Ukweli kuhusu ATCL Boeing 787-8

Ukweli kuhusu ATCL Boeing 787-8

This whole thing regarding those planes is so terribly convoluted...

So much information...you don't know for sure who's telling the truth and who's not!

But oh well...nowadays anybody can be an expert on anything and everything.
Just like JPM is! Jack of all trades JOATMON
 
hapa ndopale mtu hajawai hata kununua baiskeli anataka kuelekeza namna ya kununua ndege!!! Tz bhana...
Kiufupi inaonesha tumeibiwa tena kutokana na kiherehere cha kununua ndege wanasema hakukuwa hata na business plan pale ATC..
sijui Ni kiherehere chanani hiki?
cha sizonje mkatoliki
 
Linawatokea puani..unafanyaje vitu bila ya kulishirikisha binge hay ndo madhara ya Kuwa na ovepower leader
 
Hivi wewe unaijua vizuri biashara ya ndege au unadandia tu ,Boeing hawawezi hata kidogo kudisclose bei waliyokubaliana na mteja kimkataba na kuna makubaliano hayo halali kabisa, hili ni swala nyeti la biashara ya ushindani - ila mkataba upo na Serikali kupitia vyombo vyake vyote vilihusika na bei ni nzuri kabisa kwa frame ya ndege iliyochagua. Sielewi kabisa uzi huu kupata hata wachangiaji, it is totally fake thread!

Sasa hapo unaisafisha serikali au ndio unaipaka matope? Haujui hata jinsi ya kujenga hoja kuitetea serikali yet unalipwa!
Mh Rais ana kazi nzito sana!
 
Hv humu kwenye hii thread mbona Lugha zinabadilikabadilika mwanzoni tuliaminishwa kuwa ndege yetu ni line 19 watu walipoleta ushahid kuwa ni ya Rwanda lugha ikawa Rwanda walituonea huruma wakaamua watuachie kanakwamba zilikua zimekwisha hizo Terrible Teens baadae Wazir kutoa ufafanuz wa aina ya ndege na line number yake lugha tena imebadilika eti Boing haijafikia huko kwenye 719 halafu haohao wanadai kampuni moja ya uarabuni imeorder ndege kama hzo 300 so si rahis kwa Tz kupata hv tusiokua na uelewa wa haya mambo tukiamini kua kuna watu wana lengo lao tutakua tumekosea
 
Shalom watanzania wenzangu!

Disemba 12, 2016 ilikuwa siku ya furaha kwa baadhi yetu tuliomchagua JPM na Tutamchagu tena 2020 Mungu akitujaalia na wengine mlinuna baada ya taarifa kutoka serikali imeweka oda Boeing, ili kununua ndege ya kisasa kabisa 787-8.

Na yakwamba serikali itatoa $224.6Millioni ili kupata ndege hiyo.

Kumekuwa na taarifa mbali mbali, kwamba manunuzi haya yana chembe chembe za ufisadi. Na kwakuwa sipendi kuamini vitu bila kufanya utafiti nami nimeona nizame kwenye websites mbali mbali kutafuta ukweli.

Kwa ufupi kama wengine wasemavyo ni kweli hata Mimi nimeshaamini "SERIKALI IMEPIGWA"
lakini hadi kufikia hii Conclusion kuna mambo ya msingi unatakiwa kuyajua.

1. SERIAL NUMBER(SN) NA LINE NUMBER.
-Kila ndege huwa na serial number yake kama yalivyo magari. Ndege tulioagiza serial number yake ni 35508
-Line number ni ndege ya ngapi kutengenezwa. Kwa mfano kama zimetengenezwa ndege 10. Ndege ya kwanza itakuwa LN1, ya pili LN2 nakuendelea.

2. TERRIBLE TEENS NI NINI?
Terrible teens ni zile ndege za mwanzo kutengenezwa za Boeing 787-8. Hizi ndege zilikuwa 20. Kwahiyo hiyo ni Line number 1-20 (Kuwa makini hapa). Na hizi ndege zilifanyiwa majaribio mengi na matengenezo mengi mapya ili kupata ndege bora zaidi.

