Ukweli kuhusu ATCL Boeing 787-8

Ukweli kuhusu ATCL Boeing 787-8

3550 19 siku akianguka binadam tunamsingizia mungu et kaz yake wakat mnajiua wenywe (ccm) who create this disaster
 
Dunia ya wapi ambapo kila kitu kinaanikwa hadharani!
Maneno kama haya ndo huwa tunaingizwaga mkenge...
Ni kweli si kila kitu kinawekwa hadharani, lakini kama historia inatuonyesha kila kilichofichwa watu walipiga IN THE NAME OF SIRI ZA SERIKALI, hamna maana ya kuwa na SIRI

BY the way, SERIKALI NI NANI?
 
Rais ni mpigaji wa ukweli
From $224m jamaa wakaishusha mpaka $99m na hizo ndege hazifai (1-20) zikawa ziko sokoni kwa bei ya chini.
Rwanda alichukua2_ akaja kuikataa moja kumbe ni hiyohiyo yenye uzito mkubwa ambazo ni za majaribio leo hii huyu banyamulenge anakuja kuichukua bila bunge kupitisha.
Huyu ni mwizi wa waziwazi kabisa
Bunge hawajapitisha tena?unaongea vitu unavyovijua au ulivyosimuliwa?
 
Na Japan naona nao wapi kwenye list,vipi kuhusu Japan?
Tatizo bei ndugu, yani ziliuzwa chini ya nusu bei... Ila sisi tukapigwa kitu kizima bila kupunguziwa sent moja pamoja na kwamba tulilipa cash money
 
Japan ni ndogo kwa size vsiwa vile ukivweka pamoja mkoa wa morogoro ni mkubwa unaweza zunguka pote kwa siku moja. Hawawez nunua dege kama hilo for domestic operation.

Mkuu:
Ni kweli kabisa unachosema, ni vyema ungefahamu kwamba ni maeneo tu ya kufanyia kazi ndio maana nikaweka neno inawezekana ni kwa ajili ya Domestic Operations.

Kwenye taaluma ya anga kipimo cha umbali kinacho tumika ni Nautical distance (Nautical miles) ambacho ni kikubwa ukilinganisha na kipimo cha ardhini ratio yake ni 1:2.2 approx.
Hivyo tofauti ya km 1000 kwa utumiaji wa mafuta ya ndege hiyo ni sawa na umbali wa kutoka Dar-Lusaka.
 
7210ddce53a40a82e8e1e111530d9169.jpg
3cd299eb1db9df1bd1dab750dc3b939e.jpg
a1c26714f08e6b4a7a43470d8d65d908.jpg
 
Tatizo bei ndugu, yani ziliuzwa chini ya nusu bei... Ila sisi tukapigwa kitu kizima bila kupunguziwa sent moja pamoja na kwamba tulilipa cash money [emrezi oji35]
Hata Japan hii nchi inayotupa misaada ya kinyerezi pia wanatumia vitu vibovu namaanisha vilivyoshushwa bei?
 
Hata Japan hii nchi inayotupa misaada ya kinyerezi pia wanatumia vitu vibovu namaanisha vilivyoshushwa bei?
Kutupa misaada haina maana nao hawatumii vibovu, umeona magari wanayotengeneza? Nunua gari inaitwa porte uone
Between angalia Japan wanenunua kwa bei gani kisha linganisha na bei tuliyouziwa
 
Ila mkumbuke mkuu alisema Tanzania ni nchi tajiri, huenda hiyo hela iliyozidi aliwaambia "keep the change"😀
 
wanasema hiyo ndege kama vile iko ghalani. kinachoshangaza kama ndege ipo kwa nini delivery iwe 2018 na sio sasa wakati serikali imesema hela zipo? nadhani serikali inafuatilia hizi taarifa za mitandaoni. tumeona hila za kila aina mitandaoni kuichafua awamu ya 5.
hizi taarifa kama zina ukweli serikali kuingizwa mjini bado ipo nafasi kurekebisha makosa ila natia shaka kwani wanaoshikia bango ndio wale walisema bombadier ni mitumba.
Mimi naona hoja hapo ni hiyo bei, mengine yanazungumzika
 
Mkuu ndege iliyotolewa order na tz bado IPO kwenye matengenezo wala haijakamilika au nimekosea?


