Ukweli juu ya mchezo wa Jumanji

Ukweli juu ya mchezo wa Jumanji

Sio physical ukiwa ndani ya mchezo ila kama uliingia mzma na kwenye pilikapilika ukapata ulemavu basi ukirudi huku duniani utakuwa ja ulemavu huo.
duuh unacheza kwa muda gani?
na jinsi ya Kutoka n nn??
 
Sasa hapo kwenye kushindwa ndo madhara mengi hutokea. Mfano: ulemavu au hata kifo. Ila waaguzi wengi Wa Voodoo wanadai ukishindwa basi ndo kifo hicho.
je,ukishinda Kuna zawadi yeyote ambayo unaipata???
 
Mimi nimeiangalia Jumanji 1,kule hakuna kufa wanyama wanakushambulia lakini baada ya sekunde kadhaa unafufuka, ukaendlea na mission. So hakuna kufa until the mission inaisha.
Cha pili ni kuwa ukiwa unaingia kwenye mission lazima uchukue uhusika maalum, mfano kama wewe ni daktari wa mifugo huko unaenda na utaalam wako nk

Naomba kusahihishwa kama nimeandika tofauti
 
Ni kweli kuwa unachukua uhusika maalumu mkuu.
Kwenye suala la kufa ndani ya mchezo halikuwekwa katika movie kwa sababu ambazo directors wao waliona zinaharibu scenes za movie hizo.
Kwenye hizi movie mbili mambo yaliyooneshwa ni kidogo kuliko uhalisi wenyewe.
Baadhi ya fortune tellers Wa miaka ya 1900 wanasema ni kama death in imagination lakin in reality kunatokea effects kabsa.
NB: kuna movie nyingi sana zimetokana na actual situation zilizowakumba binadamu. Mfano mzuri: Movie ya Child Play pamoja na The Nun au the conjuring..
Mimi nimeiangalia Jumanji 1,kule hakuna kufa wanyama wanakushambulia lakini baada ya sekunde kadhaa unafufuka, ukaendlea na mission. So hakuna kufa until the mission inaisha.
Cha pili ni kuwa ukiwa unaingia kwenye mission lazima uchukue uhusika maalum, mfano kama wewe ni daktari wa mifugo huko unaenda na utaalam wako nk

Naomba kusahihishwa kama nimeandika tofauti
 
Lakin movie hizo hapo juu zimeonesha ni kama robo ya actual situation ilivyokuwa ndani ya story yenyewe.
 
Mkuu naomba kukueleza kuwa jumanji ni mfano wa draft ambao umefanywa na kufunga kama kitabu.
Jinsi ya kucheza:
Mhusika akifungua kitabu hicho moja kwa anaingia ndani ya ulimwengu mpya ambao ndani yake kuna mission unapewa yenye lengo kuu moja la kusurvive Tu. Ndani ya ulimwengu huu mhusika atawindwa zaidi ya mnyama. Na wawindaji ni majitu makubwa sana pamoja na wanyama wa kutisha pamoja na mimea.
I hope nimekujibu swali lako mkuu......
Mkuu umeshawahi kuucheza huo mchezo?
 
Mkuu umeshawahi kuucheza huo mchezo?
Hapana!!!
Kwa sababu hizi;
1. Waliona na kifaa kitumikacho kama gate way ya kufungua mchezo ni familia ya kifalme (British Royal family).
2. Mara ya mwisho kuonekana ilikuwa ni katikati ya miaka ya 1930s.
So ni ngumu maana Mimi nimesoma source na nimezaliwa miaka ya 1990s.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom