Ukweli kuhusu maisha ya ughaibuni


Asante Kwa uchambuzi wako na kutuelewesha. Kwa neema ya Mungu nitakuwa Canada 2022. Ngoja mwaka huu na ujao nifanye process
 

Huna experience wewe wasema
 
Huna experience wewe wasema
Toa maelezo acha zamo...Canada au Marekani sio Mars au Pluto wawe tofauti na nchi zingine.

Ambacho anaeleza haliwezekani kivipi maana naona waruka ruka mzee baba?
 
Noma sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Jamaa amesema kuwa alizamia,


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
NAENDELEA KUSISITIZA KUWA CANADA HAUKUNA MKIMBIZI KUTOKEA NCHI YA MAREKANI NA KAMA UNABISHA TUONYESHE VITAMBULISHO VYAKO VYA UKIMBIZ WAKO WA CANADA

NA NINIAENDELEA KUKUSISITIZA CANADA HAKUNA KAMBI YA KUPOKEA WAKIMBIZI

Jamaa anasema kuwa aliingia kama mkimbizi wa somalia, sio mkimbizi kutoka marekani..

Au mm ndio sielewi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ukiwa na fingerprint ya Kwa Mnyamwezi ukiingia Canada kuomba ukimbizi lazima wataviona na watajua kuwa umetokea bongo,kwahiyo almost haiwezekani kujipiga kusonjo(kisomali)Unless uwe na plan B,

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu najiuliza - kama ukijilipua kwamba wewe ni msomali mkimbizi, mamlaka za canada hazina utatatibu wa kucheki na ubalozi wa somalia huko canada? Maana hii inaweza lipua bomu. Tuelimishane kuhusu hili!!!
 
Na mi najiuliza maana kama ingekuwa rahisi ivi wakimbizi si wangefurika canada?
 
jomba Dola 3000 ni pesa ndefu mno ,au ulikuwa unamaanisha Dola 300.
Huo no mtaji bongoland unatoboa nao kabisa yaan
 
Nasikia jamaa wa uhamiaji ni wasumbufu sana aisee.
Yaani unaweza ukaenda pale ukaishia kutwangwa maswali ya kipuuzi na passport ukakosa.
Nenda ofisi yao ya kurasini kuna Stationery nyingi pale nje kuna watu wanaweza kukusaidia kuandaa documents zote zinazohitajika Kupata passport.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi kanichanganya hapo, alikili pass ni kitanzania, kisha anadai aliichana!! Kuchana na kutumbukiza chooni kuna msaada gani! Kwa nini asiichimbie mahali kwenye udongo, nawaza tu.
Walipokuuliza hati ya Tanzania uliipata wapi? Siuliwajibu?

Sasa kitabu kipo wapi? Uliwajibu nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa anasema kuwa aliingia kama mkimbizi wa somalia, sio mkimbizi kutoka marekani..

Au mm ndio sielewi


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu hakuna mkimbz kutoka mpaka wa marekana na canada hapo ndo alikosea kuongea
 
Halafu najiuliza - kama ukijilipua kwamba wewe ni msomali mkimbizi, mamlaka za canada hazina utatatibu wa kucheki na ubalozi wa somalia huko canada? Maana hii inaweza lipua bomu. Tuelimishane kuhusu hili!!!

Hata uko wasingefika .
Swali la kwanza aliingiaje marekani kutoka somalia?
Hapo tu ndo angeshikwa
 
Mkuu hakuna mkimbz kutoka mpaka wa marekana na canada hapo ndo alikosea kuongea
Mkuu wewe ni mbishi saana ila sikushangai maana wabongo wao kila kitu wanajua hata kama hawajapitia.


"Canada braced for new wave of asylum seekers from US
Thousands have crossed into Canada from the US in search of asylum this year, a trend local groups say will continue."

Thousands of asylum seekers - many of whom were from Haiti - have already walked across the border into the province of Quebec without visas since the start of the year to make asylum claims in Canada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…