Ukweli juu ya mchezo wa Jumanji

Ukweli juu ya mchezo wa Jumanji

Zawadi ni uhai kivipi wakati unaanza mchezo ukiwa hai?
Sijakuelewa mkuu labda ufafanue kiasi OK,
Mkuu naomba nikueleweshe kuwa:
Ukianza kucheza ni lazma mtu awe hai ila sasa ili zawadi ya kufanikisha kukwepa vikwazo ndani ya mission yako ni kutoka ukiwa hai, tofauti na hivyo ukifeli inakuwa ni kifo moja kwa moja.
 
Mkuu naomba kukueleza kuwa jumanji ni mfano wa draft ambao umefanywa na kufunga kama kitabu.
Jinsi ya kucheza:
Mhusika akifungua kitabu hicho moja kwa anaingia ndani ya ulimwengu mpya ambao ndani yake kuna mission unapewa yenye lengo kuu moja la kusurvive Tu. Ndani ya ulimwengu huu mhusika atawindwa zaidi ya mnyama. Na wawindaji ni majitu makubwa sana pamoja na wanyama wa kutisha pamoja na mimea.
I hope nimekujibu swali lako mkuu......
Umethibitishaje kama ni kweli na sio fiction story tu?
Funguka zaidi mkuu
 
Mkuu naomba nikueleweshe kuwa:
Ukianza kucheza ni lazma mtu awe hai ila sasa ili zawadi ya kufanikisha kukwepa vikwazo ndani ya mission yako ni kutoka ukiwa hai, tofauti na hivyo ukifeli inakuwa ni kifo moja kwa moja.
Hiyo sio zawadi bali unakuwa umeuhatarisha uhai wako kwa makusudi alafu uupiganie.
Zawadi ni kama malipo baada ya ushindi fulani! Sasa ili uhai huo uitwe zawadi, basi /ilitakiwa uongezwe mara mbili au zaidi.

Je, wewe waweza kuingia vita isiyokuhusu, isiyo na manufaa, isiyo na chochote unachokipigania wala isiyo ya nchi yako kwa kigezo kwamba zawadi ya ushindi ni kutoka ukiwa hai wakati uliingia ukiwa hai tayari?

Jambo hili halipatani na akili, labda ufikiri alafu unieleweshe vizuri mkuu
 
Umethibitishaje kama ni kweli na sio fiction story tu?
Funguka zaidi mkuu
Ishu sio kuwa fiction ila ni reasoning tu. Nimepitia sehemu zaidi ya tano. Sehemu moja ndo inadai kuwa ni kutoka katika kitabu tu kwa ajili ya watoto. Ila kuna sehemu nne zinaelekeza kuwa jumanji ni real.
Pia hata ukienda kwenye baadhi ya simulizi za wazee konki Wa uchawi Wa Voodoo wamezungumza kuwa hii kitu ipo. Achilia mbali huko, je umewahi kuwasikia watu wanaoitwa "fortune tellers" Hawa wanaongelea pia hii kitu. So ni ishu ya reasoning tu mkuu.
 
Hiyo sio zawadi bali unakuwa umeuhatarisha uhai wako kwa makusudi alafu uupiganie.
Zawadi ni kama malipo baada ya ushindi fulani! Sasa ili uhai huo uitwe zawadi, basi /ilitakiwa uongezwe mara mbili au zaidi.

Je, wewe waweza kuingia vita isiyokuhusu, isiyo na manufaa, isiyo na chochote unachokipigania wala isiyo ya nchi yako kwa kigezo kwamba zawadi ya ushindi ni kutoka ukiwa hai wakati uliingia ukiwa hai tayari?

Jambo hili halipatani na akili, labda ufikiri alafu unieleweshe vizuri mkuu
Kama umeziangalia hizo movie na ukijaribu kumuelewa mleta mada ni kwamba wengi waliocheza hilo game walicheza bila kulijua au kujua kusudi la hilo game sasa baada ya kuanza kucheza na kujua unapigania uhai wako basi ndio ushindi wenyewe
 
Voodoo hawa hawa wanaotengeneza mobile games?

Samahani mkuu umenielewa vibaya. Sijamaanisha zawadi ya namna hiyo. Bali ni kuwa Mtu anapokuwa anakutana na misukosuko humo ndani ili kuweza kutoka basi anaachiwa uhai wake ndo inakuwa kama ndo prize.
 
Voodoo hawa hawa wanaotengeneza mobile games?
Voodoo wanazungumza kuhusu michezo yenye malengo ya black magic tupu. Yaani completely ushetani. Mfano the Roman Death Game na hii Jumanji.
 
Kama umeziangalia hizo movie na ukijaribu kumuelewa mleta mada ni kwamba wengi waliocheza hilo game walicheza bila kulijua au kujua kusudi la hilo game sasa baada ya kuanza kucheza na kujua unapigania uhai wako basi ndio ushindi wenyewe
Ndio hivyo mkuu Samahani kwa kuwachanganya hapo.
Appreciate that!!!!
 
Voodoo wanazungumza kuhusu michezo yenye malengo ya black magic tupu. Yaani completely ushetani. Mfano the Roman Death Game na hii Jumanji.
Playstore wanagames zao pia
 
Kuna vitu vingi watu hatujaelewa maana zake ila tumechukulia ni fiction au kawaida.
Kwa sasa nataka kupitia ishu ya Frankenstein kwa undani kidogo niongeze maarifa
 
Hapana!!!
Kwa sababu hizi;
1. Waliona na kifaa kitumikacho kama gate way ya kufungua mchezo ni familia ya kifalme (British Royal family).
2. Mara ya mwisho kuonekana ilikuwa ni katikati ya miaka ya 1930s.
So ni ngumu maana Mimi nimesoma source na nimezaliwa miaka ya 1990s.
Ok, so it's just a myth and not a real game, mi nikajua umeshawahi kucheza au kuona ukichezwa.
 
"Kutokana na wengi kutokujua mchezo huu nia yake haswa.
Zawadi pekee ni uhai tu unapona ila napo ni kwa kiasi kidogo sana." Damaso

Hilo ndiyo jibu alilonipa Mkuu
Ndio kutokana na challenge zake mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom