SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,444
A failure God cant correct his/her own mistake! God doesnt exist likewise satan/devil. What real exist is human POINT OF VIEW to choose whether to be a god or satan by his/her own point of view.
Mungu aliumba dunia na watu kwa siku 6 TU, ILHALI ALIKUWEPO MILELE, alikuwa na haraka gani ya kufanya haya kwa muda mfupi kiasi hiko bila kufikiria outcomes?
Aliwezaje kuishi miaka mingi nyuma bila kufikiria kuumba? NI NINI KILIMPA WAZO LA KUUMBA TENA KWA HARAKA KIASI HIKO?
Na kama yeye ndiye muumbaji wa kila kitu, inakuwaje ashindwe kuedit kazi yake?
Kama ni yeye mweza wa yote ameshindwaje KUMSHINDA SHETANI?
Kama yuko mbinguni, je makazi yake kabla ya uumbaji wa mbingu na nchi yalikuwa wapi?
KUKUBALI KWAMBA MUNGU ALIKUWEPO NA HANA CHANZO, HAINA TOFAUTI NA KUKUBALI KWAMBA PIA DUNIA ILIKUWEPO NA HAINA CHANZO VIVYO HIVYO BINADAMU ALIKUWEPO NA HANA CHANZO
na kukubali kwamba Mungu pia ana chanzo ni kufuta uhai wake, course kila chenye mwanzo kina mwisho.
Mungu angekuwepo angehitaji chanzo, na chanzo hiko lazima kiwe more powerful than God,
BUT HOWCOME ONESELF AND OWN-CREATED GOD IS POWERLESS TO HIS OWN CREATURES, I MEAN HUMAN AND DEVIL?
ITS JUST BECAUSE GOD AND HUMAN ARE THE SAME, JUST ONLY CORRUPTED THINKING FADES THAT!
MziziMkavu Ishmael Aqua
Such a great thought.
Last edited by a moderator: