Ukweli kuhusu ATCL Boeing 787-8

Ukweli kuhusu ATCL Boeing 787-8

OEING Co. has sold the remainder of its early, overweight 787 Dreamliners that have been in storage for years to meet demand from buyers eager to obtain jetliners that are otherwise sold out through the end of the decade.

Ethiopian Airlines is acquiring six of the models in a transaction valued at £1.3 billion ($2.04 billion) at list prices, Boeing said in a statement on Wednesday.

Labda wape hiyo 2.04bil USD ukigawa kwa six watupe majibu
Ethiopian Airlines and Air Austral are just two of the carriers that have bought the "terrible teens" airplanes.
That said, it's almost certain that the airlines received massive discounts on the 787-8's $224 million sticker price.
 
Unaa uhakika na ulichokisema? Majawabu ya namna hii hutolewa huko vijiweni, umelipata huko? Na ukitaka kuelewa juzi juzi nimepanda ET Dreamliner 787-8 kutoka Sao Paulo (Brazil) nonstop (masaa 14 angani) hadi Addis. Kama jambo hulijui tumia muda kujifunza jambo/suala husika badala ya kukimbilia ku-comment.
Ethiopian Airlines, anazo 787-8 pia ambazo sio "Terrible teens"
 
Mkuu hebu nijuze hapa kwanza.

Hizo ndege unazosema ziliwadadea mpaka wakafanya punguzo ndo zikauzwa je Bado zipo hadi leo au zilikwisha?????

Kama bado zipo kwanini ndege yetu mpaka Leo bado IPO kiwandani haijakamilika kutengenezwa?????

Kulikuwa na ulazima gani wa kututengenezea ndege mpya wakati bado wanazo za aina hiyo hiyo???

Kama ziliisha, inamaana bado wanarudia tena kutengeneza ndege kwa mfumo ule ule ambao ndege zinadoda???

(Watakuwa wapumbavu wa karne wakifanya hivi)
Ndugu ubishi wa nini
Ndege zimetengezwa 20 za mwanzo na zikatokea kuwa zinahitajika marekebisho na baada ya marekebisho ndio zikaongezeka uzito na masafa yakapungua na kampun zilizo order wakazikataa.
Ndege iliyonunuliwa ni moja kati ya hizo ishirini za mwanzo na karibia zoote zishauzwa kama inavyoonyesha kwenye post ya mwanzo kwa nusu bei. Na shida sio ndege, shida ni bei waliyoinunulia ni bei ya mwanzo au ni bei baada ya punguzo.
 
Mkuu ndege iliyotolewa order na tz bado IPO kwenye matengenezo wala haijakamilika au nimekosea?
 
Mkuu labda Mimi sijaelewa vizuri.
Hivi umesema kuwa serikali imeagiza ndege na katika order waliotoa wameagiza
Line number 19.
Ulisema namba 1-20 ndo hizo ambazo hazina ubora. Na ambazo baada ya kupunguzwa bei zikauzwa, zikabaki 12.
Na umesema kuwa hiyo iloagizwa iko ndani ya hizo 1-20.

Maswali.
1; Hizo ndege 12 zilizobaki bado zipo hadi leo.?? Katika hiyo packing yao.
2; kama ziliuzwa zote zimekwisha, je boeing bado wamerudia tena kutengeneza ndege hizo hizo zenye hasara??
Au wameamua kutengeneza kwa mifumo mipya ambayo ndege tunayoagiza ndo ipo ndani yake????

3; kama bado zipo na ndege tulioagiza ni kama hizo kwanini hatukupewa moja kwa moja na badala yake tunatengenezewa mpya ambayo mpaka sasa haijakamilika???

4; Kulikuwa na ulazima gani wa kutengeneza ndege mpya ya aina hiyo hiyo huku unazo nyingine zimepaki hazijauzika??

Naomba nijuze mkuu
1. Ndege zote 12 zipo kwenye order na zingine zisha chukuliwa.