Kwa kifupi tunaweza sema zilikuwa sample ya kutengenezea ndege zingine. Kutokana na kufanyiwa modification za mara kwa mara hizi ndege zilipitiliza uzito uliotakiwa. Kutokana na kuongezeka uzito ndege hizi hata uwezo wake wa Masafa ukawa Umepungua kwa Maili 1000 au KM 1609.344

Kutokana na hili makampuni yaliotaka order za mwanzo kama All Nippon, Maroc etc. yaligoma kuchukua hizi ndege bali yalichukua ndege zilizotengenezwa baada ya zile 20 za mwanzo yaani Line number 21 na kuendelea.

Terrible teens zingine ziliwekwa kwenye majumba ya kumbukumbu na baadhi ya kampuni walizichukua. Zikabaki 12 uwanjani miaka mitano bila mnunuzi toka 2009 zilipoanza tengenezwa.

Kutokana na aibu iliyokuwa inaipata Boeing ya kukaa na mindege isiyo uzika. Ikaamua yafuatayo

(a) Kutafuta Wateja ambao hawatajali issues ya kikomo cha masafa ya ndege

(b) Kuziuza hizi ndege kwa bei rahisi ( karibu nusu bei kutoka $224M hadi $99M)

CONCLUSION
Kutoka katika websites ya Boeing na na web zingine za usafiri wa anga zimeweka wazi Ndege tulio iwekea order ni Boeing 787-8, serial number 35508, Line number 19.

Sasa kwa maelezo niliyotoa Line number 19 IPO ndani ya Line number 1-20. Kwa kifupi ndege tuliogiza ndio zile ndege za mwanzo 20 zilizopachikwa jina la Terrible Teens.

Swali lingine la kujiuliza kwanini tumeuziwa ndege iliyo doda ,iliyoshushwa bei hadi kufikia $99M kwa bei ya ndege mpya yaani $224.6M?

Bila kupepesa macho hapa tumepigwa $124M na ushee ambazo tungeweza nunua Boeing 737-800 Next Generation mpyaaaa ya 2016.

Kama nilivyokwisha sema Nina imani na Rais Magufuli ni mtu makini anayeipenda Tanzania. Na imani hili litatolewa maelekezo na kufanyiwa kazi.

Nimewawekea link na picha mbali mbali kusappoti uzi.

66cbe3973d2476f0afd0ef4b23f5d581.jpg

5ffe88270490cadedd65af84f1f2a940.jpg
32a59f2db3a1932ae85e9b8bfd8d26fd.jpg

Boeing 787 Register - Welcome

www.airliners.net/forum/viewtopic.php?t=1335649

www.airportspotting.com/boeing-finding-homes-terrible-teen-787s/

www.boeing.com/commercial/customers/air-tanzania/air-tanzania-787-order.page

787-8 is first ever wide-body order for 'The Wings of Kilimanjaro'

Boeing and the United Republic of Tanzania have confirmed an order for one 787-8 Dreamliner, valued at $224.6 million at list prices. The aircraft will be operated by Air Tanzania, the flag carrier of Tanzania.

Air Tanzania said, "The 787 Dreamliner will be the flagship aircraft as we renew and grow the Air Tanzania fleet. We aim to establish our long-haul capability by starting flights to Europe, Asia and the U.S.A over the coming years and the 787 is the perfect aircraft to achieve this ambition."

The 787 is a family of technologically advanced, super-efficient airplanes with new passenger-pleasing features. In addition to bringing big-jet ranges to midsize airplanes, the 787 will provide Air Tanzania with unmatched fuel efficiency and environmental performance, using 20 to 25 percent less fuel and with 20 to 25 percent fewer emissions than the airplanes it replaces.

"I am pleased to welcome Air Tanzania as the newest member of the Dreamliner family,” said Van Rex Gallard, Vice President, Latin America, Africa & Caribbean Sales, Boeing Commercial Airplanes. "We are honored that Air Tanzania has chosen the 787 to operate its long-haul operations. The 787 will significantly increase passenger numbers feeding on to its domestic flights thereby boosting overall tourism to Tanzania."

Air Tanzania Company Limited is the flag carrier of Tanzania based in Dar es Salaam with its hub at Julius Nyerere International Airport and currently flies to destinations in Tanzania with a growing fleet of airplanes.

