Wewe mwenye akili umwfata nini hapa sasa??? FoolishMkuu mnajifunza ujinga wa kusema uongo na kuipaka matope nchi yenu kisa muishi Kanada
HALAFU UJUE MAISHA NA MTAZAMO WA MAISHA TUMETOFAUTIANA SANA. Yupo mtu anasubiri hela za msimu,huyo anaweza kupata hata milioni 200,anahakikisha ameiteketeza yote kwanza ndio anatafuta kazi tena. Wakati huo huo yupo mwenye mtaji wa milioni 50 tu anaendesha maisha yake ya kila siku vizuri sana na anaonekana ni bora kimaisha kuliko yule anaepataga milioni 200,100 mara nyingi. Nakuhakikishia hao wanaolalamika maisha magumu marekani ni wale machinooh kama hao. Hata alipokuwa hapa hataki kazi. AMEFIKA KULE MAREKANI AMEUNGANA NA WENYEJI MAJOBLESS,AMEANZA MAMBO YA MADAWA YA KULEVYA,KUVUTA BANGI,ANATAKA AENDE DISCO,KSBB NDIVYO VIJIWE ALIVYOVIZOEA HATA ALIVYOKUWA HUKU,HAPO ANATEGEMEA/ANASUBIRI HELA YA MIUJIZA. NA HAO NDIO WENGI WANAOSEMA MAISHA MAGUMU MAREKANI NA HAO NDIO WENGI WALIOUAWA HATA SOUTH AFRICA KSBB HATA SEHEMU ZA KUWAKUTA NI RAHISI NI KWENYE MAJUMBA MABOVU WAKIVUTA BANGI,WAKISUBIRI HELA ZA MSIMU. Marekani pia kazi za mashopaz zipo,ila inategemeana wanampatia mtu wa aina gani?. Kama unaonekana umechoka choka,mlevi kila wakati kwa nini wakupe?. Muda mwingine hata hao hao wenyewe hawataki kuomba hizo kazi za mabox,wakiwaiga wenyeji kwamba ni kazi za chini. Uliwahi kuletwa uzi hapa,wapo baadhi ya WaTz wanaoishi au waliofika Marekani wakasema kabisa nani afanye kazi za kujidhalilisha hizo za kubeba mabox kwenye mashoprite?. Lakini ni kazi zenye ujira mkubwa sana UKIJITAMBUA NA UWE NA MALENGO
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wangapi wanapata halafu wanatoboa?Acha hope zisizo na mashiko...angetoboa wapi?
Wangapi wanapata hizo milioni 6 halafu hawatoboi.
Wachache saana.
Ukisema na pwaya siwezi kukubali.Then kuna sehemu unapwaya.
Kwa experience yako nilidhani utajua maisha yetu hayalingani kabisa hasa kiuchumi achilia mbali kifikra.
Unafikiri utamwambia mtoto wa Mo ajilipue Ulaya? Haya chukua graduate aliyesomeshwa kwa shida hana mtaji anayekosa hata ajira za viwandani na kesho yake haijui umwambia nakupa fursa ya Norway.
Ataikataa? Tomaso ni nini?
Na watu wa namna hii wakifika huko ndio basi tena hawawezi kurudi paleambo yanapokwenda komboSure mkuu.....bila hivyo mtu utaishi kwa bahati nasibu tu....
MAmbo si mepesi kivip mkuu?! Mbona unataka kutukatisha tamaa?



Nitoke Tanzania niingie Canada nikaishi bush. Noway.Huwa mnafikiri Canada maisha ni Ubwete,siku ukifika ndio utajua Canada ikoje pia watu waliotangulia huwa hawasemi ukweli kwa wenzao wanaotamani kwenda huko,maisha ni expensive labda unaishi miji midogo,
Nimekuelewa Sana Mkuu. Maisha ya wazungu sio kama haya ya kizoba zoba. Wazungu sio wapuuzi hata kidogo.Kama mtoa mada anasema kama alivyoandika, lazima atarejeshwa nyumbani au atarejeshwa Kwenye mpaka alotokea. TRUST ME. Au Kama anachangamsha barza sawa.
Hivyo ndo ulitakiwa useme sio unawatisha watu kana kwamba Marekani hawaishi watuSawa wacha niwe dogo lako... Na wala hakuna aliyesema huwezi ishi new York... Mm sio muoga sababu sijawahi ingia marekani kwa mbinu za kuzamia....Ungekuwa na akili ungeuliza watu waliyokwisha kukutangulia ili upate dira fulani ya maisha ya huko.... Unfortunately akili hiyo huna... Unaanza kuita watu wadogo zako....
Nenda kapambane, udhihirishe uanaume wako...
Unafikiri maisha ya miji mikubwa eg Toronto, Vancouver ni sawa na KigomaNitoke Tanzania niingie Canada nikaishi bush. Noway.
Kwanza sitahitaji kumsaidia yeyote kuja huku.Kila mtu apambane na hali yake.Na Kama mtu yeyote ataambiwa na yeyote atoe pesa kuhusu kufanyiwa mchongo ajue atatapeliwa tu.Hivyo nawatahadharisha sana hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app