2. Ndege za mwanzo zilitengenezwa kwa composite materials hasa titanium badala ya aluminum iliyo zoeleka ndio maana zikawa nzito. Matoleo mapya yote Boeing wametumia aluminum zaidi ili kuzifanya ndege zisiwe na uzito mkubwa.

3. Ukiweka order ya unaweza ukatoa pesa yote ama kulipia kidogo kidogo, ukikamilisha ndio unapewa mzigo wako. Tz hatujakamilisha deni. Sie ndege yetu ipo... Bado rangi tuu, tungekuwa hatudaiwi tungepewa mwaka huu.

4. Model ya 787-8 kabla haijatoka tayari ilikwisha wekewa order, ndege zilizo doda zilikataliwa sababu ya uzito makampuni yakachukua ndege zilizo tengenezwa baadae ambazo zilikuwa nyepesi.

NB. Jisomee zaidi,
www.businessinsider.com/boeing-787-dreamliner-terrible-teens-2016-7
 
Mkuu ndege iliyotolewa order na tz bado IPO kwenye matengenezo wala haijakamilika au nimekosea?
Ndege imeshafanyiwa matengezo au niseme ishakamilika.
Lakini ukitoa order ya ndege kuna mahitaji ya mnunuzi lazima yatengezwe kwenye kiwanda chenyewe mfano viti vya ndani unataka viwe vingapi na mpangilio gani. Je unahitaji wifi ndani au unahitaji ndege nzima iwe economic class na isiwe na classes zingine. Na hivyo vitu si kama umetoa order leo kesho wanakutengezea, hapana hivyo vitu vinachukua muda na kwa mpangilio. By the way mm si expart saana kwenye aviation.
Lakini nasisitiza ya kwamba shida sio ndege, shida ni kwenye bei. Je ni bei ya mwanzo au ni bei ya baada ya punguzo. Ni hio tu.
 
1. Ndege zote 12 zipo kwenye order na zingine zisha chukuliwa.

2. Ndege za mwanzo zilitengenezwa kwa composite materials hasa titanium badala ya aluminum iliyo zoeleka ndio maana zikawa nzito. Matoleo mapya yote Boeing wametumia aluminum zaidi ili kuzifanya ndege zisiwe na uzito mkubwa.

3. Ukiweka order ya unaweza ukatoa pesa yote ama kulipia kidogo kidogo, ukikamilisha ndio unapewa mzigo wako. Tz hatujakamilisha deni. Sie ndege yetu ipo... Bado rangi tuu, tungekuwa hatudaiwi tungepewa mwaka huu.

4. Model ya 787-8 kabla haijatoka tayari ilikwisha wekewa order, ndege zilizo doda zilikataliwa sababu ya uzito makampuni yakachukua ndege zilizo tengenezwa baadae ambazo zilikuwa nyepesi.

NB. Jisomee zaidi,
www.businessinsider.com/boeing-787-dreamliner-terrible-teens-2016-7

Heee!!
Mkuu mbona umekwenda nje ya maswali yangu.
Hebu rejea vizuri.
Mwenzo ulisema zilitengenezwa ndege 20( ndege zilizokamilika) bahati mbaya zikawa na uzito mkubwa zikakataliwa. Then zikapunguzwa bei ndipo zikauzwa zikabaki 12. Hayo ni maaelezo yako hapo juu.

Nikakuuliza swali.

Hizo ndege 12 za toleo la kwanza (zenye uzito mkubwa na kupunguzwa bei) Bado zipo hadi sasa???

Nikauliza tena
Katika Maelezo yako ulisema ndege iloyowekwa oda na tz ni moja ya hizo ndege za toleo la kwanza.( ambazo ni ndege kamili tayari)
Sasa kwanini hii ndege yetu bado IPO kwenye matengenezo??? Kama ni moja ya zile za toleo la kwanza ambazo ni ndege tayari zinasubiri mnunuzi???? Ni matengenezo yepi sasa yanayofanywa???

