Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,154
- 14,114
Yeah ni kweli... Ila unaendaje kama mbeba boksi sasa... Unapata visa ipi... Na Trump huyu.Marekani ukienda kama professional Kuna unafuu, lakin ukienda kama mbeba box jiandae kwa msoto wa maana