Blood of Jesus Christ
JF-Expert Member
- May 3, 2014
- 616
- 1,117
Pole mkuu
Pole mkuu
Daby Mrs Bishanga canada haina sheria ngumu za uhamiaji kama ilivyo USA Na Australia . pia ni nchi ambayo inahamasisha watu wenye ujuzi mbali mbali kuhamia huko kufanya kazi zipo nyingi watu wanahitajika kwa wingi ,hivyo wana program mbali mbali kwa ajili ya watu wanaopenda kwenda kuishi Canada ,hapa chini ni baadhi ya program ambazo unaweza ku apply na kupata kibali cha kuishi huko ,
Express Entry is an electronic management application system for immigration to Canada. It facilitates the selection and processing of Canada’s economic immigration programs:
- Federal Skilled Worker Program,
- Federal Skilled Trades Program,
- Canadian Experience Class,
- Provincial Nominee Program
Ingia google na uchimbe mwenyewe kujua ni namna gani uta apply na njia ipi inaweza kukufaa zaidi wewe,lakini endapo una ndugu au jamaa anaishi Canada basi inakuwa rahisi zaidi kupata kibali,google pia kama una ndugu unafata process gani ktk izo program za ku apply
Sijaelewa mnabisha nini wakurugenzi....
Mbona haya mambo ya kawaida saana kwa wanaojilipua. Simtetei mtoa mada ila mnakikataa kinafanyika. Sina experience na USA na Marekani ila Ulaya haya mambo yafanyika.
Ujerumani watu kibao wanajilipua kama wasomali. Na interview zinafanyika kama mtoa mada alivyoeleza. Sasa hapo kuna kushinda au kurudishwa. Halafu bado hajakubaliwa kuishi Canada kesi yake inaendelea...ataenda pewa matokeo ya aidha kubaki au kurudishwa.
Toa maelezo acha zamo...Canada au Marekani sio Mars au Pluto wawe tofauti na nchi zingine.Huna experience wewe wasema
Noma sana!Baadhi ya watu wana akili mbovu sana.Wewe ni mmoja wao wakati ile ni biashara haramu ya watu wanachohitaji ni pesa tu sio lingine.Na Wamexico ndio waliokuwa na wanaovusha watu wengi kutokea kwao Mexico kuingia Marekani.Halafu usichokijua ni kwamba Canada na Marekani hakuna Ukuta au uzio wowote sehemu kubwa ipo wazi unaweza hata kuvuka bila kukamatwa,Utakamatwa ukishavuka ukawa upo Canada.Ila Mexico na Marekani kuna Ukuta Mkubwa sana huwezi kuvuka kirahisi lakini still Wamexico ukiwapa pesa Wana njia zao wanakuvusha kutokea Mexico kuingia Marekani ila border Patrol ni kubwa sana Upande wa Marekani.Nimejifunza mengi hapa Canada nimekutana na Wazanzibari kibao na Wasomali kibao nao wamevushwa kutokea Mexico mpaka Canada
Sent using Jamii Forums mobile app
Iko hivi,unapoingia marekani ukuwa kwenye system za nchi ya marekani.unapokuwa unasafiri popote marekani wanajua kuwa hyu mtu iko wapi na watakutafutia watu.mfano umeenda marekani kwasababu ya shule,ukikarbia kumalzia shule wanaanza kukutumia barua za visa yako kwisha muda wake.na wanajua watakupata wapi maana marekani umeingia una wenyeji wako.kama umepewa siku tatu na ziwe siku tatu unapozidisha wanaanza kufatia kwa wenyej wako na wenyej wako wasipojua ulipo iyo ni kesi kwao.
Ndo umefanikiwa kuingia nchini marekani kwenda canada huwezi kuvuka border ya marekani kuingia canada bila vitambulisho vinavyokutambulisha wewe ni nani na unaenda canada kufanya nini.wanapokuingiza kwenye system zao wanajua kabisa wazi kuwa wewe ni mgeni ulikuja kwa visa ya kutembea hiyo ni kesi nyngine na huwez kuruhusiwa kuingia canada kamwe.
Acha kudanganya watu mkuu,marekani kwenda state nyingine tu lazima uwe na vitambulisha sembuse kuvuka border ya nchi kuingia lazma wawe na taarifa zao na kutoka lazima wapata taarifa zako
Kwaiyo marekani haiwezi kukuruhusu kuvuka border kuingia canada kama wewe uko umekuka marekani kwa njia na vikao mkuu.
