Ukweli kuhusu maisha ya ughaibuni

Ukweli kuhusu maisha ya ughaibuni

Mkuu kwenda hata bar,casino,game za usk marekanii lazima huwe na ID au leseni ya udereva.hata kutembea mtaani lazima hvyo vitambulisho uweke kweny pochi maana hata ukifanya ajili ktu cha kwanza kukuhuliza ni ID au lesen yako
Kuna ofisi zingine uwez kuingia bila kuonyesha hvyo vtambuliisho.
Ukitaka kusafr lazma huwe navyo na sio hiari.Maana ndo kinakutambulisha
Huwe is uwe
Kukuhuliza is kukuuliza yani kukaa huko USA ndio na lugha yetu ushasahau ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unapondanganya watu usifikiri wote ni wajinga na unapojpanga kudanganya hakikisha unachokiongea una uhakika nacho
Sasa ni hvi
Mimi nimesomea maswala ya ukimbizi na hifadhi na nina lijua swali na ukimbiz vizur sana pili nimesomea namna wakimbiz wanavyoishi kwenye nchi zngne ila mimi nilibase marekani cheti changu niView attachment 1312680

Niko marekani miaka mitatu inakabia na nimeishi states 4 za marekani na nilipofjia ilikuwa NEW YORK naelewa hile border ya marekani na canda vizur sana

Vile nilisomea history na mipaka ya nchi ya marekani
View attachment 1312681

Haya ni baadhi ya masomonilifundishwa kuhusu namna mkimbiz anapokekewa na anavyoishi

View attachment 1312682View attachment 1312683

Nitakuwa nimekuoa mwangu kuwa mimi sibabaishi ninachokizungumza

Nchini canada nimeenda mara nne nikiwa canada na mara ya mwisho nilienda kupokea ndugu zangu.kwaiyo maisha ya ukumbiz wa Canada ninayafaamu vile vile Nina nimesomea

NB:nimesomea maswala ya ukimbizi kupitia shirika la IOM na nimesomea utamaduni,maisha,historia kuhusu nchi ya marekani kupitia RSA AFRICA.kwaiyo najua sheria za nchi mbali mbali kuhusu wakimbizi na hifadhi.

Sasa wewe toa CV yako
Kwenye course yako hukusoma illegal immigrants, smugglers?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kuongezea, siri ya , muda mzuri wa kusepa ni huu wa Udikteta Uchwara na kutekwa hovyo na wasiojulikana!

ukifika huko sema wewe ni lile chama kubwa la Tundu Lisu. sijui nini vile '''CHADEMA! Faster tuu! una pata hifadhi, au mdogo wake Azoli gwanda!

Ila tahadharini yenu, kila anaye soma hapa afute maandishi haya ibaki kuwa siri yake! Jiwe akisoma hii tu anabana uhamiaji mpaka Air port, ili msichomoke!

utaulizwa maswali meeengi ya ukiritimba, kabla hujagongewa! ukishindwa tuu! ndo holaaa!
 
Hapo nikuwatumia madolari, waishi vizuri, watoto wasome vizuri, atume pesa za uwekezaji zijengwe kama lodge 3 za maana, awekeze awekeze ndio arudi bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mke au ndg unaye mtumia atatia ndani watoto hawasomi, mke atajenga kwao na kujirusha, ukirudi utakachokiona ni kuzimia tu kudadadeki! fedha ni wewe , na wewe ndo fedha! asithubutu, km yule mfanya kazi wa tv alivo jiripua, ....saro
 
Hongera kwa kujilipua...

Omba Mungu tu waliokupeleka US kwenye mkutano wasipite hapa halafu wakaenda kukuchomea ubalozi wa US...

Kingine jiepushe na matumizi ya mitandao na kujiexpose kama hivi, dakika sifuri tu utapata hizi habari unaandika humu zipo kwenye jalada lako ofisi za uhamiaji ya huko...

Otherwise wakihakiki wewe ni Msomli basi jua ndio umeula hivyo hata wanao utaweza wasogeza huko
 
Hongera kwa kujilipua...

Omba Mungu tu waliokupeleka US kwenye mkutano wasipite hapa halafu wakaenda kukuchomea ubalozi wa US...

Kingine jiepushe na matumizi ya mitandao na kujiexpose kama hivi, dakika sifuri tu utapata hizi habari unaandika himu zipo kwenye jalada lako ofisi za uhamiaji ya huko...

