Ukweli mchungu: Iwapo Yanga ataingia fainali CL msimu huu, jitihada zote za Simba kwa miaka sita nyuma zitakuwa na maana!?

Kilimbatz

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
4,334
5,838
Kongole kwa Simba kwa kufanya vyema miaka sita huko nyuma Kwa kuingia makundi na kuishia robo,

Kongole pia kwa kutinga nusu fainali CL mwaka miaka ya 1970 huko

Sasa tuje leo,wote tupo makundi,wote tutacheza home and away mechi sita na ninajua wote tutaingia robo

Simba ashafika nusu fainali,hivyo Yanga ana kizingiti kimoja tu ambacho Simba nacho kimemshinda

Kuingia fainali

Wanasimba ombeni Yanga asiingie nusu fainali,akifika tu hapo,fainali ni kugusa tu

Sasa swali langu iwapo Yanga ataingia fainali,tena baada ya miaka 25,hizo jitihada zenu zote za miaka sita mfululizo zitakuwa na tija?
 
Mods wekeni vizuri kichwa Cha habari,

Zitakuwa na maana!!?
 
Wanasimba ombeni Yanga asiingie nusu fainali,akifika tu hapo,fainali ni kugusa tu
Hakuna haja ya kuomba, ni kwamba hataweza kufika hata robo

1696238851553.png
 
Kongole kwa Simba kwa kufanya vyema miaka sita huko nyuma Kwa kuingia makundi na kuishia robo,

Kongole pia kwa kutinga nusu fainali CL mwaka miaka ya 1970 huko

Sasa tuje leo,wote tupo makundi,wote tutacheza home and away mechi sita na ninajua wote tutaingia robo

Simba ashafika nusu fainali,hivyo Yanga ana kizingiti kimoja tu ambacho Simba nacho kimemshinda

Kuingia fainali

Wanasimba ombeni Yanga asiingie nusu fainali,akifika tu hapo,fainali ni kugusa tu

Sasa swali langu iwapo Yanga ataingia fainali,tena baada ya miaka 25,hizo jitihada zenu zote za miaka sita mfululizo zitakuwa na tija?

Mshaanza kuokoteza okoteza, sijui alicheza nusu failnali mwaka 70 ilikuwa nusu fainali ya mashindano gani?
 
Kongole kwa Simba kwa kufanya vyema miaka sita huko nyuma Kwa kuingia makundi na kuishia robo,

Kongole pia kwa kutinga nusu fainali CL mwaka miaka ya 1970 huko

Sasa tuje leo,wote tupo makundi,wote tutacheza home and away mechi sita na ninajua wote tutaingia robo

Simba ashafika nusu fainali,hivyo Yanga ana kizingiti kimoja tu ambacho Simba nacho kimemshinda

Kuingia fainali

Wanasimba ombeni Yanga asiingie nusu fainali,akifika tu hapo,fainali ni kugusa tu

Sasa swali langu iwapo Yanga ataingia fainali,tena baada ya miaka 25,hizo jitihada zenu zote za miaka sita mfululizo zitakuwa na tija?
tusubiri kwanza
 
Kwasasa katika bara zima la Afrika zipo timu chache sana zinazo weza kumzuia Yanga, Nafikiri hazi zidi 3/4 kwaiyo Yanga kucheza nusu fainali ya klabu bingwa msimu huu ni swala la muda tu.
Ukiwa hata wa 3 kwenye kundi mkuu uje hapa uniite unitukane utakavyo. Chura atakua wa mwisho kwenye kundi atakalopangiwa🤣🤣🤣🤣 hakuna timu yenye vita kwao utakayo pangiwa tena. Timu za kucheza mechi zote away hahahah subiria kina al ahly nk watakukula chura mbaya
 
Ipo Al ahil ya Sudan
 
Fainali ya kucheza Baikoko!? Ndio nyie washabiki kwa sababu una uwezo wa kununua Jezi na kuvaa tayari mshabiki na mchambuzi
 
Ushabiki wa kitanzania ni wa kijinga sana, ubora wa Simba/Yanga unapimwa kwa kulinganisha matokeo ya mwingine au kwa mafanikio aliyoonyesha kwenye msimu ndani na nje ya nchi!?.., huu usimba na uyanga unatuletea ujinga mpaka tunashindwa kujadili maendeleo na muelekeo wa timu zetu, tunabakia kulinganisha huyu kafanya hili, yule kafanya hili.
 
Back
Top Bottom