Mkuu unapondanganya watu usifikiri wote ni wajinga na unapojpanga kudanganya hakikisha unachokiongea una uhakika nacho
Sasa ni hvi
Mimi nimesomea maswala ya ukimbizi na hifadhi na nina lijua swali na ukimbiz vizur sana pili nimesomea namna wakimbiz wanavyoishi kwenye nchi zngne ila mimi nilibase marekani cheti changu ni
View attachment 1312680
Niko marekani miaka mitatu inakabia na nimeishi states 4 za marekani na nilipofjia ilikuwa NEW YORK naelewa hile border ya marekani na canda vizur sana
Vile nilisomea history na mipaka ya nchi ya marekani
View attachment 1312681
Haya ni baadhi ya masomonilifundishwa kuhusu namna mkimbiz anapokekewa na anavyoishi
View attachment 1312682View attachment 1312683
Nitakuwa nimekuoa mwangu kuwa mimi sibabaishi ninachokizungumza
Nchini canada nimeenda mara nne nikiwa canada na mara ya mwisho nilienda kupokea ndugu zangu.kwaiyo maisha ya ukumbiz wa Canada ninayafaamu vile vile Nina nimesomea
NB:nimesomea maswala ya ukimbizi kupitia shirika la IOM na nimesomea utamaduni,maisha,historia kuhusu nchi ya marekani kupitia RSA AFRICA.kwaiyo najua sheria za nchi mbali mbali kuhusu wakimbizi na hifadhi.
Sasa wewe toa CV yako