Uncle Shamte hausiki na show hii 😅😅😅Vipi unko shamte hii mada inamuhusu
Haya mambo inategemeana na mazingira zaidi ndio maana hata videmu vya ushenzini vinaenda GYM za Mikocheni, Kawe ama kujiunga na jogging club za ushuani huko! 😅😅😅 Watu hawachezi mbali na fursaWanaangalia status zinazoendana.
We pata picha binti was tajiri amtoe kijana tandale uswahilini akamtambulishe kwao masaki..
Pata picha kijana msomi tajiri hadi kwao amtoe binti wa muuza GENGE uswahilini akamtambulishe kwao..
Ni ngumu sana hasa kwa mlengwa ambae ni maskini,labda mambo yaende tofauti tu.but ni ngumu sana
Kila mtu achukue wa level zake basiHaya mambo inategemeana na mazingira zaidi ndio maana hata videmu vya ushenzini vinaenda GYM za Mikocheni, Kawe ama kujiunga na jogging club za ushuani huko!Watu hawachezi mbali na fursa
Usawa haujawahi kuwepo, alijisemea DR.Kumbuka “Hamna mtu asiyependa kula pazuri jamani”Kila mtu achukue wa level zake basi
Hahahaa we uchebe saizi yako shilole..usijitakie kutekwa ukatupwa mtaroni bure.Usawa haujawahi kuwepo, alijisemea DR.Kumbuka “Hamna mtu asiyependa kula pazuri jamani”
Hahahahah cha muhimu mmependana tu jamani! Nyie ndio mnaofanya ndoa ziwe ngumu kwa akili hizi🤣🤣🤣Hahahaa we uchebe saizi yako shilole..usijitakie kutekwa ukatupwa mtaroni bure.
Mtu unaenda ukweni unaulizwa babako ana proffesion gani unajibu "ah yupoyupo tu"
Na wewe je? "Ah kuna Moshe Moshe flank tu napiga"
Watakuelewaje
Maskini kupenya kwa tajiri NI ngumuHahahahah cha muhimu mmependana tu jamani! Nyie ndio mnaofanya ndoa ziwe ngumu kwa akili hizi
Inategemea na akili ya baba yake huyo tajiriMaskini kupenya kwa tajiri NI ngumu
Maandishi yako yanaakisi jina lako hakika unatenda vyenye inatakiwa kutendaHaya mambo inategemeana na mazingira zaidi ndio maana hata videmu vya ushenzini vinaenda GYM za Mikocheni, Kawe ama kujiunga na jogging club za ushuani huko!Watu hawachezi mbali na fursa