Mimi niko marekani,nimeenda canada mara nyingi na nimetembea marekani sehemu nyingi na utaratbu huu wa kusafr naufahamu vizuri sana.
NB:hakuna mkimbizi nchini canada kutokea mpaka wa marekani na sheria ya canada na marekani hairuhusu ukimbiz wa mipakani.
Na kama utakataa nitakuzibishia kwa vitendo.
Na wanaoruhusiwa kuvuka mpaka wa marekani bila ukaguzi ni raia wa marekani ambao wana pasport na ukitoka kuingia canada wanajua kuwa kuna raia wetu ipo kama na hata gari uliotumia utatambulika.hata namba za gari tu wanatambua kuwa gari hii imeshaingia nchi canada au kifika kwenye mipaka ya nchi fulani
Na kama na hili unabisha nitadhibitiha hapa
Marekani kila ktu kipo kwenye system unapofinga tu tayar unashikwa.
Mkuu utupe mrejesho ukionana live na mhusika!!!Nipo Scotland kwa sasa ila next week nataka nije huko canada kumchek dogo anapga kitabu pale University of Alberta.
Ntakuchek nikipata nafas
Sent using Jamii Forums mobile app
NAENDELEA KUSISITIZA KUWA CANADA HAUKUNA MKIMBIZI KUTOKEA NCHI YA MAREKANI NA KAMA UNABISHA TUONYESHE VITAMBULISHO VYAKO VYA UKIMBIZ WAKO WA CANADA
NA NINIAENDELEA KUKUSISITIZA CANADA HAKUNA KAMBI YA KUPOKEA WAKIMBIZI
Halafu najiuliza - kama ukijilipua kwamba wewe ni msomali mkimbizi, mamlaka za canada hazina utatatibu wa kucheki na ubalozi wa somalia huko canada? Maana hii inaweza lipua bomu. Tuelimishane kuhusu hili!!!Ukiwa na fingerprint ya Kwa Mnyamwezi ukiingia Canada kuomba ukimbizi lazima wataviona na watajua kuwa umetokea bongo,kwahiyo almost haiwezekani kujipiga kusonjo(kisomali)Unless uwe na plan B,
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mi najiuliza maana kama ingekuwa rahisi ivi wakimbizi si wangefurika canada?Huu jamaa muongo kwa vigezo vifuatavyo kama alivyosema
Canada hakuna kambi ya wakimbizi ambayo yeye anadai kuwa anaishi kwenye kambi hyo.
Hakuna mkimbizi yeyote kutokea marekani nchini canada na sheria hzo hazipo.
Alidaih kuwa alienda canada kwa kutumia gari alafu jamaa wakamwambia aende pale ndo police wa canada walipo na awaambie yeye ni mkimbizi.policr wa nchi ya marekani hawawezi kukuruhusu kuingia canada ikiwa huna vitambulisho vyovyote
Na ikiwa umeshikwa kwenye mpaka lazima wakurudishe marekani.
Vile marekani inatuka leseni yabudereva au ID kutoka state moja kwenda yngine alivuka vipi mikapa ya NY hakuna njia za vichchoro kutumia gari na nikinyume cha sheria kutembea mpakani kwa mguu
Nenda ofisi yao ya kurasini kuna Stationery nyingi pale nje kuna watu wanaweza kukusaidia kuandaa documents zote zinazohitajika Kupata passport.Nasikia jamaa wa uhamiaji ni wasumbufu sana aisee.
Yaani unaweza ukaenda pale ukaishia kutwangwa maswali ya kipuuzi na passport ukakosa.
Walipokuuliza hati ya Tanzania uliipata wapi? Siuliwajibu?
Sasa kitabu kipo wapi? Uliwajibu nini?
Mkuu hakuna mkimbz kutoka mpaka wa marekana na canada hapo ndo alikosea kuongeaJamaa anasema kuwa aliingia kama mkimbizi wa somalia, sio mkimbizi kutoka marekani..
Au mm ndio sielewi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Na mi najiuliza maana kama ingekuwa rahisi ivi wakimbizi si wangefurika canada?
Halafu najiuliza - kama ukijilipua kwamba wewe ni msomali mkimbizi, mamlaka za canada hazina utatatibu wa kucheki na ubalozi wa somalia huko canada? Maana hii inaweza lipua bomu. Tuelimishane kuhusu hili!!!
Mkuu wewe ni mbishi saana ila sikushangai maana wabongo wao kila kitu wanajua hata kama hawajapitia.Mkuu hakuna mkimbz kutoka mpaka wa marekana na canada hapo ndo alikosea kuongea