You know your date of birth,but your date of death has been kept a secrete.Time is the only resources once wasted can not be recovered.
Shetani si simple kama unavyoweza fikiria,anajua udhaifu wa kila mtu na anatumia udhaifu wako kuhakikisha yuko na wewe.pole sana wewe uliyebaki kwenye vitabu vya dini tu wakati siku hizi watu wanafunuliwa yale yaliyofichika.Amini unachotaka kuamini lakini ipo siku baada ya maisha haya utaujua ukweli.
We have a right to differ,that is normal si lazima nione unachokiona wewe that is a fact.Sasa kuwa makini sana,hujaweka muda wakutosha kufuatilia mambo haya then una conclude.
Najua wengi mmesoma walau hata form 4. 7years(primary)+4years(secondary)=11years unajifunza elimu ya duniani si jambo baya.je wangapi walau tumetumia hata mwaka mmoja serioulsly tukijifunza mambo ya Mungu?Tukiamka usiku na kujisomea,kwenda library kutafuta material ya mambo ya dini?
Nilichojifunza siku hizi washabiki wa dini ni wengi,moyoni mwao wanaujua ukweli.Hayo unayoyaona ni siri leo,ipo siku yatakuwa wazi.Endelea tu kuamini Mungu hayupo ila miaka yako ya kuishi ni michache sana hapa duniani,mimi sishangai kama babu zako waliaminini hakuna Mungu,wakatoa sadaka kwa miungu wengine na kuunganisha ukoo ,vizazi na vizazi na miungu hiyo.Sadaka hiyo hata leo inanena,lazima ukombolewe kutoka huko,otherwise uatendelea kubaki huko na trust me,utajiona uko sahihi,na shetani atakusaidia maswali ya kuwauliza wenye kuamini kuna Mungu,na wakishindwa kukujibu basi ndiyo unazidi kuona uko sahihi.
shetani anachofanya humfanya mtu azoee maisha ambayo si yake,then hata akiambiwa hawezi kujitambua .Hivyo hivyo watu wengi wanaishi maisha ya shida ambayo si yao,lakini wamefanywa kuamini hayo ndiyo maisha yao na wameridhika.wake up and live.
"Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi ni chache,nazo zinejaa tabu".Kila siku watu wanazaliwa,kila siku watu wanamwamini Mungu,wewe unadhani usipomwamini is a big deal?
Who do you think you are?
"Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu na moyoni mwake amemuacha Mungu"
Na wewe unayeshabikia dini na unajua moyoni mwako njia zako si nzuri,unapoteza muda wako.Kama ambavyo huwezi kuhamisha maumivu yako kwenda kwa mtu mwingine,vivyo hivyo kila mtu atatoa hesabu ya matendo yake.Elimu za kidunia zimewapotosha sana watu hasa wasomi.