Sophist
Platinum Member
- Mar 26, 2009
- 4,486
- 3,411
Unaa uhakika na ulichokisema? Majawabu ya namna hii hutolewa huko vijiweni, umelipata huko? Na ukitaka kuelewa juzi juzi nimepanda ET Dreamliner 787-8 kutoka Sao Paulo (Brazil) nonstop (masaa 14 angani) hadi Addis. Kama jambo hulijui tumia muda kujifunza jambo/suala husika badala ya kukimbilia ku-comment.Ethiopian Airline na Air Austral yalichukua ndege hizi kwa sababu masafa marefu haikuwa ishu kwao!