Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,611
- 8,096
Wewe ulivyoelewa,kama alivyosema akajikabidhi kama mkimbizi,kwa hiyo ataishi maisha yote kama mkimbizi?. Hiyo ni njia tu. Mpaka sasa yuko huru tayari kufanya vibarua. Na usilinganishe vibarua vya huku na kule. Ni akili yako matumizi usiige wenyeji vile vile na kazi usiige zile zinazotakiwa na wenyeji. Na ujue akitulia akafanya kazi kwa malengo,miaka 10 tu atarudi na hela ambayo angeitafuta bongo mpaka kufa kwake asingeipataAcha kupotosha watu ww....yaani mkimbizi ajenge ghorofa...
Sent using Jamii Forums mobile app