Otherwise wakihakiki wewe ni Msomli basi jua ndio umeula hivyo hata wanao utaweza wasogeza huko
Kashajitia kitanzi mwenyewe, atakuta hizi habari hapo kwenye file.hatujui usikute huyo mkenya mkalimani yupo humu.
Na walivyo na roho za kwanini.
 
Duh Boss
watu wengi huwa wanatoka huko Canada kwenda USA kutafuta maisha
ILA
wewe umetoka USA Kwenda Canada kutafuta maisha?

watu Kama:
Drake Graham -Rapper
Celine Dion
Marley Brinx
Sunny Leone
Justin Bieber
Jim Carrey
Keanu Reeves
Shania Twain

Yaani wapo wengi mno waliotoka Canada
na USA ndipo wametoboa!
KILA LA KHERI RAFIKI
na
Next year mwezi wa April nakuja USA
Maryland (MD) panapo majariwa tukutane huko!
Tatizo lenu wbongo wengi mnadhani Canada na Marekani wanaishi wanamuziki tu, ndio maana hata mifano yenu yote ni ya celebrities tuu
 
Hakuna nchi ambayo haina uhamiaji harafu dunian ishu ya mipaka ni tatizo la dunia nzima..kuweka vyeti kua umesomea jambo flan haimaanishi ndo utakua umefahamu kila kitu,anachosema mtoa mada ni vitu ambavyo tunaviona kila kukicha wala haina uhitaji wa kufika huko ili uamini..hebu nenda hata YouTube pitia documentary baadhi au nazo utasema ni fake..moja wapo hiii hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hii pia


Muamiaji haramu na mkimbizi ni mambo mawili tofauti

Kulingana na jamaa alivyosema na alivyotembea kifupi tu maelezo yake jamaa ni muongo sana.maelezo yako ndo sababu ya mimi nimemwambia anachkiongea sio kweli.
 
Muamiaji haramu na mkimbizi ni mambo mawili tofauti

Kulingana na jamaa alivyosema na alivyotembea kifupi tu maelezo yake jamaa ni muongo sana.maelezo yako ndo sababu ya mimi nimemwambia anachkiongea sio kweli.
Sijakuomba uniamini kwasababu hata ukiniamini au usiniamini hainisaidii chochote ila nimejaribu kuwaelezea watu hali halisi ya Watu wanavyofanya kuzamia nchi za watu.Halafu umeongea ukweli kwamba Mkimbizi na Muhamiaji haramu ni watu wawili tofauti na ntakuongezea na Muomba hifadhi.Tafsiri ya hao watu watatu ni hii-;
1.Wakimbizi(Refugees) ni wale wanaokimbia machafuko katika nchi zao Kama vile Somalia,Syria,Yemen n.k

2.Wahamiaji haramu(Illegal Immigrants) ni wale wanaoingia nchi za watu na kuishi bila ya kufuata utaratibu wa nchi hiyo.Hivyo kuishi na kufanya kazi bila ya Serikali ya nchi hiyo kumtambua kisheria.Kwa mfano mtu anaenda Marekani kumtembelea ndugu yake kisha anaishi pale na kufanya kazi wakati Visa ilishaisha muda wake.

3.Waomba hifadhi(Asylum seekers) ni watu ambao wamekimbia nchi zao kwasababu ya Manyanyaso yanayotolewa na serikali zao Kama vile kukosa Uhuru wa kujieleza,Waandishi kupotezwa na kuuawa,Wanasiasa kupigwa risasi hadharani na kuminya haki na Uhuru wa Raia wako.Pia Kama mashoga kudhalilishwa kuteswa na kufungwa,Kupingwa kwa Ndoa za jinsia moja na usagaji N.K.
Hao wawili niliowataja hapo juu yaani Refugees na Waomba hifadhi wana haki kimataifa kusikilizwa katika nchi walizokwenda na kupewa hifadhi na kutambulika kisheria katika nchi hizo(To be Granted)
Ila kwa Muhamiaji haramu huyo hatambuliki kisheria na hufungwa na kurudishwa nchini kwao.Ikiwa utaingia kiharamu ila ukaclaim Kama Asylum seeker au Refugee unahesabika Kama Mkimbizi au Muomba hifadhi ambapo Sheria inalitambua hilo.Kama upo Marekani kweli itume namba yako hapa nikutafute.Usijifanye Mjuaji unaboa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada ni muongo wa kawaida sana.
Kwa haya aliyoyaandika humu nina uhakika 100% mleta mada hayupo Marekani wala Canada na wala hajawahi kufika huko. Mleta mada ameokoteza blah blah za vijiwe vya Tandale na Tandika. Pia ninahisi kuna issue ya upigaji inatafutwa hapa.