Nikakuuliza tena
Kama ndege yetu ni moja ya hizo za toleo la awali kwanini hatukupewa moja kwa moja (kwasababu ni ndege tayari) badala yake tunaambiwa bado ipo kiwandani ikitengenezwa???
Inamaana hapa hii ndege sio moja ya hizo za toleo la kwanza (nzito ) ambazo zimepunguzwa bei, kama zingekuwa ni hizo hakukuwa na haja ya kutengeneza mpya.
Inammana basi hii ndege yetu IPO katika hizo za toleo jipya ambazo zimeongezewa aluminium ili kupunguza uzito(ambayo ndio kasoro ya ndege za kwanza hadi kupunguzwa bei).
Na kama ni hivo Inamaana hizi za toleo jipya hazina punguzo la bei(ambayo na yetu ikiwemo), zenye punguzo la bei ni zile za kwanza(ambazo yetu haipo kwasababu yetu ndio kwanza inatengenezwa bado hajakamilika).

Sasa hii hoja kuwa tumepigwa inakujaje hapa??

Au ulifuatilia hizo ndege za toleo jipya bei yake???
 
wanasema hiyo ndege kama vile iko ghalani. kinachoshangaza kama ndege ipo kwa nini delivery iwe 2018 na sio sasa wakati serikali imesema hela zipo? nadhani serikali inafuatilia hizi taarifa za mitandaoni. tumeona hila za kila aina mitandaoni kuichafua awamu ya 5.
hizi taarifa kama zina ukweli serikali kuingizwa mjini bado ipo nafasi kurekebisha makosa ila natia shaka kwani wanaoshikia bango ndio wale walisema bombadier ni mitumba.
Bombardier ni shiiidah.... Ful mpela mpelaaaaa! Zngekua ndege kubwa zile ungekua tumefunika hatar n air tanzania yetu bongo
 
Wewe unayekijua umenizidi nini mimi!?

Ha ha haaaaa

Ungetumia ka akili kidunchu husinge bwabwaja eeeeeeh, furahia kiingilishi chako hicho

Vipi juzi hukuguswa na yale maana, unaponda sana ya serikali hii na kumuonea wivu Mheshimiwa wetu mpendwa.
Kwan... Kwan ingilisi ndo nn
 
Ndege imeshafanyiwa matengezo au niseme ishakamilika.
Lakini ukitoa order ya ndege kuna mahitaji ya mnunuzi lazima yatengezwe kwenye kiwanda chenyewe mfano viti vya ndani unataka viwe vingapi na mpangilio gani. Je unahitaji wifi ndani au unahitaji ndege nzima iwe economic class na isiwe na classes zingine. Na hivyo vitu si kama umetoa order leo kesho wanakutengezea, hapana hivyo vitu vinachukua muda na kwa mpangilio. By the way mm si expart saana kwenye aviation.
Lakini nasisitiza ya kwamba shida sio ndege, shida ni kwenye bei. Je ni bei ya mwanzo au ni bei ya baada ya punguzo. Ni hio tu.
Ahaa sasa nimeelewa.
Kwahiyo mkuu unatuambia kuwa matengenezo tunayoambiwa ni ya vitu vidogo vidogo tu.
Na sio kwamba tunatengenezewa ndege mpya kabisa????

Nauliza hivyo kwasababu kama ingekuwa ndege mpya kabisa basi isingekuwa kwenye list ya zile za bei ya punguzo.
Ila mkuu uwe na uhakika kwamba si ndege mpya (ila ni marekebisho kutokana na matakwa ya mnunuzi). La sivyo tutapotosha watu hapa ujue.
 
1. Ndege zote 12 zipo kwenye order na zingine zisha chukuliwa.

2. Ndege za mwanzo zilitengenezwa kwa composite materials hasa titanium badala ya aluminum iliyo zoeleka ndio maana zikawa nzito. Matoleo mapya yote Boeing wametumia aluminum zaidi ili kuzifanya ndege zisiwe na uzito mkubwa.

