A3M
Member
- Jul 23, 2019
- 84
- 178
- Thread starter
- #241
Hahahahahahaha mjomba umetishakwa hiyo hayo yote yatabadilika kwa kila Mtanzania kukimbilia nje kuomba ukimbizi?
Nyumbani kugumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahaha mjomba umetishakwa hiyo hayo yote yatabadilika kwa kila Mtanzania kukimbilia nje kuomba ukimbizi?
Aendeelee na stor wakati watu wameshika pabaya???Mkuu achana nao hao wanao leta story za vijiweni.. hebu endelea na story.
Sent using Damu ya Yesu
UsihukumuNajua unatetea tu home...lakini kumbuka kama unavitetea hivi vitendo maana yake unakubaliana navyo...the way forward ni kukemea mabaya sio kuyaficha
Daah ukienda kwa hiyo gia hata jela zisingekuwepoUsihukumu
hautahukumiwa
Usilaumu
hautalaumiwa
Ingia you tube angalia documentary inaitwa Roxham road border crossing 2019
Yani hiyo $3,000 mi biashara yangu nitakuwa nimeisimamisha na ndani ya miaka mitano inaanza kuleta return ya uhakikakwa hiyo milioni 6 ungekomaa bongo ungetoka kitambo toa muendelezo
Miaka mitano itaanza kuleta return,lakini kwa kule hiyo miaka mitano,atakuwa amevuka milioni mia 5,akitulia vizuriYani hiyo $3,000 mi biashara yangu nitakuwa nimeisimamisha na ndani ya miaka mitano inaanza kuleta return ya uhakika
Sent using Jamii Forums mobile app
Marekani hauhitaji kitambulisho kwenda state nyingine hapo umechapia. Pia mleta mada kajilipua, ndio maana kakamatwa border siajabu hata passport aliiacha Mahal otherwise wangemstukia.Iko hivi,unapoingia marekani ukuwa kwenye system za nchi ya marekani.unapokuwa unasafiri popote marekani wanajua kuwa hyu mtu iko wapi na watakutafutia watu.mfano umeenda marekani kwasababu ya shule,ukikarbia kumalzia shule wanaanza kukutumia barua za visa yako kwisha muda wake.na wanajua watakupata wapi maana marekani umeingia una wenyeji wako.kama umepewa siku tatu na ziwe siku tatu unapozidisha wanaanza kufatia kwa wenyej wako na wenyej wako wasipojua ulipo iyo ni kesi kwao.
Ndo umefanikiwa kuingia nchini marekani kwenda canada huwezi kuvuka border ya marekani kuingia canada bila vitambulisho vinavyokutambulisha wewe ni nani na unaenda canada kufanya nini.wanapokuingiza kwenye system zao wanajua kabisa wazi kuwa wewe ni mgeni ulikuja kwa visa ya kutembea hiyo ni kesi nyngine na huwez kuruhusiwa kuingia canada kamwe.
Acha kudanganya watu mkuu,marekani kwenda state nyingine tu lazima uwe na vitambulisha sembuse kuvuka border ya nchi kuingia lazma wawe na taarifa zao na kutoka lazima wapata taarifa zako
Kwaiyo marekani haiwezi kukuruhusu kuvuka border kuingia canada kama wewe uko umekuka marekani kwa njia na vikao mkuu.
Mimi niko marekani,nimeenda canada mara nyingi na nimetembea marekani sehemu nyingi na utaratbu huu wa kusafr naufahamu vizuri sana.
NB:hakuna mkimbizi nchini canada kutokea mpaka wa marekani na sheria ya canada na marekani hairuhusu ukimbiz wa mipakani.
Na kama utakataa nitakuzibishia kwa vitendo.
Na wanaoruhusiwa kuvuka mpaka wa marekani bila ukaguzi ni raia wa marekani ambao wana pasport na ukitoka kuingia canada wanajua kuwa kuna raia wetu ipo kama na hata gari uliotumia utatambulika.hata namba za gari tu wanatambua kuwa gari hii imeshaingia nchi canada au kifika kwenye mipaka ya nchi fulani
Na kama na hili unabisha nitadhibitiha hapa
Marekani kila ktu kipo kwenye system unapofinga tu tayar unashikwa.
Marekani hauhitaji kitambulisho kwenda state nyingine hapo umechapia. Pia mleta mada kajilipua, ndio maana kakamatwa border siajabu hata passport aliiacha Mahal otherwise wangemstukia.
We king Nigga ni kilaza kabisa na sidhani kama kweli upo huko Marekani kama wewe unavyojinadi,Huu jamaa muongo kwa vigezo vifuatavyo kama alivyosema
Canada hakuna kambi ya wakimbizi ambayo yeye anadai kuwa anaishi kwenye kambi hyo.
Hakuna mkimbizi yeyote kutokea marekani nchini canada na sheria hzo hazipo.
Alidaih kuwa alienda canada kwa kutumia gari alafu jamaa wakamwambia aende pale ndo police wa canada walipo na awaambie yeye ni mkimbizi.policr wa nchi ya marekani hawawezi kukuruhusu kuingia canada ikiwa huna vitambulisho vyovyote
Na ikiwa umeshikwa kwenye mpaka lazima wakurudishe marekani.
Vile marekani inatuka leseni yabudereva au ID kutoka state moja kwenda yngine alivuka vipi mikapa ya NY hakuna njia za vichchoro kutumia gari na nikinyume cha sheria kutembea mpakani kwa mguu
Sema kweliiDaah ukienda kwa hiyo gia hata jela zisingekuwepo
Anasubiri kusimuliwa ili aje aandike.Unachukua muda mrefu sanaa kuendeleza uzi mkuu.