Ndugu zangu tuwache kuongea kiujumla.
Hapo juu kuna taarifa toka Boeing na ukisoma para ya kwanza inathibitisha kuwa tanzania imo oda ndege aina B787 Dream liner/ kwa hiyo kuzungumzia TT ambazo tayari zipo hakuna mantiki.

Ukienda kwenye para ya 2 ambayo inazungumzia specs za hiyo ndege ni dhahiri kuwa haiwezekani ' Terrible Twin' zikawa na hizo specs.
Hivyo kuanza kuzungumzia dhana ya kuwa tumeingizwa mtini halina maana kabisa.
Nina uhakika ndege hiyo itakapofika itadhihirika hivyo.
 
This whole thing regarding those planes is so terribly convoluted...

So much information...you don't know for sure who's telling the truth and who's not!

But oh well...nowadays anybody can be an expert on anything and everything.
gone are the days when we use to say yes to every thing.
at least nowadays we can google and get the information we need concerning issues.
So who's telling the truth about these terrible teens, we are are more concerned simply because we have spend slot of money on this teen.
It doesn't matter whether we are experts or not ,we are questioning because the said amount is so much as per the price. It's our money we have to be worried spending alot of money in used plane.
 
Shalom watanzania wenzangu!

Disemba 12, 2016 ilikuwa siku ya furaha kwa baadhi yetu tuliomchagua JPM na Tutamchagu tena 2020 Mungu akitujaalia na wengine mlinuna baada ya taarifa kutoka serikali imeweka oda Boeing, ili kununua ndege ya kisasa kabisa 787-8.

Na yakwamba serikali itatoa $224.6Millioni ili kupata ndege hiyo.

Kumekuwa na taarifa mbali mbali, kwamba manunuzi haya yana chembe chembe za ufisadi. Na kwakuwa sipendi kuamini vitu bila kufanya utafiti nami nimeona nizame kwenye websites mbali mbali kutafuta ukweli.

Kwa ufupi kama wengine wasemavyo ni kweli hata Mimi nimeshaamini "SERIKALI IMEPIGWA"
lakini hadi kufikia hii Conclusion kuna mambo ya msingi unatakiwa kuyajua.

1. SERIAL NUMBER(SN) NA LINE NUMBER.
-Kila ndege huwa na serial number yake kama yalivyo magari. Ndege tulioagiza serial number yake ni 35508
-Line number ni ndege ya ngapi kutengenezwa. Kwa mfano kama zimetengenezwa ndege 10. Ndege ya kwanza itakuwa LN1, ya pili LN2 nakuendelea.

2. TERRIBLE TEENS NI NINI?
Terrible teens ni zile ndege za mwanzo kutengenezwa za Boeing 787-8. Hizi ndege zilikuwa 20. Kwahiyo hiyo ni Line number 1-20 (Kuwa makini hapa). Na hizi ndege zilifanyiwa majaribio mengi na matengenezo mengi mapya ili kupata ndege bora zaidi.

Kwa kifupi tunaweza sema zilikuwa sample ya kutengenezea ndege zingine. Kutokana na kufanyiwa modification za mara kwa mara hizi ndege zilipitiliza uzito uliotakiwa. Kutokana na kuongezeka uzito ndege hizi hata uwezo wake wa Masafa ukawa Umepungua kwa Maili 1000 au KM 1609.344

Kutokana na hili makampuni yaliotaka order za mwanzo kama All Nippon, Maroc etc. yaligoma kuchukua hizi ndege bali yalichukua ndege zilizotengenezwa baada ya zile 20 za mwanzo yaani Line number 21 na kuendelea.

Terrible teens zingine ziliwekwa kwenye majumba ya kumbukumbu na baadhi ya kampuni walizichukua. Zikabaki 12 uwanjani miaka mitano bila mnunuzi toka 2009 zilipoanza tengenezwa.