3. Ukiweka order ya unaweza ukatoa pesa yote ama kulipia kidogo kidogo, ukikamilisha ndio unapewa mzigo wako. Tz hatujakamilisha deni. Sie ndege yetu ipo... Bado rangi tuu, tungekuwa hatudaiwi tungepewa mwaka huu.

4. Model ya 787-8 kabla haijatoka tayari ilikwisha wekewa order, ndege zilizo doda zilikataliwa sababu ya uzito makampuni yakachukua ndege zilizo tengenezwa baadae ambazo zilikuwa nyepesi.

NB. Jisomee zaidi,
www.businessinsider.com/boeing-787-dreamliner-terrible-teens-2016-7

Ila wewe ni muongo sana na sidhani kama huwa unaenda kanisani, Serikali ilishatenga fedha zote za ununuzi wa ndege hizo na zipo cash Rais alishatamka hadharani, eti hakuna hela ndiyo maana bado haijachukuliwa- UTAKUJA KUUMBUKA NI JAMBO LA MUDA TU UKAGUZI WA NDEGE INAYOJENGWA UTAKAPOANZA. ILA KUNA WATU WAONGO SANA MPAKA UNAOGOPESHA!
 
SABABU YA KULETA UZI HUU SIO KULETA MALUMBANO WALA KUKASHIFU JUHUDI ZA SERIKALI

HOJA YANGU YA MSINGI KAMA NDEGE TUNAYO ITEGEMEA NI MPYA NA SI ZILE ZA ZAMANI

KWANINI KWENYE WEB YA BOEING WAMEONESHA TUME WEKA ODA NDEGE YENYE SERIAL NUMBER 35508 LINE PRODUCTION 19 YA MWAKA 2009?
Umebeba website ya ajabu unasema ni boeing? Chukua hyo domain uone niya nan
 
Shalom watanzania wenzangu!

Disemba 12, 2016 ilikuwa siku ya furaha kwa baadhi yetu tuliomchagua JPM na Tutamchagu tena 2020 Mungu akitujaalia na wengine mlinuna baada ya taarifa kutoka serikali imeweka oda Boeing, ili kununua ndege ya kisasa kabisa 787-8.

Na yakwamba serikali itatoa $224.6Millioni ili kupata ndege hiyo.

Kumekuwa na taarifa mbali mbali, kwamba manunuzi haya yana chembe chembe za ufisadi. Na kwakuwa sipendi kuamini vitu bila kufanya utafiti nami nimeona nizame kwenye websites mbali mbali kutafuta ukweli.

Kwa ufupi kama wengine wasemavyo ni kweli hata Mimi nimeshaamini "SERIKALI IMEPIGWA"
lakini hadi kufikia hii Conclusion kuna mambo ya msingi unatakiwa kuyajua.

1. SERIAL NUMBER(SN) NA LINE NUMBER.
-Kila ndege huwa na serial number yake kama yalivyo magari. Ndege tulioagiza serial number yake ni 35508
-Line number ni ndege ya ngapi kutengenezwa. Kwa mfano kama zimetengenezwa ndege 10. Ndege ya kwanza itakuwa LN1, ya pili LN2 nakuendelea.

2. TERRIBLE TEENS NI NINI?
Terrible teens ni zile ndege za mwanzo kutengenezwa za Boeing 787-8. Hizi ndege zilikuwa 20. Kwahiyo hiyo ni Line number 1-20 (Kuwa makini hapa). Na hizi ndege zilifanyiwa majaribio mengi na matengenezo mengi mapya ili kupata ndege bora zaidi.

Kwa kifupi tunaweza sema zilikuwa sample ya kutengenezea ndege zingine. Kutokana na kufanyiwa modification za mara kwa mara hizi ndege zilipitiliza uzito uliotakiwa. Kutokana na kuongezeka uzito ndege hizi hata uwezo wake wa Masafa ukawa Umepungua kwa Maili 1000 au KM 1609.344

Kutokana na hili makampuni yaliotaka order za mwanzo kama All Nippon, Maroc etc. yaligoma kuchukua hizi ndege bali yalichukua ndege zilizotengenezwa baada ya zile 20 za mwanzo yaani Line number 21 na kuendelea.

