEPO MUNGU ? KAMA ALIKUWEPO HUYO NDIYE ANAYEPASWA KUABUDIWA NA SIYO HUYO MUNGU WA VITABUNI ANAYEGEUKA KAMA KINYONGA MARA LEO USHOGA HARAMU KESHO HALALI KUMBE UPUUZI MTUPU.
 
KABLA YA HAPO MKOLONI ALIWAVUA GAMBA MABABU ZETU YAANI MKOLONI ALIJUA NGUVU YA MIZIMU YA KWETU AKAANZA NA KUWABADILI MAJINA NA KUWABATIZA YAANI KUWATENGUA UDHU KWANZA NDIPO KIPIGO KIKAFUATA SASA HIVI KILA KONDOO ANATUMIA JINA LA MZIMU WA KIZUNGU HALAFU BABU ZAKE ANAWAKEMEA KWA JINA LA MZIMU WA KIZUNGU YESU. Ndiyo maana hatufanikiwi tumebaki kila uchao kukusanya fedha na kumpelekea mzungu hata kama unaumwa ulishadanganywa kuna pepo na moto wa milele na kwa hofu ya huo moto unakuwa mtumwa wa fikra maisha yako yote na kumwabudu mfanyabiasha ya dini mzungu na wewe kujiona haufai mbele ya Mweupe. FUNGUKA
Mzimu ni roho iliyokufa,Yesu hakufa.
Mizimu na maendeleo wapi na wapi mizimu haitaki maendeleo
 
Acha kujipendekeza kwa kujifanya unajua sana biashara ya dini ya wazungu kuliko unavyoijua familia yako. Biblia na makanisa yote yametunga uwongo unaowasumbua waafrica kila siku wanadhani wanamtumikia Mungu kumbe upumbavu mtupu. Mzungu alitunga Biblia licha ya kuwa inasema uwongo kuanzia kitabu cha Mwanzo mpaka ufunuo lakini waafrica mmeshindwa kugundua hila za kishenzi zilizopo kwenye biashara ya dini sasa kwa kuwadharau wanawaambia wanaume kwa wanaume muowane wakati kwenye kitabu chao hadithi kwa jina la biblia walisema ushoga ni haramu sasa hivi ushoga ni halali bado tu hamjatambua ushenzi huo mpo tu mwisho mtaambiwa mlale na wazazi wenu kwakuwa hamuambiliki. WAAFRICA TUJITAMBUE TURUDIE MILA NA UTAMADUNI WETU KWAKUWA KABLA YA WAZUNGU KUJA NA MUNGU WA VITABUNI MUNGU ALIKUWEPO AFRICA NA WATU WALIMUABUDU WAKAFANIKIWA. KULIKO KUABUDU MILA ZA WAZUNGU NA WAARABU KWA VITISHO VYA KUCHOMWA MOTO WA MILELE WAKATI NI HADITHI ZA KUIGIZA NA HUYO YESU WAO ALISEMA YEYE HAKUJA DUNIANINILA KWA AJILI YA KONDOO WA ISARAEL WALIOPOTEA SASA WEWE MWAFRICA MWENZA UNATESKA NA KUJIPENDEKEZA UKIWA WAPI?
Wapi mzungu kaandika biblia.
Hakuna ushoga kwenye biblia.
Mizimu ni kitu dhaifu kwann utegemeee kitu kilichoshindwa hata kujilinda chenyewe dhidi ya dini za kweli.
Ingekuwa mizimu ina nguvu kusingekuwepo na Ukristo Africa.
Mizimu na maendeleo wapi na wapi.
 
DINI ZOTE ZILIZOLETWA NA WAZUNGU NA WAARABU NI HADITHI ZA KUTUNGA ILI KUWATAWALA WAAFRICA BIBLIA NI KITABU CHA UWONGO KUANZIA MWANZO MPAKA UFUNUO ILA UKIWA KONDOO HUWEZI ELEWA CHOCHOTE NA UTAKUWA TAYARI KUPIGANA KUMBE UNATETEA UPUMBAVU WARUMI NDIYO WANAOITWALA DUNIA HIVYO HUTUNGA CHOCHOTE NA KUKIHALALISHA NA KONDOO WOTE MNAKUBALI HAKUNA CHA PEPO WALA MOTO WA MILELE NI MAIGIZO YA KUSHIKA AKILI ZA WAAFRICA ILI BIASHARA YAO YA DINI IENDELEE KUKUSANYA FEDHA ZA WAJINGA DUNIANI KOTE. WAAFRICA TUJITAMBUE TURUDIE MILA NA UTAMADUNI WETU MAMBO YA USHOGA SIYO UTAMADUNI WA MWAFRICA. MTOA POST AJIULIZE KABLA YA WAZUNGU NA WAARABU KULETA VITABU VYAO VYA HADITHI AFRICA HAPAKUWEPO MUNGU ? KAMA ALIKUWEPO HUYO NDIYE ANAYEPASWA KUABUDIWA NA SIYO HUYO MUNGU WA VITABUNI ANAYEGEUKA KAMA KINYONGA MARA LEO USHOGA HARAMU KESHO HALALI KUMBE UPUUZI MTUPU.
Biblia ni moja inayotumika dunia pote hakuna biblia ya wazungu Wala waafrika.
Ushoga ni tabia ya kishetani,hakuna fundisho la ushoga kwenye Ukristo.
 
DINI ZOTE ZILIZOLETWA NA WAZUNGU NA WAARABU NI HADITHI ZA KUTUNGA ILI KUWATAWALA WAAFRICA BIBLIA NI KITABU CHA UWONGO KUANZIA MWANZO MPAKA UFUNUO ILA UKIWA KONDOO HUWEZI ELEWA CHOCHOTE NA UTAKUWA TAYARI KUPIGANA KUMBE UNATETEA UPUMBAVU WARUMI NDIYO WANAOITWALA DUNIA HIVYO HUTUNGA CHOCHOTE NA KUKIHALALISHA NA KONDOO WOTE MNAKUBALI HAKUNA CHA PEPO WALA MOTO WA MILELE NI MAIGIZO YA KUSHIKA AKILI ZA WAAFRICA ILI BIASHARA YAO YA DINI IENDELEE KUKUSANYA FEDHA ZA WAJINGA DUNIANI KOTE. WAAFRICA TUJITAMBUE TURUDIE MILA NA UTAMADUNI WETU MAMBO YA USHOGA SIYO UTAMADUNI WA MWAFRICA. MTOA POST AJIULIZE KABLA YA WAZUNGU NA WAARABU KULETA VITABU VYAO VYA HADITHI AFRICA HAPAKUWEPO MUNGU ? KAMA ALIKUWEPO HUYO NDIYE ANAYEPASWA KUABUDIWA NA SIYO HUYO MUNGU WA VITABUNI ANAYEGEUKA KAMA KINYONGA MARA LEO USHOGA HARAMU KESHO HALALI KUMBE UPUUZI MTUPU.
Asante kwa kushiriki na kuchangia maoni
 
Back
Top Bottom