Kutokana na aibu iliyokuwa inaipata Boeing ya kukaa na mindege isiyo uzika. Ikaamua yafuatayo

(a) Kutafuta Wateja ambao hawatajali issues ya kikomo cha masafa ya ndege

(b) Kuziuza hizi ndege kwa bei rahisi ( karibu nusu bei kutoka $224M hadi $99M)

CONCLUSION
Kutoka katika websites ya Boeing na na web zingine za usafiri wa anga zimeweka wazi Ndege tulio iwekea order ni Boeing 787-8, serial number 35508, Line number 19.

Sasa kwa maelezo niliyotoa Line number 19 IPO ndani ya Line number 1-20. Kwa kifupi ndege tuliogiza ndio zile ndege za mwanzo 20 zilizopachikwa jina la Terrible Teens.

Swali lingine la kujiuliza kwanini tumeuziwa ndege iliyo doda ,iliyoshushwa bei hadi kufikia $99M kwa bei ya ndege mpya yaani $224.6M?

Bila kupepesa macho hapa tumepigwa $124M na ushee ambazo tungeweza nunua Boeing 737-800 Next Generation mpyaaaa ya 2016.

Kama nilivyokwisha sema Nina imani na Rais Magufuli ni mtu makini anayeipenda Tanzania. Na imani hili litatolewa maelekezo na kufanyiwa kazi.

Nimewawekea link na picha mbali mbali kusappoti uzi.

66cbe3973d2476f0afd0ef4b23f5d581.jpg

5ffe88270490cadedd65af84f1f2a940.jpg
32a59f2db3a1932ae85e9b8bfd8d26fd.jpg

Boeing 787 Register - Welcome

www.airliners.net/forum/viewtopic.php?t=1335649

www.airportspotting.com/boeing-finding-homes-terrible-teen-787s/

www.boeing.com/commercial/customers/air-tanzania/air-tanzania-787-order.page
Angalia na hii

Data through April 30, 2017.

Orders and deliveries graph[edit]
1c27492f6c674149a734e0efaa3176af.png
 
Wameanza kutafuta pesa za kampeni ilo ni jambo la wazi,kumbuka matukio yote ya miaka ya nyuma.Safari ii wameanza mapema tu.
 
Updates:
Serikali kupitia waziri wa uchukuzi imesema imenunua LN719 na si LN19.

Pia baadhi ya mitandao ya wanahabari inayo ripoti taarifa za ndege, ambayo mwanzo iliripoti kuwa tumenunua LN 19 nayo sasa inasema tumenunua LN 719.

Pamoja na taarifa hizi, lakini ukakasi bado uko pale pale, kwa sababu zifuatazo.

1. LN 719 ambayo serikali sasa inadai imenunua ni Boeing 787-9 na si 787-8

2. Mkataba wetu wa mwanzo na Boeing ilikuwa kununua 787-8. Na 787-9 ambayo tunadai tumenunua ni ndege kubwa zaidi na bei yake ni zaidi ya $224.6M

***Kutokana na huu ukakasi, mi nimeamua kusubiri hiyo ndege ije. Tutajua tu kama ni 787-8 au 787-9, maana haya madege yanatofautiana urefu. Na njia rahisi kutofautisha hii midege ni kuhesabu idadi ya madirisha. Siku ya uzinduzi pale air port nitakuja Bongo Dar kushuhudia.

Ndege 787 line 719 ni aina ya 787-8
 
Mtoa post hebu leo rudi kwenye sources zako hizo ulizozitoa uangalie tena hiyo ndege 787-8 ln 19 imeuzwa kwa nchi gani..

Siku nyingine kuwa na subira usikurupuke kupost thread bila kuwa na uhakika
 
NOD kwa jinsi ulivyotetea swala hili, inaelekea umehusika kwa njia moja au nyingine katika sakata hili .Mkuu kuna shida, na inaelekea mmepiga. Ngoja tusubiri tuone kama mtapona, lakini kwa jinsi mambo yalivyo kuna haja ya Bunge na CAG kuhusishwa ili mbivu na mbichi zifahamike . Kama tuhuma hizi ni kweli, dah,kweli Tanzania in shamba la bibi. Ingekuwa China watu wangekula shaba mkuu.
wanadai hizo terrible teens zina uzito mno
 
mlitaka ndege inayobeba zaidi ya tani 80 iwe na uzito kama unyoya
 
Back
Top Bottom