Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

SWALI (hasa kwa wanaume walioreply wakiunga mkono mauaji na huyu mama kwenye nyuzi zilizopita)
  • JANE ALIKOSEA NINI?
  • NI NINI KIFANYIKE ILI MAUAJI NA UKATILI KAMA HUU USIENDELEE KUTOKEA?

Jane alikosea kuweka majina yake na watoto wake kwenye hati bila majina ya mumewe, Kinyume na matakwa ya mumewe.

Anajiamulia tu mambo kmmke.
 
Ni kweli huwa tunanyamaza jamani, au huwa mnatuletea msusruru wa nyuzi za kataa ndoa na wanawake walivyo wabaya.
Naomba nikuulize swali dogo? Ktika mahusiano Yako uliwahi ingia gharama yeyote pindi unapokutana na mpenzi wako ? Pesa zinazotumika ni zako au za mwanaume ukinijibu .Kuna kitu nataka nikwambie alafu twende sawa
 
Nashauri lifunguliwe jukwaa la wanaume midahalo ifanyike mikoa yote ndani ya Tanzania

Wanaume wafundishwe namna ya kustastahili mambo bila kuweweseka kwenye nyakati ngumu wajue kujituliza

Baadhi yao wanateswa na kiwewe
Waki acwa hawataki kuachika
Maarifa madogo mnoo
Wakihisi wanasalitiwa bila hata uthibisho wanachanganyiwa hapo jana yake alilala kwa mchepko

Baadhi yao wana msongo wa mawazo kwa ugumu wa maisha

Hawajiamini

Wanaitaji counselling
Wanitaji kusikilizwa watoe nyongo

Ni ngumu kumbadilisha mtu ambaye anaamini mwanamke ni bidhaa

Ila hatujachelewa
Tuwasaidie
 
Una hoja lakini
Wewe ni msomi mzur hebu tuzungumze kitakwimu na syo mihemko
 
Mwanamke aliyesema huwa anakuwa na ego na pride za kishamba sana, anakuwa manipulated na mavyeti kudhani anaweza ku control physical reality. Kumbe hakuna chochote, hao ndo huwa wanaishia kuwa toxic tu, angalia limtu kama li Chura kiziwi
Huyo chura kiziwi ni tahira tu aliyepata madaraka yaliyo nje ya uwezo wake.
Baada ya kupata vyeti vyake vya mchongo ndio kazidi kuwa toxic
 
Hoja inajibiwa na hoja jirani, lete facts zako hapa tuzisikilize!
Hapo Hoja nazitoa wapi Jirani, Kweka si unajua anaumwa afu yupo Rumande.
Ila kama Jane alihama hapo kwake alikuja kufanyanini?Kuna mengi hatuyajui maana Jane amefariki na Kweka Hasemi kitu wala hana pakusemea.
Hawa walikua wana ndoa, waliishi kwa miaka 18 ,ni ngumu kupata majibu hapa juu juu tu, maana hata wakina Kweka watavutia kwao.

Kwa uelewa wangu , ni Ngumu Mwanamke akae na mwanaume asiena pesa for 18 years.

Tuyaache tu Mungu ndio anajua.
 
Back
Top Bottom