Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,334
- 5,841
Kongole kwa Simba kwa kufanya vyema miaka sita huko nyuma Kwa kuingia makundi na kuishia robo,
Kongole pia kwa kutinga nusu fainali CL mwaka miaka ya 1970 huko
Sasa tuje leo,wote tupo makundi,wote tutacheza home and away mechi sita na ninajua wote tutaingia robo
Simba ashafika nusu fainali,hivyo Yanga ana kizingiti kimoja tu ambacho Simba nacho kimemshinda
Kuingia fainali
Wanasimba ombeni Yanga asiingie nusu fainali,akifika tu hapo,fainali ni kugusa tu
Sasa swali langu iwapo Yanga ataingia fainali,tena baada ya miaka 25,hizo jitihada zenu zote za miaka sita mfululizo zitakuwa na tija?