Terrible teens zingine ziliwekwa kwenye majumba ya kumbukumbu na baadhi ya kampuni walizichukua. Zikabaki 12 uwanjani miaka mitano bila mnunuzi toka 2009 zilipoanza tengenezwa.

Kutokana na aibu iliyokuwa inaipata Boeing ya kukaa na mindege isiyo uzika. Ikaamua yafuatayo

(a) Kutafuta Wateja ambao hawatajali issues ya kikomo cha masafa ya ndege

(b) Kuziuza hizi ndege kwa bei rahisi ( karibu nusu bei kutoka $224M hadi $99M)

CONCLUSION
Kutoka katika websites ya Boeing na na web zingine za usafiri wa anga zimeweka wazi Ndege tulio iwekea order ni Boeing 787-8, serial number 35508, Line number 19.

Sasa kwa maelezo niliyotoa Line number 19 IPO ndani ya Line number 1-20. Kwa kifupi ndege tuliogiza ndio zile ndege za mwanzo 20 zilizopachikwa jina la Terrible Teens.

Swali lingine la kujiuliza kwanini tumeuziwa ndege iliyo doda ,iliyoshushwa bei hadi kufikia $99M kwa bei ya ndege mpya yaani $224.6M?

Bila kupepesa macho hapa tumepigwa $124M na ushee ambazo tungeweza nunua Boeing 737-800 Next Generation mpyaaaa ya 2016.

Kama nilivyokwisha sema Nina imani na Rais Magufuli ni mtu makini anayeipenda Tanzania. Na imani hili litatolewa maelekezo na kufanyiwa kazi.

Nimewawekea link na picha mbali mbali kusappoti uzi.

66cbe3973d2476f0afd0ef4b23f5d581.jpg

5ffe88270490cadedd65af84f1f2a940.jpg
32a59f2db3a1932ae85e9b8bfd8d26fd.jpg

Boeing 787 Register - Welcome

www.airliners.net/forum/viewtopic.php?t=1335649

www.airportspotting.com/boeing-finding-homes-terrible-teen-787s/

www.boeing.com/commercial/customers/air-tanzania/air-tanzania-787-order.page
Maelezo mareeeeeeeeeeeeeeeeefuuuuuuuuuuuuuuuuuuu LAKINI KIFUPI TUMEPIGWA KWELI.....

Maelezo marefu kama haya yalishawahi tokea
1. kwenye RADA hadi ikazaa NENO chenji..., VIJISENTI..., joka lenye makengeza
2. Kwenye ndege ya RAISI... hata ikibidi kula nyasi tule... LAKINI LAZIMA INUNULIWE
3. Kwenye EPA........ Eti mwizi baada ya kurudisha tukamsamehe.... LAKINI ANAYEJUWA KAMA KARUDISHA KWELI NI MMOJA AU WACHACHE... why????? ......... JUST BECAUSE.....

KIFUPI TAFUTENI NAMNA YA KUMUINGIZA LOWASA KWENYE HILI LA BOMBADIA ILI MPATE KUPUMUA
 
wanasema hiyo ndege kama vile iko ghalani. kinachoshangaza kama ndege ipo kwa nini delivery iwe 2018 na sio sasa wakati serikali imesema hela zipo? nadhani serikali inafuatilia hizi taarifa za mitandaoni. tumeona hila za kila aina mitandaoni kuichafua awamu ya 5.
hizi taarifa kama zina ukweli serikali kuingizwa mjini bado ipo nafasi kurekebisha makosa ila natia shaka kwani wanaoshikia bango ndio wale walisema bombadier ni mitumba.
AHahahahahahaahaha hapo kwenye BOLD umenichekesha sana.... mnawezaje kurekebisha makosa BILA KUYAKUBALI KWANZA?
 