Mkuu:
Ninavyo fahamu ni kwamba ndege imekwisha tengenezwa kwa sasa inafanyiwa marekebisho kuendana na mahitaji yetu.
 
~~~>>>Nani muongo nani mkweli hajulikani ..... Kila mmoja anasema lake...

Kila Mtanzania siku hizi ni Mtaalam wa kila Jambo
 
Wewe unayekijua umenizidi nini mimi!?

Ha ha haaaaa

Ungetumia ka akili kidunchu husinge bwabwaja eeeeeeh, furahia kiingilishi chako hicho

Vipi juzi hukuguswa na yale maana, unaponda sana ya serikali hii na kumuonea wivu Mheshimiwa wetu mpendwa.


KAMA MMEMALIZA, "KAFANYENI KAZI" HAPA KAZI TUU!
 
...Kwa ufupi kama wengine wasemavyo ni kweli hata Mimi nimeshaamini "SERIKALI IMEPIGWA"
lakini hadi kufikia hii Conclusion kuna mambo ya msingi unatakiwa kuyajua.
...

CONCLUSION
Kutoka katika websites ya Boeing na na web zingine za usafiri wa anga zimeweka wazi Ndege tulio iwekea order ni Boeing 787-8, serial number 35508, Line number 19.
...

Bila kupepesa macho hapa tumepigwa $124M na ushee ambazo tungeweza nunua Boeing 737-800 Next Generation mpyaaaa ya 2016.
...

Nimewawekea link na picha mbali mbali kusappoti uzi.

66cbe3973d2476f0afd0ef4b23f5d581.jpg


5ffe88270490cadedd65af84f1f2a940.jpg
32a59f2db3a1932ae85e9b8bfd8d26fd.jpg


Boeing 787 Register - Welcome

www.airliners.net/forum/viewtopic.php?t=1335649

www.airportspotting.com/boeing-finding-homes-terrible-teen-787s/

www.boeing.com/commercial/customers/air-tanzania/air-tanzania-787-order.page

Ninaamini WaTz tumefikwa na ugonjwa wa kusadikika . Ugonjwa wa kusadikika ni ugonjwa ambao aliyeugua huamini ndoto ni kweli, na akitoka ndotoni anashangaa na kuweweseka, kwa kutambua kuwa siyo kweli ni ndoto tu. Wagonjwa wengine watajisalimisha kwa waganga wanaodai kujua tafsiri za ndoto. 'The Tomorrow People': sina maana na wewe ni mwathilika wa ugonjwa huo!

Sababu kubwa ya kuugua ugonjwa wa kusadikika ni matumizi mabaya ya habari zilizoko mitandaoni ambazo, kwa sasa, kwa sehemu kubwa WaTz wengi wanaziamini. Lakini, kwa wajuvi wa mambo, huwa habari za mitandaoni na vyombo vya habari, hutiliwa mashaka hadi hapo zitakapohuishwa na taarifa zingine kutoka vyanzo sahihi, hasa kwenye chanzo (cha habari, taarifa, takwimu, nk). Kwa mfano, waandishi wa habari wameshindwa kweli kufika kwenye kijiji cha Kolomije na kupata habari za uhakika Bashite ni nani? Au kwenda kwenye shule/vyuo vilivyotajwa! Yumkini kila mtoa hoja huwa na lengo lake.

Ununuzi wa 'Boeing 787-8 Dreamliner' ambao sasa umekuwa gumzo kutokana na hoja ya Mh Zitto, unatufumbua WaTz makini, faida na hasara za mitandao katika kujenga demokrasia yenye tija.

Yawezekana kuna ukweli kuhusu hizo ndege, je, Serikali haikulijua hilo, ila Mh Zitto na mitandao? Kama ni kweli Serikali haikulijua hilo, na sasa inalijua, na haijachukua hatua kulinda maslahi ya Taifa, iweje Rais Magufuli, ununuzi wa ndege hiyo, iwe ndiyo moja ya agenda zake kuu kuelekea uchumi wa kati!

Mkuu 'The Tomorrow People', kama ulivyosema Nina imani na Rais Magufuli ni mtu makini anayeipenda Tanzania. Nina imani hili litatolewa maelekezo na kufanyiwa kazi.. Na mimi nina amini ina watu makini na wazalendo ambao wanaitakia mema nchi hii. Pia namwanini Rais Magufuli kwa kauli, matendo, utashi wa kisiasa (political will) na uthubutu wake kufikia lengo la kuleta mabadiliko ya kweli ya maendeleo kisiasa, kijamii, kiuchumi na kiteknolojia.
 
Tatizo ninyi akina Mmawia mnapenda ku-draw conclusions, kwa masuala yanayohitaji technical knowhow, kwa kutumia general knowledge. Unatakiwa kufahamu kuwa kampuni ya Boeing ina strict business code ili kulinda integrity ya kampuni na biashara ya bidhaa zake (ndege). Sasa kama Boeing wameandika kwenye tovuti yao kuwa bei ya ndege yao B.787-8 ni US$224.6 milioni, sasa wewe ni nani kusema kuwa bei halisi/halai ni US$99 milioni? Hiyo bei imeandikwa wapi? Ni wapi ET walitangaza kuwa wamenunua Dreamliner kwa hizo dola milioni 99? Si watanzania wote ni wajinga/watu wa aina yenu.
Mmetununulia ssagulaga
 
SABABU YA KULETA UZI HUU SIO KULETA MALUMBANO WALA KUKASHIFU JUHUDI ZA SERIKALI

HOJA YANGU YA MSINGI KAMA NDEGE TUNAYO ITEGEMEA NI MPYA NA SI ZILE ZA ZAMANI

KWANINI KWENYE WEB YA BOEING WAMEONESHA TUME WEKA ODA NDEGE YENYE SERIAL NUMBER 35508 LINE PRODUCTION 19 YA MWAKA 2009?
Mkuu tunashukuru kwa taarifa hao wengine ni kina kwangu pakavu hawaishiwi na kulalama
 
Mkuu:
Ninavyo fahamu ni kwamba ndege imekwisha tengenezwa kwa sasa inafanyiwa marekebisho kuendana na mahitaji yetu.

Mkuu huo ndiyo mtazamo uliyo sahihi na siyo kulaumu tu. Kama ni kweli ni ndege iliyokwisha kutengezwa, kama inavyodaiwa mitandaoni, kutokuletwa mara tu baada ya kulipiwa ina maana inafanyiwa marekebisho.

Mimi si mtaalamu wa kutengeneza ndege, lakini taalamu yangu ni ufundi. Inawezekana kabisa kutumia hiyo LN19 kuifanyia marekebisho hiyo ndege kukidhi mahitaji ya mnunuzi pasipo kulazimika kuunda ndege mpya. Ni hilo si jambo geni katika nyanja za kifundi na teknolojia ya kisasa. Hata mafundi ambao hawakwenda vyuoni hufanyia vitu mbalimbali marekebisho kukidhi mahitaji ya wakati huo, na iko mifano mingi tu.
 
Back
Top Bottom