Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,771
- 5,268
Ukiambiwa uzungumze Kisomali na Msomali halisi itakuwa game over.
Mkuu Kama kitu hukielewi Bora unyamaze sikatai kwamba Marekani Wana System nakubaliana na wewe ila nataka nikwambie ukitaka kuvuka kihalali ni lazima uoneshe Passport ikiwa ni Mgeni ila ukiwa Mmarekani unachohitaji ni kitambulisho tu kuingia Canada lakini wazamiaji wote hupita border za panya ambapo hakuna kizuizi chochote cha kukuzuia usivuke kuelekea Canada kwa njia za Panya offcourse ukiingia utakamatwa tu kwasababu ni kosa kisheria lakini hawajadhibiti kwa kujenga ukuta kama ilivyo Mexico na USA.Canada ni rahisi kuingia kutokea Marekani yaani unanibishia mimi ambae nipo Canada na nimevuka Illegally.Na nimeongea na wengi tu hapa wanaeleza kuwa waliomba Visa za Canada wakakosa wakaamua kuomba ya Marekani wakapata kwahiyo wakaingia Canada Illegally na wapo hapa Kambini.Acha ujuaji mambo ya Kibaharia tuachie wenyewe wewe huna unachokijua
Sent using Jamii Forums mobile app

Siwezi kuanika kitambulisho changu hapa endelea kuamini na kuwaaminisha watu hivyo.NAENDELEA KUSISITIZA KUWA CANADA HAUKUNA MKIMBIZI KUTOKEA NCHI YA MAREKANI NA KAMA UNABISHA TUONYESHE VITAMBULISHO VYAKO VYA UKIMBIZ WAKO WA CANADA
NA NINIAENDELEA KUKUSISITIZA CANADA HAKUNA KAMBI YA KUPOKEA WAKIMBIZI
Haya mambo huyaelewi nyamaza tu usitake kujifanya mjuaji mbele ya mashahidi hapaKitambulisho gan anatumia mmarekani maana ndani ya nchi anatumia drive licence au ID anapokuwa marekani nje ya nchi anatumia passport ndo vitambulisho viwil vinatumika ebu niambie ktambulisho anachokitumia mmarekani kwenye mpaka?
Njia ya kwenda kwenye mpka wa canada na marekani kwa kutumia gari sawa nakubali swali ulipitaje border ya marekani maana hakuna njia ya vichchoro et nitatumia gar?
Mpaka wa marekani na canada hawaruhusu mtu kuvuka mpka kwa kutembea labda uwe na usafr kama gari lako ni sawa.
NB:canada hakuna mkimbizi kutoka marekani
Ukbisha weka vitambulisho hapa vya ukimbiz ulivyopewa canada
Tutake radhiWazanzibar wanaondoka huku tayari wakiwa mashoga
Yahe mbn zenji unaambiwa ukienda uende na vilainishi kabisa wale masheikh sio watu wazur hahahTutake radhi
zbr hakuna mambo ya kishoga kama huko Tanganyika
Mkuu acha hizoSasa ulivyojisingizia kuwa ni shoga si itakuwa uliletewa mtu ili apprive na tangu hapo ukawa kweli au?
Mkuu achana nao hao wanao leta story za vijiweni.. hebu endelea na story.Haya mambo huyaelewi nyamaza tu usitake kujifanya mjuaji mbele ya mashahidi hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo huyaelewi nyamaza tu usitake kujifanya mjuaji mbele ya mashahidi hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
anaogesha wazee kwanza ataludi
Sio kweliYahe mbn zenji unaambiwa ukienda uende na vilainishi kabisa wale masheikh sio watu wazur hahah
Sio kweli