SABABU YA KULETA UZI HUU SIO KULETA MALUMBANO WALA KUKASHIFU JUHUDI ZA SERIKALI

HOJA YANGU YA MSINGI KAMA NDEGE TUNAYO ITEGEMEA NI MPYA NA SI ZILE ZA ZAMANI

KWANINI KWENYE WEB YA BOEING WAMEONESHA TUME WEKA ODA NDEGE YENYE SERIAL NUMBER 35508 LINE PRODUCTION 19 YA MWAKA 2009?
Ww tmoro pipo

Boeing 787 Register - Welcome

Hii domain ya www.b787register.com c website ya boeing.

Tuletee kutoka kwenye hii website
www.boeing.com hii ndo website ya boeing

Ili uhakikshe nachosema ingia hapa

www.whois.com afu weka hxo website watakuambia nan mmiliki.

Kwa ufupi
Ww na zzk mmereport habar kama ya tbc ya trump kumsifia namesake wake. Mlitakiwa mfukuzwe huku JF sorry nimetania tu.
1. Ndege zote 12 zipo kwenye order na zingine zisha chukuliwa.

2. Ndege za mwanzo zilitengenezwa kwa composite materials hasa titanium badala ya aluminum iliyo zoeleka ndio maana zikawa nzito. Matoleo mapya yote Boeing wametumia aluminum zaidi ili kuzifanya ndege zisiwe na uzito mkubwa.

3. Ukiweka order ya unaweza ukatoa pesa yote ama kulipia kidogo kidogo, ukikamilisha ndio unapewa mzigo wako. Tz hatujakamilisha deni. Sie ndege yetu ipo... Bado rangi tuu, tungekuwa hatudaiwi tungepewa mwaka huu.

4. Model ya 787-8 kabla haijatoka tayari ilikwisha wekewa order, ndege zilizo doda zilikataliwa sababu ya uzito makampuni yakachukua ndege zilizo tengenezwa baadae ambazo zilikuwa nyepesi.

NB. Jisomee zaidi,
www.businessinsider.com/boeing-787-dreamliner-terrible-teens-2016-7
 
Shalom watanzania wenzangu!

Disemba 12, 2016 ilikuwa siku ya furaha kwa baadhi yetu tuliomchagua JPM na Tutamchagu tena 2020 Mungu akitujaalia na wengine mlinuna baada ya taarifa kutoka serikali imeweka oda Boeing, ili kununua ndege ya kisasa kabisa 787-8.

Na yakwamba serikali itatoa $224.6Millioni ili kupata ndege hiyo.

Kumekuwa na taarifa mbali mbali, kwamba manunuzi haya yana chembe chembe za ufisadi. Na kwakuwa sipendi kuamini vitu bila kufanya utafiti nami nimeona nizame kwenye websites mbali mbali kutafuta ukweli.

Kwa ufupi kama wengine wasemavyo ni kweli hata Mimi nimeshaamini "SERIKALI IMEPIGWA"
lakini hadi kufikia hii Conclusion kuna mambo ya msingi unatakiwa kuyajua.

1. SERIAL NUMBER(SN) NA LINE NUMBER.
-Kila ndege huwa na serial number yake kama yalivyo magari. Ndege tulioagiza serial number yake ni 35508
-Line number ni ndege ya ngapi kutengenezwa. Kwa mfano kama zimetengenezwa ndege 10. Ndege ya kwanza itakuwa LN1, ya pili LN2 nakuendelea.

2. TERRIBLE TEENS NI NINI?
Terrible teens ni zile ndege za mwanzo kutengenezwa za Boeing 787-8. Hizi ndege zilikuwa 20. Kwahiyo hiyo ni Line number 1-20 (Kuwa makini hapa). Na hizi ndege zilifanyiwa majaribio mengi na matengenezo mengi mapya ili kupata ndege bora zaidi.

