Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

Braza kwani imani yako ni nini au ipi

Mimi naaminii katika bibliaa kaka
Kwamba mfu hafahamuu nenoo lolote
Naaminii kuwa mtu akifa pumzii ya uhaii humtokaa na baada ya hapo anakuaa hanaa tofautii na kitu chochote kisichoo na uhai

Ataendeleaa kuwaa katikaa halii hiyoo mpakaa siku ya ufufuo wa mwisho
 
Sawa hizi imani mbili tofauti sisi baada ya kifo inabakia roho yake inashuhudia kila kinachoendelea na hadi maumivu mwilini yanaongezeka ndo maana huwaishwa kuzikwa, binaadamu tofauti na viumbe wengine kujielewa kwetu na roho yetu vinabaki hai
 
Hatarii Sana'a kiongozi
Kama Mungu ni mmoja

naaminii mmoja kati yetu atakua sahihi , au wote tutakua wrong

Hakunaa ajuaee kwasababu hakunaa aliyekufaa halafuu akarudii kuthibitishaa

La msingii tuzidii kutendaa memaa kiongozi
"MUNGU YUPO"
 
inshaAllah umauti utufikie akiwa ameridhika na sisi kwaheri braza, nice chatting with you
 
Sawa hizi imani mbili tofauti sisi baada ya kifo inabakia roho yake inashuhudia kila kinachoendelea na hadi maumivu mwilini yanaongezeka ndo maana huwaishwa kuzikwa, binaadamu tofauti na viumbe wengine kujielewa kwetu na roho yetu vinabaki hai

Mkuu sasa kama mwili umeshakufa maumivu yanaongezekea wapi? Hebu naomba ufafanuzi kidogo hapo.

Cc. aretasludovick
 
Last edited by a moderator:
UKRISTO SIO DINI

Kajipange tena kijana

Ndiyo, ukristo sio dini maana dini ni njia. kwenye biblia hakuna neno ukristo ila wakristo, kristo, mkristo. uliza hivi je wakristo wanadini, hapo ndo utaeleweka, kwan umeulza swal ambalo halina mantiki.
 
Kumbe dinii ni njia??

Hi nayoo mpya. Kwangu
 
Mkuu sasa kama mwili umeshakufa maumivu yanaongezekea wapi? Hebu naomba ufafanuzi kidogo hapo.

Cc. aretasludovick

mkuu kwa ufafanuzi zaidi pitia vitabu vya kiislamu kwenye mada ya umauti na pia tafuta shekh au kituo cha mafunzo ya dini akuelezee kiundani zaidi kuhusu suala hilo, i hope utafuatalia hilo, siku njema mkuu
 
Last edited by a moderator:
mkuu kwa ufafanuzi zaidi pitia vitabu vya kiislamu kwenye mada ya umauti na pia tafuta shekh au kituo cha mafunzo ya dini akuelezee kiundani zaidi kuhusu suala hilo, i hope utafuatalia hilo, siku njema mkuu

Kama umeshindwa kuelezea hapa japo kwa kiasi basi ni wazi kuwa hilo unaloshauri halitawezekana.
 
kwa nini lisiwezekane basi haupo tayari kujua au uvivu Wa kutafuta elimu, ni bora kulielewa kiundani zaidi kwenye quoted post ya kwanza uliyo quote yangu nimeelezea kwa kiasi tayari, unataka zaidi ya ufafanuzi ule nenda kwenye main sources hauto pungukiwa kitu
 
Swali lilikuwa rahisi tu, MWILI UMESHAKUFA UTASIKIAJE MAUMIVU MAKALI ZAIDI? Kama huna jibu ila una hakika na ulichokiandika kaa kimya watakuja wanaoweza watajibu. Ila sitafuti kitabu chochote kile.
Toka lini elimu ikatafutwa kwa viongozi wa dini? Ingekuwa elimu inapatikana huko unadhani kungekuwa na shule?
 
Aghudhubillahi Min'nashaitwani Rajiim. In'na Lillahi wa In'nailayhi Rajiuna!
 
Swali lilikuwa rahisi tu, MWILI UMESHAKUFA UTASIKIAJE MAUMIVU MAKALI ZAIDI? Kama huna jibu ila una hakika na ulichokiandika kaa kimya watakuja wanaoweza watajibu. Ila sitafuti kitabu chochote kile.
Toka lini elimu ikatafutwa kwa viongozi wa dini? Ingekuwa elimu inapatikana huko unadhani kungekuwa na shule?

Kafanye research acha uvivu hata mashuleni pia walimu wapo na vitabu vipo, kiongozi Wa dini ni mwalimu pia, post ikiachwa na wewe hautopata jibu lako
 
Bennie 369 we pia si mtaalam wa hizi mambo? Hebu njoo unipe jibu mana jamaa ananikwepa mchana kweupee. Narudia swali
MWILI UKISHAKUFA UNAWEZAJE KUSIKIA MAUMIVU MAKALI ZAIDI?
Cc. aretasludovick
 
Last edited by a moderator:
Stay blessed ndugu
Kwa heshima na taadhima... kwenu !! mwana2015 amoneyazan

Nimefuatilia maelezo yenu muruwa yenye utulivu na amani..., So nimeona niongeze elimu kuntu ktk maisha baada ya uhai kuondoka !!
Sasa kuna Maisha ya "barzakh" (ni kipindi cha maisha baada ya kufa hadi kufufuliwa hapo akhera) !!!
Jimena Mpendwa nikujuze kuwa Mwemyeezi Mungu katuumba wanaAdamu katika mfumo ulokuwa na utukufu,ubora na ufufuo... yaani "tulikuwa sii kitu (manii/mbegu) tukaumbika na kuwajibika, na tutafikia mwisho (kufa) na baada ya hapo tutarudishiwa uhai tena !! " Nikupe mfano ktk elimu ya Computer kuna HD "hard disk" humo kuna kila herufi imesajiliwa na kuhifadhika (So waweza kurejesha na kuippambanua time yyte uitakayo) !!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom