Ukweli kuhusu maisha ya ughaibuni

Ukweli kuhusu maisha ya ughaibuni

Kwasababu kwenye interview umekiri una mke Mtanzania na watoto,ikitokea umeshinda kesi itakuwa rahisi sana kuwavuta huko lakin pia kuna wanaigeria ni familia walijitosa huko basi wakakaa huko 2 yrs wakisubiri washinde kesi basi wakashindwa na kurudishwa nigeria,wao waliingia kwa style ya kwamba mtoto wao wa kike anataka kutahiriwa so wamekimbia wanahofia watoto wao wa kike wasije kutahiriwa kwa lazima .
 
Niima kama umechoka kukaa bongo nakufanyia mpango uende canada ni nchi rahisi kupokelewa na kuishi kazi ni nyingi kule
Mimi nitaendaje? Nitakuombea barua ya mwaliko kwa ndugu yangu anayeish canada hyo itakusaidia kupata pasport na ww kwenda canada , ukishafika airport ya canada hakikisha unaharibu pasport yako na nitakupa maelekezo ila tu jua mwishoni utakamatwa na kuhojiwa sana kubali umetoka tanzania na ww ni msagaji(lesbian) ila nchini kwetu hawataki hichi kitu .
Not maswali yatakuwa mengi na nitakueleza ila mwisho wa siku jua utaishi canada na kuinjoy life
Wazanzibar ni balaa na huyu kazunguka.karibu nvhi zote dunaini(alikuwa anaendesha meli kubwa ) keshazeeka sasa kapumzika tu ,,

Kama umeamua kuishi huko usiyakumbuke makosa yako , jisamehe na kusonga mbele , shit happens so usijilamu sana songa mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee!
Upo serious au unaleta utani?
 
Mkuu nikupongeze kwa uthubutu ulionao, kuna usemi usemao mlango mmoja ukifungwa mwingine unafunguka we komaa

nambie mji ulipo tutafutane( mi mwenyewe mgeni tu)
 

Attachments

  • 20200103_225713.jpg
    20200103_225713.jpg
    60.6 KB · Views: 31
Wale jamaa walijua tulikuwa tunatafuta chimbo tuwagon** maana walikuwa wawili na sisi tulikuwa wawili, ila sikujali sana maana kipindi hiko niko msela sana sijali kitu, tukaagana nao wakasema watakuja kesho kufika asubuhi tukahama gesti.
Mzee baba huko Zenjibar
guest za tsh 25 hadi 30 naweza kuzipata wapi ?
 
Je, bado unawasiliana na familia yako na wanajua hali halisi?
 
Mungu akusaidie maombi yakubaliwe insha Allah.
 
Hongera sana mkuu kwa kupambana mpaka ulipofika!

Kikubwa nakutakia upambanaji mwema, saka hela na uwe na nidhamu nazo ili uweze ku save zaidi.
Kamwe usiwasahau watoto na mkeo ndugu yangu make huwezi jua pengine sala zao zimechangia pakubwa ww kupata vibali.
Chukulia kama upo vitani na ushindi wake ni ww kurudi home ukiwa na ngawila za kutosha na wakati huo utakuwa tayari ushafanya uwekezaji wa kufa mtu huku.

Binafsi naamini utakuwa wa msaada kwetu wana jamvi pale tutakapo kuhitaji.
Usiwe mchoyo wa hints make hata ww umepewa mchongo na good people

Aluta continua...
Msaada mkubwa ni kuwaeleza watu kuhusu maisha ya huku na ya ukimbizi.Naomba watu msinisumbue Private kutaka niwafanyie mchongo mimi sina uwezo wowote wa kumsaidia mtu Zaidi ya kutoa mawazo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kupongeza uongo wewe tuambia uko kambi gani canada

Huyo jamaa yako anakataa nini kuwa marekani kutembea kwenda state nyngne lazma uwe na vitambulisho

Ongea kwa matendo weka vitambulisho watu wathibitishe acha maneno

CANADA HAKUNA VITUO VYA KUPOKEA WAKIMBIZI MPAKANI.
Isome stori yangu vizuri,Sijasema kuna kambi mpakani.Hujasoma Thread vizuri Una comment utumbo mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamas totally no muongo ,je aliojiwa kwa light Gani hwakuwepo wasomali wa kumchalenge lugha,alikua hana kitu chochote kile?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu jambo usilolijua usiseme ni uongo.
Mimi ni Shahidi huku Wazanzibari wengi waliokuja miaka 3 iliyopita wamejiripua kisomali kwa jina la kibaharia tunaita Kisonjo.Mimi nilijua ntaletewa Msomali aniongeleshe Kisomali kumbe sivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema ulipoenda for interview waliomba kitambulisho(ID) ukawapa; ni kitambulisho kipi, passport ya Tanzania?
 
Back
Top Bottom