Kwa kifupi tunaweza sema zilikuwa sample ya kutengenezea ndege zingine. Kutokana na kufanyiwa modification za mara kwa mara hizi ndege zilipitiliza uzito uliotakiwa. Kutokana na kuongezeka uzito ndege hizi hata uwezo wake wa Masafa ukawa Umepungua kwa Maili 1000 au KM 1609.344

Kutokana na hili makampuni yaliotaka order za mwanzo kama All Nippon, Maroc etc. yaligoma kuchukua hizi ndege bali yalichukua ndege zilizotengenezwa baada ya zile 20 za mwanzo yaani Line number 21 na kuendelea.

Terrible teens zingine ziliwekwa kwenye majumba ya kumbukumbu na baadhi ya kampuni walizichukua. Zikabaki 12 uwanjani miaka mitano bila mnunuzi toka 2009 zilipoanza tengenezwa.

Kutokana na aibu iliyokuwa inaipata Boeing ya kukaa na mindege isiyo uzika. Ikaamua yafuatayo

(a) Kutafuta Wateja ambao hawatajali issues ya kikomo cha masafa ya ndege

(b) Kuziuza hizi ndege kwa bei rahisi ( karibu nusu bei kutoka $224M hadi $99M)

CONCLUSION
Kutoka katika websites ya Boeing na na web zingine za usafiri wa anga zimeweka wazi Ndege tulio iwekea order ni Boeing 787-8, serial number 35508, Line number 19.

Sasa kwa maelezo niliyotoa Line number 19 IPO ndani ya Line number 1-20. Kwa kifupi ndege tuliogiza ndio zile ndege za mwanzo 20 zilizopachikwa jina la Terrible Teens.

Swali lingine la kujiuliza kwanini tumeuziwa ndege iliyo doda ,iliyoshushwa bei hadi kufikia $99M kwa bei ya ndege mpya yaani $224.6M?

Bila kupepesa macho hapa tumepigwa $124M na ushee ambazo tungeweza nunua Boeing 737-800 Next Generation mpyaaaa ya 2016.

Kama nilivyokwisha sema Nina imani na Rais Magufuli ni mtu makini anayeipenda Tanzania. Na imani hili litatolewa maelekezo na kufanyiwa kazi.

Nimewawekea link na picha mbali mbali kusappoti uzi.

66cbe3973d2476f0afd0ef4b23f5d581.jpg

5ffe88270490cadedd65af84f1f2a940.jpg
32a59f2db3a1932ae85e9b8bfd8d26fd.jpg

Boeing 787 Register - Welcome

www.airliners.net/forum/viewtopic.php?t=1335649

www.airportspotting.com/boeing-finding-homes-terrible-teen-787s/

www.boeing.com/commercial/customers/air-tanzania/air-tanzania-787-order.page
One man show
Tumepigwa tena kama tulivyopigwa kwenye Mv Dar es salaam
Kama tulivyopigwa kwenye ishu ya wale samaki nknk
Zilipowekwa taratibu za kiongozi kufanya kazi na Wasaidizi huru, washauri huru na timu huru za kitaalam zenye weledi na uzalendo... Ilikuwa ni kwa ajili ya kuepusha kupigwa kama hivi
Sasa Kama timu za Wasaidizi washauri na wataalam hazipo huru na kigezo kikubwa ni kujua kusoma na kuandika tutegemee nini kama sio hasara na hasara zaidi?
Kwenye hili nani atawajibika je government procurement facility walishirikishwa kwa kiwango gani, bank kuu na hazina je?
Unapokuwa mbabe na mjuaji kuna wababe na wajuaji zaidi yako but in a very sophisticated way... And that's what happened kwenye Manunuzi ya dear bombardiers
Tulihoji sana sababu za kununua kwa cash, kitu ambacho sio cha kawaida lakini kuna timu zilikuwa zimeandaliwa kutetea kwa nguvu zote.. Lakini tulitimiza wajibu wetu
 
Mkuu upo? Pole kwa matatzo aisee!
 
Back
Top Bottom