mzee wa kismati
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 2,291
- 798
Stori safi mkuu
Ishu ya kuweka vitambulisho unachukulia easy sana ndugu,ingekua ni wewe ungeweza weka hadharani vitambulisho vyako hapa? Hebu tupia hicho chako cha taifa hapa kwa demo..Acha kupongeza uongo wewe tuambia uko kambi gani canada
Huyo jamaa yako anakataa nini kuwa marekani kutembea kwenda state nyngne lazma uwe na vitambulisho
Ongea kwa matendo weka vitambulisho watu wathibitishe acha maneno
CANADA HAKUNA VITUO VYA KUPOKEA WAKIMBIZI MPAKANI.
Mimi nahitaji barua ya mwaliko nikachukulie passport.Kwani aloleta mada katania? Nimekumbuka hii kitu niliambiwa 2018 na budget yote ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani utaishi huko maisha yote?
Kama ni jobless ni vyema ukafikiria kufanya mambo mengine tu ndugu.Soon nitaanza harakati za kuingia huko..
Ni degree holder, ila nipo jobless tu..
Sent from my iPhone using JamiiForums
Andaa document nyingine zooote kisha waambie unaomba passport kwa ajili ya kuitumia kuomba scholarships au waambie unaenda kutalii sehemu kama south africa. Hautahitaji barua ya mwalikoMimi nahitaji barua ya mwaliko nikachukulie passport.
Nasikia jamaa wa uhamiaji ni wasumbufu sana aisee.Andaa document nyingine zooote kisha waambie unaomba passport kwa ajili ya kuitumia kuomba scholarships au waambie unaenda kutalii sehemu kama south africa. Hautahitaji barua ya mwaliko
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitanguliza pesa huchelewi kupata ndani ya siku 10 kazi kwisha,kina jamaa aligongewa muhuri mwekundu sauzi,akarudi kufatilia passpoti mpya alipotaka njia za halali alisumbuliwa sana.....Ila alipo tanguliza pesa mbele mambo yalienda fasta passipoti aliipata haraka na alisharudi SA.Nasikia jamaa wa uhamiaji ni wasumbufu sana aisee.
Yaani unaweza ukaenda pale ukaishia kutwangwa maswali ya kipuuzi na passport ukakosa.
Acha kumkatisha tamaa mwenzako,A3M ameshauri kwa mwenye kazi na uhakika Wa kipato asiende huko,waende watu wasio na ajira,elimu na maisha magumu...umebahatika kupata m7 unajiripua Canada au US haahaahaaahaa!!!!Kama ni jobless ni vyema ukafikiria kufanya mambo mengine tu ndugu.
Gharama ya kufika huko hautaweza kuimudu.
Mkuu naomba barua ya mwaliko na mm nije, nataka nikifika nianze kufanya admission ya Masters ya EngineeringMkuu nikupongeze kwa uthubutu ulionao, kuna usemi usemao mlango mmoja ukifungwa mwingine unafunguka we komaa
nambie mji ulipo tutafutane( mi mwenyewe mgeni tu)
Niima kama umechoka kukaa bongo nakufanyia mpango uende canada ni nchi rahisi kupokelewa na kuishi kazi ni nyingi kule.
Mimi nitaendaje? Nitakuombea barua ya mwaliko kwa ndugu yangu anayeish canada hyo itakusaidia kupata pasport na ww kwenda canada , ukishafika airport ya canada hakikisha unaharibu pasport yako na nitakupa maelekezo ila tu jua mwishoni utakamatwa na kuhojiwa sana kubali umetoka tanzania na ww ni msagaji(lesbian) ila nchini kwetu hawataki hichi kitu .
Not maswali yatakuwa mengi na nitakueleza ila mwisho wa siku jua utaishi canada na kuinjoy life
Wazanzibar ni balaa na huyu kazunguka.karibu nvhi zote dunaini(alikuwa anaendesha meli kubwa ) keshazeeka sasa kapumzika tu.
Kama umeamua kuishi huko usiyakumbuke makosa yako , jisamehe na kusonga mbele , shit happens so usijilamu sana songa mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kwenda canada.? Mbona rahisi sana kuliko kwa trumpMkuu me niliwahi soma Scandinavia nkarudi Ila malengo yangu ni kuingia Canada . Sikupenda kukaa sana Huku maana michosho unasaidiaje?
A3M,
Mie kwenye uzi wako wa kwanza niliandika sentensi moja tu.
Kumbuka umeacha mke na watoto.
Wewe matarajio yako yalikuwa ni yapi? Unajutia uamuzi wako? Kwanini?
Tusimwombee mabaya... mwisho wa siku maisha ndiyo haya haya.Mimi toka mwanzo anavyoandika kuomba ushauri azamie au arudi nilimuambia kuwa aache ubinafsi na amechelewa sana kishakuwa na familia.
Unapokuwa na familia lazima uwafikirie wenzako.
Na kwa jinsi alivyojibu hayo maswali atarudishwa aje aungane na familia yake eti under age lakini ana mke na mtoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kwenda canada.? Mbona rahisi sana kuliko kwa trump
Ndugu jambo usilolijua usiseme ni uongo.
Mimi ni Shahidi huku Wazanzibari wengi waliokuja miaka 3 iliyopita wamejiripua kisomali kwa jina la kibaharia tunaita Kisonjo.Mimi nilijua ntaletewa Msomali aniongeleshe Kisomali kumbe sivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Isome stori yangu vizuri,Sijasema kuna kambi mpakani.Hujasoma Thread vizuri Una comment utumbo mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app