Sababu ni hizi hapa.
1/Mtanzania yoyote aliyefanikiwa kufika Marekani kwa mara ya kwanza, ni vigumu sana kufikiria kwa haraka suala la kukimbilia nchi nyingine kiharamu huku akiiacha Marekani.

2/Kwa mtu aliyekwenda USA kwa njia halali na huku kibindoni akiwa na zaidi ya Dola 3000 (Karibu Milioni Saba za kibongo) hawezi kizembe kizembe kwa haraka haraka kumwamini mtu asiyemjua ili kufanya dili haramu katika nchi ya ugenini.

3/Tabia ya kujilipua kiukimbizi iko kwa baadhi ya watu tu tena katika namna fulani ya kiupekee wala sio mtindo unaofanania kwa kila mtu. (Mara nyingi hufanywa na watu ambao hawana chochote cha kupoteza, wao lolote liwalo poa tu), mleta mada hana chembe za hizo tabia.

4/Hiyo safari ya kuvuka boda ya USA na kisha kuingia boda ya Canada kwa kutumia gari tena kupita vichochoro halafu kujishikisha kwa maafisa wa polisi wa Canada ni uongo wa kitoto wa kutengeneza hapa, hakuna kitu kama hicho. Mleta mada angekuwa amewahi kufika USA asingekuja na hii story hapa. Haijui USA na wala haijui Canada.

5/Sio jambo rahisi kiuhamiaji kujivika utaifa wa nchi fulani ambayo sio asili yako na usigundulike na maafisa wa uhamiaji. Jambo mojawapo ni lugha, pili wajihi na tatu tabia. Wasomali ni watu tofauti sana, sio jambo rahisi kabisa kwa muafrika yoyote kujiigiza msomali. Na usomali sio tiketi ya kupokelewa kuwa mkimbizi huko Canada. Ni rahisi kuhisiwa kuwa ni gaidi kuliko kupokelewa kama mkimbizi wa kisomali.
Yaani nimecheka sana.hapa ndio napata kugundua kuwa watu wengi hawayajui haya mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amini unavyotaka kuamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiendelee kuchosha watu humu. Unajaza saver kwa takataka. Tangu lini mtu aliyezamia at the expense ya kampuni iliyomtuma ng'ambo kikazi akaka kujiexpose namna hii? Wadanganye wajinga wenzio. JF ni pana ingekuwa kweli atleast uliokuwa unafanya nao kazi hapa bongo wangenshacomment chochote.
 
Usiendelee kuchosha watu humu. Unajaza saver kwa takataka. Tangu lini mtu aliyezamia at the expense ya kampuni iliyomtuma ng'ambo kikazi akaka kujiexpose namna hii? Wadanganye wajinga wenzio. JF ni pana ingekuwa kweli atleast uliokuwa unafanya nao kazi hapa bongo wangenshacomment chochote.
Hahahahahaa,unanifurahisha sana.Sasa cha ajabu nini mimi kuzamia.ikiwa nilifanya kazi na nikiwa na elimu ya digree hakuna nilichopata zaidi ya pesa yote kuingia kwenye matumizi hakuna kusave.Wakati huku nina uwezo wa kusave mpaka milioni 2.Bongo kuna nini Zaidi ya Urasimu wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks for the information.
Daby Mrs Bishanga canada haina sheria ngumu za uhamiaji kama ilivyo USA Na Australia . pia ni nchi ambayo inahamasisha watu wenye ujuzi mbali mbali kuhamia huko kufanya kazi zipo nyingi watu wanahitajika kwa wingi ,hivyo wana program mbali mbali kwa ajili ya watu wanaopenda kwenda kuishi Canada ,hapa chini ni baadhi ya program ambazo unaweza ku apply na kupata kibali cha kuishi huko ,

Express Entry is an electronic management application system for immigration to Canada. It facilitates the selection and processing of Canada’s economic immigration programs:
- Federal Skilled Worker Program,
- Federal Skilled Trades Program,
- Canadian Experience Class,
- Provincial Nominee Program

Ingia google na uchimbe mwenyewe kujua ni namna gani uta apply na njia ipi inaweza kukufaa zaidi wewe,lakini endapo una ndugu au jamaa anaishi Canada basi inakuwa rahisi zaidi kupata kibali,google pia kama una ndugu unafata process gani ktk izo program za ku apply

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom