Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

Ungetupa ukweli wa kiini Cha mgogoro wao siamini kwamba kiini Cha mgogoro wao ni nyumba.Inakuwaje make awapende watoto kuliko mume.Hapa ndipo Wana wake wanapokosea.Halafu make anakuwa na mshara wake binafsi huku ni kukiuka vyapo vyapo mbele ya Mungu.Ukisha ingia katika ndoa unakuwa umeingia kwenye ulimwengu mwingine wenye mabonde na milima na yote hayo yatupasa uyavuke kwa uvumilivu wenye kuleta amani baadaye
 
Ila mie naona Jane angeacha hiyo hati isome majina ya kweka &Family, hadi huyo mtoto akifikisha 18yrs ndipo wabadilishe, km aliona kuna ishara za mume kuuza, basi angeenda hata mahakamani ili sheria na kanuni zifuatwe.
Tangu mwanzo hati ilikuwa inasoma majina ya mwanamke tu maana alinunua kabla hawajaoana. Huyo kweka alitaka ikabadilishwe jina lake ndio liwekwe baada ya kuona mke kagoma kuuza. Yeye alikosea kujenga kwenye kiwanja cha mwanamke , hapo ni sawa na kujenga kwenye kiwanja ulichopewa na baba mkwe zawadi siku ya harusi😝😝😝
 
Kuna mahali nimesikia wakisema kuweka hati majina ya watoto kuna risks zake pia, watoto wakiwa watu wazima hiyo ni mali yao kisheria, wakiamua kuuza hata kama wazazi wapo hai wanaweza kisheria.(unajua tena watoto wa kizazi hiki)

Kila kitu kinatakiwa kuwa well calculated kwenye haya maisha.
Ni sahihi, lakini kwanini hizi changamoto za mali zinatukumba zaidi sisi ngozi nyeusi?

Unajua familia ya Mo, inao utajiri wa vizazi vitatu kama sio vinne sasa

Na tayari Kuna succession plan ya kumrithisha mtoto Mkubwa wa Mo, nadhani anaitwa Abbas kama sijakosea ili aendeleze

Sisi huku ngozi nyeusi tunaweza kuibiana na kudhurumiana tu

Mimi naanza mchakato wa kuweka assets zote chini ya bodi ya Kampuni ikiwemo nyumba tunayoishi

Kila jambo litahitaji uamuzi wa kikao Cha Bodi
 
Nadhani nilipo-bold umeelewa nilichokiandika,kama wanandoa mmekubaliana mke umenunua kiwanja then katikati ya safari mume akapata cent akaweka wazo mezani nataka ninunue kiwanja nijenge wewe mwenye miguu yako 25x25 Bunju uliyonunua chini ya 2mill ukamwambia usihangaike kuna kile kiwanja changu pale na sisi ni mwili mmoja jenga nyumba yetu ya familia......
Hata kama mlikubaliana, kwani inabadilisha kisheria kile kiwanja ni mali ya nani?

Unafikiri upande wa shilingi ungebadilika, Kweka akawa na mamlaka kisheria, asingetengeneza hati kwa jina lake mwenyewe? Huoni kama busara imetumika kuweka majina ya watoto na si majina yao wao wazazi?

Pia kiwanja cha milioni 2 mwaka 2007 si sawa na bei ya 2026. Leo ni eneo gani Bunju unaweza kupata kiwanja hata cha milioni 50?
Mumeo akajenga jumba la 100+ leo uone hana akili ukamwandikishe mwanao aged 15 chini ya usimamizi wako umemuona yeye aliyewekeza hela,akili,maarifa hana akili ya kuisimamia hiyo nyumba hadi uje kuisimamia wewe na mwanao wa miaka 15?hivi mna akili sawasawa kweli ninyi kinamama?
Kwanini unasema "mwanao" wakato watoto waliowekwa kwenye hati wote ni watoto wa Kweka?

Kwanini baba hakutaka majina ya wanae kwenye mali zake?
Wewe hilo halikupi maswali?
 
mimi ninachojua kwenye stori kama izi kuna kuwa na pande mbili tofauti af kuna ukweli wenyewe ambao sote hatuujui ila ukiona mpaka mwanaume kafikia hatua ya kuchukua maamuzi mazito kama hayo dhidi ya mpendwa wake aisee, ngoja niishie hapa.

RIP Jane
 
Tangu mwanzo hati ilikuwa inasoma majina ya mwanamke tu maana alinunua kabla hawajaoana. Huyo kweka alitaka ikabadilishwe jina lake ndio liwekwe baada ya kuona mke kagoma kuuza. Yeye alikosea kujenga kwenye kiwanja cha mwanamke , hapo ni sawa na kujenga kwenye kiwanja ulichopewa na baba mkwe zawadi siku ya harusi😝😝😝
Mianaume tunaishauri kila siku inapenda vya dezo
 
sema siwez unga mkono mauaji kwa namna yoyote ile ila kuna sehemu unatupiga

kusema msosi uliisha akapeleka inapishana na kauli ya mama wa marehemu kwamba yeye ndiye aliwaagizia wajukuu msosi na mama yao akapokea kuwapelekea

sema kuna wanafiki pia walimpigia jamaa simu kumwambia mke wake katingisha kwenye jumba la dhahabu

ila mme ndo matako kabisa, unasafiri toka ulipo kisa kusikia mke kaja home kuona watoto pumbavu sana

huyu jamaa aozee jera, yawezekana kafanya haya ili ajifiche kwenye kivuli cha kuua bila kukusudia
 
Unafikiri alitengeneza hati kwa majina ya watoto bila kumshirikisha mumewe? wanaume karibu wote huwa wanataka mali zao ziende kwa watoto wao, haikufikirishi kwanini Kweka yeye alikua anapinga?

Inaonekena tayari kulikua na migogoro, hata hayo mambo ya kutishana yalisharipotiwa mpaka polisi. Ila, what if umuweke umiliki, afe aache wosia kwamba nusu yake wapewe ndugu zake na si watoto au worse apewe mchepuko wake?
Navyofahamu wosia wa wanandoa unatakiwa kusainiwa na wanandoa wote ili uwe halali. Hivyo wosia wake usingetambuliwa mahamani.

Kupinga si issue, issue ni kuwa yeye alitaka hati iandikwe kwa jina lipi? Kama lake na mkewe ni sawa tu kwani mbele ya sheria mali ya wanandoa ni ya wanandoa na si ya watoto. Na kama kweli ni mgonjwa, si angekubali tu asubiri jamaa afariki amiliki?

Kama alimshirikisha mumewe, ni obvious alikataa ndio maana kulikuwa na mgogoro na kama alihisi maisha yake yapo hatarini, angeshtuka asiendelee na mpango huo lakini akashupaza shingo.
 
Jane kanunua kiwanja kabla ya ndoa na ameolewa 2008 ni kitambo kidogo so naelewa unachosema kuhusu thamani.

Ila sheria za umiliki zinasemaje? nani ni mmiliki, mwenye kiwanja au aliyejenga?

Enewei, Jane hakuandika jina lake kwenye hati, hata yeye si mmiliki bali msimamizi tu mpoka watoto watakapofikisha miaka 18 (usimamizi wake ulikua unaisha baada ya miaka 3, mtoto wao wa kwanza atakapofikisha miaka 18).

Ila nafikiri ile kasumba ya watoto ni wa mama, hata kama hati ikiwa kwenye jina la watoto bado mama atanufaika zaidi ndiyo ilimfanya Kweka asikubaliane na swala la kuandika majina ya watoto.
Sheria inasema mali yoyote ilopatikana kabla ya ndoa ikaendelezwa ndani ya ndoa inakuwa cha wote huwezi fanya maamuzi mwenyewe
 
Huenda mleta mada ndio Jane mwenyewe kafufuka.
Staring Call Of Duty GIF.gif

Ukimya wa wanaume unatufanya tubebe lawama na maovu mengi yanayoelekezwa kwetu.
Sawa, ila humu jukwaani mnaongoza kwa kelele na kulia lia kutuzidi hata sisi wanawake 😎
 
Hata kama mlikubaliana, kwani inabadilisha kisheria kile kiwanja ni mali ya nani?

Unafikiri upande wa shilingi ungebadilika, Kweka akawa na mamlaka kisheria, asingetengeneza hati kwa jina lake mwenyewe? Huoni kama busara imetumika kuweka majina ya watoto na si majina yao wao wazazi?

Pia kiwanja cha milioni 2 mwaka 2007 si sawa na bei ya 2026. Leo ni eneo gani Bunju unaweza kupata kiwanja hata cha milioni 50?

Kwanini unasema "mwanao" wakato watoto waliowekwa kwenye hati wote ni watoto wa Kweka?

Kwanini baba hakutaka majina ya wanae kwenye mali zake?
Wewe hilo halikupi maswali?
Inasemekana kati ya watoto 4 mmoja pekee ndo mtoto wa Kweka.

Huo ujinga hata mimi nisingeukubali kabisaaaaaaaaaa.
 
Angalau huku hakuna anaetujua. Nyie mnapenda kuonekana wakamilifu na watakatifu sana hasa kwa familia na watoto.
Ukishaoa Mwanamke anayechangia Kipato kwa familia ni mambo Mawili tu, mtaachana au kubali Kuishi Kama Kondoo.

Akina Elon, akina Dangote akina Mengi walikataa haya, Bora Mo, Manji na kina JK walioa house wife kwa Amani zao.

Mwanaume ili uwe na amani na Uhuru na utulivu wako, kubali kuwa Baba n kiongozi wa familia anayetimiz majukumu yake mwenyewe.

Mara utakapotaka Mke akusaidie majukumu basi kubali ia mgawane power yako nje ya hapo uwe na basta tu
 
Back
Top Bottom